The hitman
JF-Expert Member
- Nov 30, 2017
- 3,673
- 2,288
Hali ni TeteJust a picture or kuna uhusiano na huo ugonjwa?
Ni huzuni ccm na uongozi wao hapa wamefeli na wamepanga kuangamiza taifa kwa ajili ya pesaSwali zuri.
Ina maana tumeweka mbele fedha kuliko maisha ya raia wetu.
Jambo hili la kupuuzia maisha ya binadamu mwenzio hata mmoja tu linaleta laana kubwa kwa taifa.
Kamwe hatutaendelea, hatujifunzi kwa Marekani, hawa jamaa hawaachi raia wake hatarini awe mmoja au elfu kumi, awe mkubwa au mtoto mchanga.
Kama tumeaacha kuwarudisha raia wetu, watoto wetu toka China sababu ya ugonjwa, tunawezaje kupokea raia wa kigeni toka China huko huko?
Rwanda yenyewe haipokei watu kutoka chinaNchi gani ya Africa imepiga marufuku raia kutoka china?
Huu ni upumbavu wa kiwango cha lami, et wanaregister wageni watawamonitor kivipi akishaingia mtaani,Ugonjwa wa Corona umezidi kusambaa kwa kasi na kuingia kwenye nchi nyingi duniani licha ya tahadhari kubwa na teknolojia ya hali ya juu ya kuchuja wageni
Baada ya kuona ugon jwa huu haudhibitiki kirahisi sasa imepelekea nchi nyingi kukata mawasiliano kabisa na nchi zenye maambukizi makubwa ya ugonjwa huu kama China, Iran, Italia, Japan na Korea
Hata hivyo Tanzania haina habari, Tanzania imezidi kupokea watalii kutoka China huku ikijidai kuwa haijali raia anatokea wapi kwa kuwa ipo vizuri kwenye kujilinda
Hiki ni kichekesho ukizingatia facilities na teknolojia za Tanzania ukizilinganisha na nchi nyingine duniani ambazo zimefunga kabisa usafiri na nchi athirika kwa hofu ya kuenea ugonjwa huu,
nchi kama Urusi ambayo ni mshirika mkubwa wa China imepiga marufuku raia wote kutoka China sababu ya ugonjwa huu ambao aambukizi yake hayaonekani mpaka zipite siku 14, nchi nyingine zilizopiga marufuku kabisa raia wa China ni Australia, Singapore, Iran, Ufilipino, New Zealand n.k
Nchi nyingine zimefika mbali zaidi kwa kupiga marufuku kabisa hata raia wa nchi nyingine ambaye aliwahi kwenda China siku za karibuni
Nchi kama Saudi Arabia imesitisha ibada za Hijja ndogo kutokana na hofu ya maambukizi haya, na inaweza kupiga hata marufuku ya Hijja kubwa
Nchi nyingi za kiarabu pia zimekatisha kabisa safari zake na Iran ambayo ina waathirika ambao hawafiki hata 300 kwa hofu ya ugonjwa huu, lakini Tanzania inaruhusu watalii kutoka China kwenye maambukizi ya takribani 80,000
Countries ban recent travellers from China over coronavirus fears – Business Traveller
A growing number of countries are imposing travel bans on foreign nationals who have travelled to China recently due to the coronavirus outbreakwww.businesstraveller.com
Coronavirus: Russia bans Chinese nationals from entering country
Russia has taken a drastic step over the COVID-19 coronavirus outbreak.www.euronews.com
Iran bans Chinese citizens from entering the country: IRNA
Iran has banned Chinese citizens from entering the country, Iranian state news agency IRNA reported on Thursday, amid the spread of the new coronavirus across the Islamic Republic that had killed 26 Iranians.www.reuters.com
All over the world, countries are imposing travel bans on visitors who’ve been to China
Such bans run counter to official advice from the World Health Organization.qz.com
Very true nakale kaubaguzi kao, huyu Dr chaula she looks like layman, ngoja ukiibuka huo ugonjwa ndo atakiona cha moto, nchi za Russia, Rwanda, Kenya, Europe wamekataaa kupokea Wachina leo kwa sababu ya njaa zetu unapokea matatizo. Ooo my ass.Laiti ugonjwa ungeanzia Africa naamini China wasingeruhusu Ngozi nyeusi kukanyaga kwao hata wangekua wanaenda kutalii
Serikali ya CCM haijali afya za watanzania kamwe ndiyo maana wameamua kuwaleta wachina waje kuwaua kama NzigeWatu wanafanya masikhara na maisha ya watu nyie
Regardless kuwa uzi wa mtoa mada ni sahihi au sio sahihi hatua kali inabidi zichukulie
Leo waziri wa Afya wa Iran anautangazia umma kuwa hakuna Corona Iran
Kesho anakua victim wa ugonjwa huo huo
Ni virus ambao hawajui kucheka na Mtu
Nasikitwisha na comments za kitoto za baadhi ya watu humu
Njaa za CCM ndiyo zitaliangamiza TaifaVery true nakale kaubaguzi kao, huyu Dr chaula she looks like layman, ngoja ukiibuka huo ugonjwa ndo atakiona cha moto, nchi za Russia, Rwanda, Kenya, Europe wamekataaa kupokea Wachina leo kwa sababu ya njaa zetu unapokea matatizo. Our my ass.
Wote wana corona wamekuja kuwaua watanzaniahatujitambui
Hao siyo watalii, ni wakimbizi wa Corona huko kwao, wanakuja huku kutulia mpaka huko kwao hali iwe shwari, Na you never know wengine wwnaweza kuwa na virusi vya ugonjwa huo
Yafaa mgonjwa wa kwanza awe kiongozi wa CCM ndipo watazindukaMungu anaelewa unyongewetu Hatuna Hatia hataacha tuangamie Kisa wachache
Ikitokea lolote ataanza Nawao kwanza
Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu hujali watu wanaojijali!!!.Itabidi tuzuwie wa watu wa nchi nyingi duniani wasije, kwani corona kwa sasa hayupo China pekee.
Wacha waje tu. Kifo nini kifo tu iwe cha Corona au Malaria au Ukimwi au kingine chochote kile. Zote.ni sababu tu.
Rudini kwa Allah mjisalimishe kwake, kifo tunatembea nacho, usikiogope. Kama si leo, kesho.