Serikali kutodhibiti idadi ya wageni wanaoingia nchini kwa kisingizio cha Utalii, inahatarisha Usalama wa Taifa dhidi ya virusi vya Corona

Serikali kutodhibiti idadi ya wageni wanaoingia nchini kwa kisingizio cha Utalii, inahatarisha Usalama wa Taifa dhidi ya virusi vya Corona

Hawa wajinga hawajui lolote
Mabogus kama haya ndo hupewa nchi

Hawajui vipimo vinafanyaje kazi yanakazania uongozi na kujifanya yanajua
Kweli mabogus yamo mengi nchini
Yan inachukua kosa dogo tu mlipuko kuenea nchin
Na inatakiwa libogus moja lisimamie


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Swali zuri.
Ina maana tumeweka mbele fedha kuliko maisha ya raia wetu.

Jambo hili la kupuuzia maisha ya binadamu mwenzio hata mmoja tu linaleta laana kubwa kwa taifa.
Kamwe hatutaendelea, hatujifunzi kwa Marekani, hawa jamaa hawaachi raia wake hatarini awe mmoja au elfu kumi, awe mkubwa au mtoto mchanga.

Kama tumeaacha kuwarudisha raia wetu, watoto wetu toka China sababu ya ugonjwa, tunawezaje kupokea raia wa kigeni toka China huko huko?
Ni huzuni ccm na uongozi wao hapa wamefeli na wamepanga kuangamiza taifa kwa ajili ya pesa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ugonjwa wa Corona umezidi kusambaa kwa kasi na kuingia kwenye nchi nyingi duniani licha ya tahadhari kubwa na teknolojia ya hali ya juu ya kuchuja wageni





Baada ya kuona ugon jwa huu haudhibitiki kirahisi sasa imepelekea nchi nyingi kukata mawasiliano kabisa na nchi zenye maambukizi makubwa ya ugonjwa huu kama China, Iran, Italia, Japan na Korea

Hata hivyo Tanzania haina habari, Tanzania imezidi kupokea watalii kutoka China huku ikijidai kuwa haijali raia anatokea wapi kwa kuwa ipo vizuri kwenye kujilinda

Hiki ni kichekesho ukizingatia facilities na teknolojia za Tanzania ukizilinganisha na nchi nyingine duniani ambazo zimefunga kabisa usafiri na nchi athirika kwa hofu ya kuenea ugonjwa huu,

nchi kama Urusi ambayo ni mshirika mkubwa wa China imepiga marufuku raia wote kutoka China sababu ya ugonjwa huu ambao aambukizi yake hayaonekani mpaka zipite siku 14, nchi nyingine zilizopiga marufuku kabisa raia wa China ni Australia, Singapore, Iran, Ufilipino, New Zealand n.k

Nchi nyingine zimefika mbali zaidi kwa kupiga marufuku kabisa hata raia wa nchi nyingine ambaye aliwahi kwenda China siku za karibuni

Nchi kama Saudi Arabia imesitisha ibada za Hijja ndogo kutokana na hofu ya maambukizi haya, na inaweza kupiga hata marufuku ya Hijja kubwa

Nchi nyingi za kiarabu pia zimekatisha kabisa safari zake na Iran ambayo ina waathirika ambao hawafiki hata 300 kwa hofu ya ugonjwa huu, lakini Tanzania inaruhusu watalii kutoka China kwenye maambukizi ya takribani 80,000





Huu ni upumbavu wa kiwango cha lami, et wanaregister wageni watawamonitor kivipi akishaingia mtaani,
 
Laiti ugonjwa ungeanzia Africa naamini China wasingeruhusu Ngozi nyeusi kukanyaga kwao hata wangekua wanaenda kutalii
Very true nakale kaubaguzi kao, huyu Dr chaula she looks like layman, ngoja ukiibuka huo ugonjwa ndo atakiona cha moto, nchi za Russia, Rwanda, Kenya, Europe wamekataaa kupokea Wachina leo kwa sababu ya njaa zetu unapokea matatizo. Ooo my ass.
 
