Serikali kutodhibiti idadi ya wageni wanaoingia nchini kwa kisingizio cha Utalii, inahatarisha Usalama wa Taifa dhidi ya virusi vya Corona

Ugonjwa wa Corona umezidi kusambaa kwa kasi na kuingia kwenye nchi nyingi duniani licha ya tahadhari kubwa na teknolojia ya hali ya juu ya kuchuja wageni

Baada ya kuona ugon jwa huu haudhibitiki kirahisi sasa imepelekea nchi nyingi kukata mawasiliano kabisa na nchi zenye maambukizi makubwa ya ugonjwa huu kama China, Iran, Italia, Japan na Korea

Hata hivyo Tanzania haina habari, Tanzania imezidi kupokea watalii kutoka China huku ikijidai kuwa haijali raia anatokea wapi kwa kuwa ipo vizuri kwenye kujilinda

Hiki ni kichekesho ukizingatia facilities na teknolojia za Tanzania ukizilinganisha na nchi nyingine duniani ambazo zimefunga kabisa usafiri na nchi athirika kwa hofu ya kuenea ugonjwa huu,

nchi kama Urusi ambayo ni mshirika mkubwa wa China imepiga marufuku raia wote kutoka China sababu ya ugonjwa huu ambao aambukizi yake hayaonekani mpaka zipite siku 14, nchi nyingine zilizopiga marufuku kabisa raia wa China ni Australia, Singapore, Iran, Ufilipino, New Zealand n.k

Nchi nyingine zimefika mbali zaidi kwa kupiga marufuku kabisa hata raia wa nchi nyingine ambaye aliwahi kwenda China siku za karibuni

Nchi kama Saudi Arabia imesitisha ibada za Hijja ndogo kutokana na hofu ya maambukizi haya, na inaweza kupiga hata marufuku ya Hijja kubwa

Nchi nyingi za kiarabu pia zimekatisha kabisa safari zake na Iran ambayo ina waathirika ambao hawafiki hata 300 kwa hofu ya ugonjwa huu, lakini Tanzania inaruhusu watalii kutoka China kwenye maambukizi ya takribani 80,000

Hii serekali yangu haipo sereaus hivi ujinga huu tunaufanya tanzania tu mana Japan na nchi zingine wamepata magonjwa sababu ya wageni Nina uhakika kabisa ikitokea amepatikana mgonjwa naiman serekal itaficha ili kuficha aibu ya ujinga walio ufanya Sasa ilo pia liktakua tatizo lingine kubwa kama la Iran walificha ugonjwa kilicho waumbua ni maut

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ugonjwa wa Corona umezidi kusambaa kwa kasi na kuingia kwenye nchi nyingi duniani licha ya tahadhari kubwa na teknolojia ya hali ya juu ya kuchuja wageni

Baada ya kuona ugon jwa huu haudhibitiki kirahisi sasa imepelekea nchi nyingi kukata mawasiliano kabisa na nchi zenye maambukizi makubwa ya ugonjwa huu kama China, Iran, Italia, Japan na Korea

Hata hivyo Tanzania haina habari, Tanzania imezidi kupokea watalii kutoka China huku ikijidai kuwa haijali raia anatokea wapi kwa kuwa ipo vizuri kwenye kujilinda

Hiki ni kichekesho ukizingatia facilities na teknolojia za Tanzania ukizilinganisha na nchi nyingine duniani ambazo zimefunga kabisa usafiri na nchi athirika kwa hofu ya kuenea ugonjwa huu,

nchi kama Urusi ambayo ni mshirika mkubwa wa China imepiga marufuku raia wote kutoka China sababu ya ugonjwa huu ambao aambukizi yake hayaonekani mpaka zipite siku 14, nchi nyingine zilizopiga marufuku kabisa raia wa China ni Australia, Singapore, Iran, Ufilipino, New Zealand n.k

Nchi nyingine zimefika mbali zaidi kwa kupiga marufuku kabisa hata raia wa nchi nyingine ambaye aliwahi kwenda China siku za karibuni

Nchi kama Saudi Arabia imesitisha ibada za Hijja ndogo kutokana na hofu ya maambukizi haya, na inaweza kupiga hata marufuku ya Hijja kubwa

Nchi nyingi za kiarabu pia zimekatisha kabisa safari zake na Iran ambayo ina waathirika ambao hawafiki hata 300 kwa hofu ya ugonjwa huu, lakini Tanzania inaruhusu watalii kutoka China kwenye maambukizi ya takribani 80,000

Kwani tangu lini sirikali ya Fisiemu inawajali ?
 
Wanasiasa wetu ni wapumbavu
 
Hao wakimbizi wa Corona (watalii) wametokea Wuhan? Maana serikali yao imepiga marufuku safari za kuingia na kutoka Wuhan.

Kama ni maeneo mengine ya China ambayo hayajaathirika sana basi huenda lisiwe tatizo kubwa japo ni muhimu kuchukua tahadhari.

Walioondoka Wuhan kabla ya karantini kuwekwa rasmi wamechangia pakubwa kusambaza ugonjwa huo na baadhi yao wanaweza kutia timu huku TZ ikawa mtafutano
 
Kwanza umewai kusikia wapi mtu mwenye ngozi nyeusi anakufa kwa mafua au umewai sikia wapi mtu mweusi aliyeko uko chini amekufa kwa korona zaidi ya kuonekana ana ugonjwa huo lkn hawezi kufa.mtu ametujalia wetu weusi

Sent using Jamii Forums mobile app
Endeleen kujidanganya Kuna mdada mkongoman amesha ukata Sema hawatangazi wanapendelea kuficha ili waendelee kupokea watalii uku wakitoa propaganda kwamba mtu mweus haf kwa korona Sasa sis tujifanye tunapenda hela tuwapokee tu Lakin ikitokea mgonjwa hata mmoja kapatika tz mjue tunapigwa block nchi zote alafu ndio mtasema kwenye majanga utalii unaruhusiwa na akipatikana mgonjwa mmoja mjue hata Kuja mtalii hata mmoja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanaosema eti Waafrika hawapati huo Ugonjwa wanajidanganya, ona huyu mkameruni aliupata akalazwa hospitali kabisa.

Img-1582833904746.jpg
 
Chadema Chadema

Chukua hii kama hoja kwenye kampeni zenu
Huo Sio Uzalendo Mnawezaje kuruhusu Wachina kutalii hali ya kua Mmekataa kuchukua Ndugu zetu watanzania wanaosoma China

Powerfull Countries Zimezuia watu kutoka China
Who are you TANZANIA ?
Tuliopo kwenye kampeni za Maji Safi na Salama, Nyumba Ni Choo nk
 
Huu ugonjwa Inavyosemakana ngoz nyeusi hautupati,had sasa haluna report inayoonyesha mwafrica ngoz nyeus amefariki au kuambukizwa...kuna jambo lakujifunza hapa
 
Back
Top Bottom