Levels baby
JF-Expert Member
- Sep 26, 2019
- 831
- 770
VIONGOZI wetu watakuja kutuua,wachina walitakiwa wasiingie kabisa nchini kwa sasa mpaka watakapokaa sawa kwao
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
..Tanzania hatuna uwezo wa kudhibiti na kupambana na mlipuko wa virusi vya Korona.
..Salama yetu ipo ktk kuhakikisha hakuna muathirika anayekanyaga ardhi yetu na kutishia kuambukiza raia wetu.
..Serikali izingatie busara za wahenga kuwa KINGA NI BORA KULIKO KUTIBU.
Baadhi yaVWachini wanaikimbia nchi yao na kuja kwetu kwa kisingizio cha utalii kumbe wanajiepusha na kuambukizwa COVID -19. Ni maoni yangu tu!Kuruhusu Wachina kuingia Nchini ni hatari kwa maisha ya binadamu na biashara ya Utalii wkt huu.Watalii kutoka sehemu nyingine wanaweza kukatisha safari zao kuhofia maambukizi ya virusi vya Corona.Lakini kama Wachina kuja aina shida basi Wanafunzi walioko Wuhan warejeshwe haraka.
Hata marekani wana quarantine raia wao waliotokea maeneo hayo. Raia wengine wanashikiliwa kwenye kambi ya jeshi nk. Kwa ujumla wengine wako serious sijui kuhusu sisi.Du yaani wanaruhusu wachina kuingia nchini wakati huko duniani hata raia wao walioizuru China wanawekwa kwenye quarantine sijui ikitokea ameingia mgonjwa mmoja wa korona tutafanyaje maana hata mask tu za buku buku hatuna na huko zinakotengenezwa za bei che ndiko kunawaka moto
Mungu pishilia mbali!🤦🏾♂️Hawa waswahili wetu wenye uelewa finyu watawaua wale wataobainika kuwa na virusi vya korona.
Kuna dogo mmoja mwenye kiduku aliwahi kusema hivyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hivi Kuna wachina wanatoka na kuingia China kipindi hiki kweli tuanzie hapo.Baadhi yaVWachini wanaikimbia nchi yao na kuja kwetu kwa kisingizio cha utalii kumbe wanajiepusha na kuambukizwa COVID -19. Ni maoni yangu tu!
Ni nani vile anayetusaidia kujenga chuo cha chama Kibaha? Tusije tukajiharibia.Kuruhusu Wachina kuingia Nchini ni hatari kwa maisha ya binadamu na biashara ya Utalii wkt huu.Watalii kutoka sehemu nyingine wanaweza kukatisha safari zao kuhofia maambukizi ya virusi vya Corona.
Lakini kama Wachina kuja aina shida basi Wanafunzi walioko Wuhan warejeshwe haraka.
Nasikia kweli haipatani na pombeCorona ni mafua tu sijui mnaogopa nini,ukipata kunywa safari lager tatu kwisha kabisa
Yap ukipiga konyagi inakimbiaNasikia kweli haipatani na pombe