YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Hi picha ya mwaka aiseeee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hi picha ya mwaka aiseeee
Kwani hao wachina wameletwa na serikali? Na hao wanafunzi si wapande ndege warudi.Si wakate tiketi waje?Sasa kama wanawaruhusu wachina kwanini wamegoma kuwarudisha wanafunzi wanasoma China?
Sent using Jamii Forums mobile app
Juzi kati kuna wafilipino wawili waliambatana na mchina mmoja, walikuja maeneo ya ofisini aisee nilihisi nywele zimenisimama ghafla, nilitamani kupotea kwa muda. Uoga huu[emoji28]
umeona eh?Hao watalii kutoka nchi nyengine wakisikia hizi habari hakuna atakayekuja.
Mdogo wangu yuko china asee wamepigwa pin huko alaf ivi vijamaa vinaingia tu nchin kama washroomKipindi ninatetea wale wanafunzi wa Kitanzania warudishwe nyumbani nilipokea matusi na kejeli!! Sasa ndo mpembue mliokuwa mnapinga. Wachina wanapata usafiri wa kuja huku ikiwa wao ndio wahanga wakubwa wa COVID-19 na mnawakataa watanzania wenzenu!
Ilipaswa uwekwe utaratibu wa kuwapokea hao wanafunzi lkn badala yake wanaingia wachina kwa wingi!! Huku ndo kuruka majivu na kukanyaga moto.. time will tell
Kuruhusu Wachina kuingia Nchini ni hatari kwa maisha ya binadamu na biashara ya Utalii wkt huu.Watalii kutoka sehemu nyingine wanaweza kukatisha safari zao kuhofia maambukizi ya virusi vya Corona.Lakini kama Wachina kuja aina shida basi Wanafunzi walioko Wuhan warejeshwe haraka.
Katoa mawazo mazuri, lakini kwa sababu yupo upinzani, basi itaonekana analeta mambo ya siasa, na watu walioko upande wa pili utaona wakileta majibu yasiyokuwa na tija ilimradi tu wamropoka.
Hakuna sabau ya kuwaruhusu hao wachina heti kwa kisingizio cha utalii. Kule kwao wenyewe kuna maeneo hawaruhusiwi kwenda/kutembelea. Pia kuna watalii wengine walizuiliwa kwenye meli ya kifahari kutokana na huu ugonjwa.
Sasa hii serikali inapenda pesa kuliko raia wake. Wasifikiri kuwa huo ugonjwa ikiingia hapa nchini ni Lema na wapinzani tu ndo wataugua, bali wataugua wote hata kama ni Rais.
Pia ugonjwa huu ukudhibitika kuwa umeingia hapa nchini, basi watalii wengi sana watasitisha kuja Tanzania.
Niliona clip ya RPC wa arusha akitoa povu kuhusu lema. Hawa watu wanasumbuliwa na dhana ya kutojitambua nakufahamu majukumu yao.
Kuruhusu Wachina kuingia Nchini ni hatari kwa maisha ya binadamu na biashara ya Utalii wkt huu.Watalii kutoka sehemu nyingine wanaweza kukatisha safari zao kuhofia maambukizi ya virusi vya Corona.Lakini kama Wachina kuja aina shida basi Wanafunzi walioko Wuhan warejeshwe haraka.
Ni kweli. Huu ugonjwa ukiingia sehemu yenye msongamano kama Kariakoo basi Dar nzima itakuwa ni kaiama kidogo. Nadhani serikali ilitakiwa kusitisha uingiaji wa watalii kutoka China kwa muda. Kenya nimesoma gazeti leo kuna mchina mmoja ametoka kwao yuko kwenye site ya ujenzi anaumwa. Wachina wenzake wamemtengea chumba na anapewa chakula kwa kupitia dirishani. Mbaya zaidi ni kuwa wamenyima watu wa idara ya afya kuingia kwenye site na wameamua kutumia polisi ili kuingia. Mgonjwa mmoja tu anaweza kuleta balaa nchi nzima...hili suala tunatakiwa tulitafakari.
..Je, ni salama kuruhusu raia wa China kuingia nchini wakati huu wa mlipuko wa virusi vya Korona?
Ni kweli. Huu ugonjwa ukiingia sehemu yenye msongamano kama Kariakoo basi Dar nzima itakuwa ni kaiama kidogo. Nadhani serikali ilitakiwa kusitisha uingiaji wa watalii kutoka China kwa muda. Kenya nimesoma gazeti leo kuna mchina mmoja ametoka kwao yuko kwenye site ya ujenzi anaumwa. Wachina wenzake wamemtengea chumba na anapewa chakula kwa kupitia dirishani. Mbaya zaidi ni kuwa wamenyima watu wa idara ya afya kuingia kwenye site na wameamua kutumia polisi ili kuingia. Mgonjwa mmoja tu anaweza kuleta balaa nchi nzima.
Du yaani wanaruhusu wachina kuingia nchini wakati huko duniani hata raia wao walioizuru China wanawekwa kwenye quarantine sijui ikitokea ameingia mgonjwa mmoja wa korona tutafanyaje maana hata mask tu za buku buku hatuna na huko zinakotengenezwa za bei che ndiko kunawaka moto