Inashangaza kwa kweliIran imetengwa na majirani zake wote.
Iran imepiga marufuku Wachina kuingia
Urusi imepiga marufuku Wachina kuingia
USA imepiga marufuku Wachina na South korean kuingia
Hao wote wana vifaa vikubwa.
Watanzanka sisi hatuna lolote twawakaribisha Wachina
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii serekali yangu haipo sereaus hivi ujinga huu tunaufanya tanzania tu mana Japan na nchi zingine wamepata magonjwa sababu ya wageni Nina uhakika kabisa ikitokea amepatikana mgonjwa naiman serekal itaficha ili kuficha aibu ya ujinga walio ufanya Sasa ilo pia liktakua tatizo lingine kubwa kama la Iran walificha ugonjwa kilicho waumbua ni mautUgonjwa wa Corona umezidi kusambaa kwa kasi na kuingia kwenye nchi nyingi duniani licha ya tahadhari kubwa na teknolojia ya hali ya juu ya kuchuja wageni
Baada ya kuona ugon jwa huu haudhibitiki kirahisi sasa imepelekea nchi nyingi kukata mawasiliano kabisa na nchi zenye maambukizi makubwa ya ugonjwa huu kama China, Iran, Italia, Japan na Korea
Hata hivyo Tanzania haina habari, Tanzania imezidi kupokea watalii kutoka China huku ikijidai kuwa haijali raia anatokea wapi kwa kuwa ipo vizuri kwenye kujilinda
Hiki ni kichekesho ukizingatia facilities na teknolojia za Tanzania ukizilinganisha na nchi nyingine duniani ambazo zimefunga kabisa usafiri na nchi athirika kwa hofu ya kuenea ugonjwa huu,
nchi kama Urusi ambayo ni mshirika mkubwa wa China imepiga marufuku raia wote kutoka China sababu ya ugonjwa huu ambao aambukizi yake hayaonekani mpaka zipite siku 14, nchi nyingine zilizopiga marufuku kabisa raia wa China ni Australia, Singapore, Iran, Ufilipino, New Zealand n.k
Nchi nyingine zimefika mbali zaidi kwa kupiga marufuku kabisa hata raia wa nchi nyingine ambaye aliwahi kwenda China siku za karibuni
Nchi kama Saudi Arabia imesitisha ibada za Hijja ndogo kutokana na hofu ya maambukizi haya, na inaweza kupiga hata marufuku ya Hijja kubwa
Nchi nyingi za kiarabu pia zimekatisha kabisa safari zake na Iran ambayo ina waathirika ambao hawafiki hata 300 kwa hofu ya ugonjwa huu, lakini Tanzania inaruhusu watalii kutoka China kwenye maambukizi ya takribani 80,000
Countries ban recent travellers from China over coronavirus fears – Business Traveller
A growing number of countries are imposing travel bans on foreign nationals who have travelled to China recently due to the coronavirus outbreakwww.businesstraveller.com
Coronavirus: Russia bans Chinese nationals from entering country
Russia has taken a drastic step over the COVID-19 coronavirus outbreak.www.euronews.com
Iran bans Chinese citizens from entering the country: IRNA
Iran has banned Chinese citizens from entering the country, Iranian state news agency IRNA reported on Thursday, amid the spread of the new coronavirus across the Islamic Republic that had killed 26 Iranians.www.reuters.com
All over the world, countries are imposing travel bans on visitors who’ve been to China
Such bans run counter to official advice from the World Health Organization.qz.com
Kwani tangu lini sirikali ya Fisiemu inawajali ?Ugonjwa wa Corona umezidi kusambaa kwa kasi na kuingia kwenye nchi nyingi duniani licha ya tahadhari kubwa na teknolojia ya hali ya juu ya kuchuja wageni

Wanasiasa wetu ni wapumbavuUgonjwa wa Corona umezidi kusambaa kwa kasi na kuingia kwenye nchi nyingi duniani licha ya tahadhari kubwa na teknolojia ya hali ya juu ya kuchuja wageni

Hao wakimbizi wa Corona (watalii) wametokea Wuhan? Maana serikali yao imepiga marufuku safari za kuingia na kutoka Wuhan.
Kama ni maeneo mengine ya China ambayo hayajaathirika sana basi huenda lisiwe tatizo kubwa japo ni muhimu kuchukua tahadhari.
Endeleen kujidanganya Kuna mdada mkongoman amesha ukata Sema hawatangazi wanapendelea kuficha ili waendelee kupokea watalii uku wakitoa propaganda kwamba mtu mweus haf kwa korona Sasa sis tujifanye tunapenda hela tuwapokee tu Lakin ikitokea mgonjwa hata mmoja kapatika tz mjue tunapigwa block nchi zote alafu ndio mtasema kwenye majanga utalii unaruhusiwa na akipatikana mgonjwa mmoja mjue hata Kuja mtalii hata mmojaKwanza umewai kusikia wapi mtu mwenye ngozi nyeusi anakufa kwa mafua au umewai sikia wapi mtu mweusi aliyeko uko chini amekufa kwa korona zaidi ya kuonekana ana ugonjwa huo lkn hawezi kufa.mtu ametujalia wetu weusi
Sent using Jamii Forums mobile app
Na awamu hii ndio funga kazi kwa kuamini ushirikina. Kuanzia mwenye chea mpaka kwa nyumbu wake wa LB 7KTunatumia utaalam wa WAGANGA wetu wa tiba za Jadi, katika kujilinda na maambukizi, mkuu. Ulaya hawana ujuzi wa kutumia Majini kutibu na kujilinda!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ninahitaj maombi mwanangu🤣
Hakika umeandika ujinga Sana we boyaCorona ni mafua tu sijui mnaogopa nini,ukipata kunywa safari lager tatu kwisha kabisa
Heeee!! Kwani hao uliowataja wanaishi kambini?!! Si wanafamilia zao, ndugu jamaa, hata wewe pia unahusika!!! Wakitoka kazini wanaenda polini?? Think big!!Nawaonea huruma tour guides na wafanya kazi wa airport!
Viongozi ni masikini.Laiti ugonjwa ungeanzia Africa naamini China wasingeruhusu Ngozi nyeusi kukanyaga kwao hata wangekua wanaenda kutalii
Neno ningejua huja mwisho wa safari siombei ila pesa inaonesha Africa ni bora kuliko uhai.
Nakubaliana na unachokinena mkuu!Heeee!! Kwani hao uliowataja wanaishi kambini?!! Si wanafamilia zao, ndugu jamaa, hata wewe pia unahusika!!! Wakitoka kazini wanaenda polini?? Think big!!
Swali zuriTumawezaje kupokea watalii toka China ilihali watoto wetu huko tumewasusa?