Serikali kutodhibiti idadi ya wageni wanaoingia nchini kwa kisingizio cha Utalii, inahatarisha Usalama wa Taifa dhidi ya virusi vya Corona

Frustration ya Mtanzania pale anapoiweka serekali madarakani halafu hawezi kuitoa!
 

Tusipoteze muda na watalii kwasasa hawawezi kuja. Nchi za ulaya huruhusiwi hata kutoka nje sasa utaenda vipi kutalii!. Mwaka huu utakuwa mgumu sana kwa utalii mpaka mwaka kesho. Ushauri ni kutumia muda na nguvu kwenye sekta nyingine kama za madini hasa ya Gold maana bei itapanda
 
Nchi nzima ya Italia imejifungia ndani ya majumba huku jeshi la anga likiwatumbuiza
Huu ugonjwa ni hatari
 
Wabongo mmezidi unafki kama maccm

Siku kadhaa nyuma mlikuwa mnasema mwafrika hawezi kudhurika kwa corona
Leo hii mnataka mipaka ifungwe ili wageni wasilete corona nchini.

Kwanini hamjielewi ?
 
Waziri kivuli wa afya mh Pareso (Chadema) ameitaka serikali ifunge mipaka na kuzuia ndege za nje kutua nchini ili kudhibiti virusi vya corona.

Mh Pareso amesema wagonjwa wote 6 wa Corona waliopo nchini wameuleta ugonjwa nchini kutokea nje hivyo ni muhimu hatua za kufunga mipaka zikachukuliwa haraka kabla hali haijawa mbaya zaidi.

Source ITV habari!
 
Corona huanza mdogomdogo,ila ikishika kasi,kishindo chake huwa sio cha mchezo.
 
Nasema kwa dhati ikitokea ugonjwa huu wa Corona kuwatishia Tanzania. Hakika mkisema tubaki majumbani hatutakubali mpaka wote wahusika kuachia ngazi.

China yenye uchumi mkubwa na watali wengi ilifunga mipaka na ku limit safari za ndege, Kenya wapo juu sana na hawajali utalii. Sasa Polepole na genge lako time will tell tutakapo wahukuma kwenye sanduku la kura. Mnacheza sana na maisha ya watanzania.

Chezeni vizuri mkijikwaa tu. Tupo na nyinyi.

Ebu muwe na huruma. "hii ndiyo serikali inayowajali wananchi wake au inajali pesa"

Hongereni sana.

Nawakumbusha wagonjwa wote mmewaruhusu kuja kutuambukiza ugonjwa huu, watoto, kina mama na wazee ni dhamana yenu.

Zanzibar wamesitisha viwanja vya ndege ninyi mpo jeuri. Uchumi ni nini? Kuna nchi za Ulaya hawathamini uchumi wamethamini maisha ya wananchi wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…