Serikali kutodhibiti idadi ya wageni wanaoingia nchini kwa kisingizio cha Utalii, inahatarisha Usalama wa Taifa dhidi ya virusi vya Corona

Hao wakimbizi wa Corona (watalii) wametokea Wuhan? Maana serikali yao imepiga marufuku safari za kuingia na kutoka Wuhan.

Kama ni maeneo mengine ya China ambayo hayajaathirika sana basi huenda lisiwe tatizo kubwa japo ni muhimu kuchukua tahadhari.
 
Mmh hii kitu ni sensitive sana, halafu huyo mama mbona anaongea kwa dharau atii, yaan ana act kama is not a big deal hao watalii sijui wasambaza virus kuja nchini, serikali mfanyavyo sio sawa ivoo dunia nzima inatetemeka nyie mnaingiza Dege zima kutoka China!!!
 
Nimecheka eti Dege nzima waliokaa nao kwenye ndege wana moyo tena siti moja
 
Kwan huo ugonjwa upo china nzima au whuhan?
Kupokea watalii toka china sio lazima watoke china mainland,kuna hong kong na macau zote china
Lete details za hao watalii kwanza kabla ya kuja kulia humu
Acha mambo hayo ndg...wee huoni hii risky? Ni swala la mamlaka kuliona hili na limepigiwa kelele muda mrefu na shida inaendelea kusambaa...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waje tu wakileta ugonjwa kwangu fursa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa ni rasmi Jamiiforum imevamiwa na ma-great sinkers
 
Tumawezaje kupokea watalii toka China ilihali watoto wetu huko tumewasusa?
Swali zuri.
Ina maana tumeweka mbele fedha kuliko maisha ya raia wetu.

Jambo hili la kupuuzia maisha ya binadamu mwenzio hata mmoja tu linaleta laana kubwa kwa taifa.
Kamwe hatutaendelea, hatujifunzi kwa Marekani, hawa jamaa hawaachi raia wake hatarini awe mmoja au elfu kumi, awe mkubwa au mtoto mchanga.

Kama tumeaacha kuwarudisha raia wetu, watoto wetu toka China sababu ya ugonjwa, tunawezaje kupokea raia wa kigeni toka China huko huko?
 
yule bwana anajali pesa,hajali mtu hujawahi sikia kauli zake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nchi gani ya Africa imepiga marufuku raia kutoka china?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…