Serikali kutodhibiti idadi ya wageni wanaoingia nchini kwa kisingizio cha Utalii, inahatarisha Usalama wa Taifa dhidi ya virusi vya Corona

Serikali sikivu ilikua ya ndugu Jakaya na ndugu Ali Hassan Mwinyi. Hawa wote ni watu wa Pwani.
 
Wanajimwambafy kwa sababu wanajua kuwa hawategemei sanduku la kura kuchukua dola!
 
Ukisha funga mipaka alafu ww ni maskini
Mlipuko ukitokea wa kishindo nani atakusaidia
Vifaa tiba huna, mask tu huna, Sanitizer huna
Udhowefu katika tiba huna

Ndio maana mipaka ipo wazi ili yakitokea ya kutolea majirani watukimbilie kutusaidia
Lakini tukiweka fens kama ya segerea adui akiingia ndani tutakufa kimya kimya na hakuna wa kumlilia si mmeweka wenyewe vizuwizi majirani nao kimya kufeni..


Sent using Jamii Forums mobile app
 
kandamatope, Kwa hiyo ni sahihi Kuacha tatizo liwe kubwa ili tusaidiwe au kufikiria namna ya kulikabiri tatizo sisi wenyewe what if hao wa kutoa misaada wasipokuja tuchukulie wako busy kushughulikia ya kwao?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kasema vema, ... Zibaki safari na bidhaa za lazima pekee... endapo itabidi wageni ama wanaorudi Tz, wafikie karantini siku 14.Hongera waziri wa Afya Kivuli Mh. Pareso.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sirro anakwambia hatuna haja ya kufunga mipaka! Jeshi lake liko imara, atalitumia pindi kukiwa na hali ya hatari zaidi itakayoleta taharuki nchini..!

Akili za sisi watu weusi hata shetani huwa anatusikitikia sana sometimes..
 
brazaj,
Tuliandika haya mapema sana hakuna kilicho fanyika. Sasa hapa kwetu rais anasema haka ni ka upepo tu na kuwa tete yuko ndani ya Yesu.

Jamani hayuko anayepinga haya ya Yesu. Haya si ndiyo ya kukanyaga mafuta ya upako?

Kenya inaenda total lockdown hakuna cha mikusanyiko yoyote. Sisi tunahamishwa kuendelea na maisha kama kawaida?

We are not serious.
 
Sasa hivi kila anaekutwa na Corona serikali inaanza kusaka mamia ya waliokutana na waathirika, hii hasara yote ya nini kwa nini msifunge mipaka watu watulie huko walipo muendelee kufight na wagonjwa waliopo

Hii ngoma itakuja kuwa ngumu kwa
kuendekeza tamaa, shughuli zote zitasimama kawa kuendekeza tamaa, Waziri Mkuu mwenyewe kupitia Azam tv habari anakiri kuwa hali kama ikiwa mbaya shughuli zote zitasimama

Watu wanaingia mnawapeleka mahotelini, huko wataenda kuusambaza tu, watawaachia wahudumu na wahudumu wataulea ugonjwa mtaani, huko UDSM napo si salama tu, usalama ni kuzuia raia hasa wa Asia na Ulaya kote wasiingie nchini watulie kwao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siasa ni mbaya sana ..hasa ikiingia adi kwenye kucheza na afya za watu

Sent from my SM-A105G using Tapatalk
 
Wanajamvi, kama heading inavyojieleza, naona kuna mizaha sana kwenye hili suala la Corona! Na zaidi ni kwenye kuhusiana na lockdown.

Kiukweli naona tumechelewa sana. Lakini bado haina maana tuendelee na utaratibu huu wa sasa. Kwasababu mataifa ya hao wenzetu yanaanza kupata unafuu. Wamepambana, lakini wamepoteza watu!

Tukiendelea hivi, maambukizi yakizidi, nchi yetu itatengwa na hao watalii hawatakanyaga zaidi ya kubeba rasilimali tu. Pia watauzungumzia uzembe wetu.

Natoa tahadhari tu. Kuhusu ya kufanya tumeshauri sana.
 
Sawa mkuu kuna Jambo nawasiliana na moderator ntatoa ukweli kuhusu corona.
 
Itachukua zaidi ya mwaka mmoja watalii kuamini Corona imeisha ikitokea imeisha.

Isitoshe,utoaji wetu wa taarifa juu ya wagonjwa wa corona unahojiwa na wengi hivyo kutufanya tusiaminike kama China.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…