Serikali kutodhibiti idadi ya wageni wanaoingia nchini kwa kisingizio cha Utalii, inahatarisha Usalama wa Taifa dhidi ya virusi vya Corona

Huu ni Unyanyapaaji kwa sisi watu wa ASIA ngoja virus vipotee turud kwetu [emoji849][emoji849]
Juzi kati kuna wafilipino wawili waliambatana na mchina mmoja, walikuja maeneo ya ofisini aisee nilihisi nywele zimenisimama ghafla, nilitamani kupotea kwa muda. Uoga huu[emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kipindi ninatetea wale wanafunzi wa Kitanzania warudishwe nyumbani nilipokea matusi na kejeli!! Sasa ndo mpembue mliokuwa mnapinga. Wachina wanapata usafiri wa kuja huku ikiwa wao ndio wahanga wakubwa wa COVID-19 na mnawakataa watanzania wenzenu!

Ilipaswa uwekwe utaratibu wa kuwapokea hao wanafunzi lkn badala yake wanaingia wachina kwa wingi!! Huku ndo kuruka majivu na kukanyaga moto.. time will tell
Mdogo wangu yuko china asee wamepigwa pin huko alaf ivi vijamaa vinaingia tu nchin kama washroom
 
Kuruhusu Wachina kuingia Nchini ni hatari kwa maisha ya binadamu na biashara ya Utalii wkt huu.Watalii kutoka sehemu nyingine wanaweza kukatisha safari zao kuhofia maambukizi ya virusi vya Corona.

Lakini kama Wachina kuja aina shida basi Wanafunzi walioko Wuhan warejeshwe haraka.
 
Du yaani wanaruhusu wachina kuingia nchini wakati huko duniani hata raia wao walioizuru China wanawekwa kwenye quarantine sijui ikitokea ameingia mgonjwa mmoja wa korona tutafanyaje maana hata mask tu za buku buku hatuna na huko zinakotengenezwa za bei che ndiko kunawaka moto
 
Kuruhusu Wachina kuingia Nchini ni hatari kwa maisha ya binadamu na biashara ya Utalii wkt huu.Watalii kutoka sehemu nyingine wanaweza kukatisha safari zao kuhofia maambukizi ya virusi vya Corona.Lakini kama Wachina kuja aina shida basi Wanafunzi walioko Wuhan warejeshwe haraka.

Katoa mawazo mazuri, lakini kwa sababu yupo upinzani, basi itaonekana analeta mambo ya siasa, na watu walioko upande wa pili utaona wakileta majibu yasiyokuwa na tija ilimradi tu wamropoka.
Hakuna sabau ya kuwaruhusu hao wachina heti kwa kisingizio cha utalii. Kule kwao wenyewe kuna maeneo hawaruhusiwi kwenda/kutembelea. Pia kuna watalii wengine walizuiliwa kwenye meli ya kifahari kutokana na huu ugonjwa.

Sasa hii serikali inapenda pesa kuliko raia wake. Wasifikiri kuwa huo ugonjwa ikiingia hapa nchini ni Lema na wapinzani tu ndo wataugua, bali wataugua wote hata kama ni Rais.
Pia ugonjwa huu ukudhibitika kuwa umeingia hapa nchini, basi watalii wengi sana watasitisha kuja Tanzania.

Niliona clip ya RPC wa arusha akitoa povu kuhusu lema. Hawa watu wanasumbuliwa na dhana ya kutojitambua nakufahamu majukumu yao.
 
..hili suala tunatakiwa tulitafakari.

..Je, ni salama kuruhusu raia wa China kuingia nchini wakati huu wa mlipuko wa virusi vya Korona?
 
Yani ubaya ni kuwa kila kitu kinaonekana ni siasa tu.

Kwamba ukituma ukweli huu kwa ccm unapaswa kufunguliwa kesi ya uhujumu uchumi_ K ( 800 X 640 ).jpg
 
Meli iliyozuiliwa na Japan kuingia kwao na hata Taiwan yenye watalii 2700 bado wanahaha. Sasa sisi ndio tunawaleta kabisa wenye mali ya corona. Suala hili sio dogo wazungu wameweza kutibu Sasa sisi mpaka watupe hizo formula tutakuwa tunakoroma polepole.

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
..hili suala tunatakiwa tulitafakari.

..Je, ni salama kuruhusu raia wa China kuingia nchini wakati huu wa mlipuko wa virusi vya Korona?
Ni kweli. Huu ugonjwa ukiingia sehemu yenye msongamano kama Kariakoo basi Dar nzima itakuwa ni kaiama kidogo. Nadhani serikali ilitakiwa kusitisha uingiaji wa watalii kutoka China kwa muda. Kenya nimesoma gazeti leo kuna mchina mmoja ametoka kwao yuko kwenye site ya ujenzi anaumwa. Wachina wenzake wamemtengea chumba na anapewa chakula kwa kupitia dirishani. Mbaya zaidi ni kuwa wamenyima watu wa idara ya afya kuingia kwenye site na wameamua kutumia polisi ili kuingia. Mgonjwa mmoja tu anaweza kuleta balaa nchi nzima.
 
..Tanzania hatuna uwezo wa kudhibiti na kupambana na mlipuko wa virusi vya Korona.

..Salama yetu ipo ktk kuhakikisha hakuna muathirika anayekanyaga ardhi yetu na kutishia kuambukiza raia wetu.

..Serikali izingatie busara za wahenga kuwa KINGA NI BORA KULIKO KUTIBU.
 
Back
Top Bottom