Watu wanafanya masikhara na maisha ya watu nyie
Regardless kuwa uzi wa mtoa mada ni sahihi au sio sahihi hatua kali inabidi zichukulie

Leo waziri wa Afya wa Iran anautangazia umma kuwa hakuna Corona Iran
Kesho anakua victim wa ugonjwa huo huo

Ni virus ambao hawajui kucheka na Mtu
Nasikitwisha na comments za kitoto za baadhi ya watu humu
Serikali ya CCM haijali afya za watanzania kamwe ndiyo maana wameamua kuwaleta wachina waje kuwaua kama Nzige
 
Very true nakale kaubaguzi kao, huyu Dr chaula she looks like layman, ngoja ukiibuka huo ugonjwa ndo atakiona cha moto, nchi za Russia, Rwanda, Kenya, Europe wamekataaa kupokea Wachina leo kwa sababu ya njaa zetu unapokea matatizo. Our my ass.
Njaa za CCM ndiyo zitaliangamiza Taifa
 
CCM haina huruma inapenda pesa za Wachina kuliko Uhai wa watanzania
 
Watanzania wanaenda kuangamia kama Nzige mda si mrefu
 
hatujitambui
Hao siyo watalii, ni wakimbizi wa Corona huko kwao, wanakuja huku kutulia mpaka huko kwao hali iwe shwari, Na you never know wengine wwnaweza kuwa na virusi vya ugonjwa huo
Wote wana corona wamekuja kuwaua watanzania
 
Corona haina namna itaacha kuingia Tanzania kwani idadi kubwa ya Wachina wanaoingia Nchini ni wagonjwa
 
Hello

Hivi karibuni kumezuka ugonjwa wa Corona huko
China mainland ambao umekuwa tishio kwa dunia
sasa. Nchi nyingi sasa ikiwemo India ambayo tumekuwa Tukienda tibiwa kwa magonjwa ambayo huko tiba imeshindikna wameamua kuzuia watu wote wanao tokea China kuingia nchini mwao kwa kuwa wameshaiona hatari kubwa kwa kuwapokea

Sasa nchi yetu ambayo ikitokea kipindu pindu ni mtihani mkubwa, serikali kwa tamaa yenu ya fedha ndogo za utalii tena watalii tokea China sio watalii ambao wanao spend Pesa nyingi.

Naandika habari hii huku moyo wangu na kichwa changu vikiuma kwa kuona kuwa kama watu waliopo China haswa mji wa Wuhan imefikia kipindi hata face mask ziliwaishia ikabidi wananchi wenye vipato waanze agiza tokea huku, je kama China walipata shida ya hizo face mask je ikitokea Corona imetokea Dar es Salaam si itakuwa balaa

Tafadhali serIkali wazuieni watu wote watokao China kuingia nchini kwetu.

Tatizo tunawanyenyekea sana Wachina ! Nadhani kinachotokea Korea kusini mmekisikia, tena kwenye nchi ambayo ipo G20 !

Haya wacha nichemshe maji ya wanangu wakiamka waoge ili waende shule mapema !



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Itabidi tuzuwie na watu wa nchi nyingi duniani wasije, kwani corona kwa sasa hayupo China pekee.

Wacha waje tu. Kifo nini kifo tu iwe cha Corona au Malaria au Ukimwi au kingine chochote kile. Zote ni sababu tu.

Rudini kwa Allah mjisalimishe kwake, kifo tunatembea nacho, usikiogope. Kama si leo, kesho.
 
Itabidi tuzuwie wa watu wa nchi nyingi duniani wasije, kwani corona kwa sasa hayupo China pekee.

Wacha waje tu. Kifo nini kifo tu iwe cha Corona au Malaria au Ukimwi au kingine chochote kile. Zote.ni sababu tu.

Rudini kwa Allah mjisalimishe kwake, kifo tunatembea nacho, usikiogope. Kama si leo, kesho.
Mungu hujali watu wanaojijali!!!.
 
Naunga mkono hoja, but it's very unfortunately, beggars can not be chooses!.
when your too poor na kazi yako kubwa is just to beg, wewe you just beg and you can't say no to anything however how small or risky it is, to you its money first, even just a small change, you can't say mo, you just say yes to everything!. Hizi ndizo gharama za umasikini.
P
 
Back
Top Bottom