Serikali kutumia kigezo cha kujitolea kuajiri Walimu siyo haki

Kubeba failures ilikuwa ni mkakati wa kujaza walimu wa shule za msingi ili kufidia deficiency wa walimu nchini; sera ilipita mwaka 2006 ikawa na utekelezaji mwaka 2007
lakini watu wana dhana hyo hadi leo
 
we ndo unadanganya nenda kaangalie majina wanayoyojiunga pale UDSM mwenye alama ndogo ana daraja la 2.10 hyo ilikuwa 2012, vitu vingine usiongee bila ya kuwa na uhakika ni aibu
Hata ktk waliopata div one kwenye ushindani kuna waliofeli: aliyepata one ya points 5,6 na 7 amefeli ukimlinganisha na mwenye one ya points 3 na 4. Sasa wewe unaongelea wenye two za points10 !!!
 
2 ndo wa mwisho kumchukua wanaanza na 1.3 hadi 2.10 tu
Hata ktk waliopata div one kwenye ushindani kuna waliofeli: aliyepata one ya points 5,6 na 7 amefeli ukimlinganisha na mwenye one ya points 3 na 4. Sasa wewe unaongelea wenye two za points10 !!!
 
Acha kudanganya umma

Mwaka 2000 niliingia UDSM kusoma Education nikiwa na Div 1 ya Point 7 kutoka kidato cha 6. Kwahiyo usibishe kuwa kuna watu wana ufaulu wa madaraja hayo wanaingia kusoma ualimu.
 
Acha kudanganya umma

Mwaka 2000 niliingia UDSM kusoma Education nikiwa na Div 1 ya Point 7 kutoka kidato cha 6. Kwahiyo usibishe kuwa kuna watu wana ufaulu wa madaraja hayo wanaingia kusoma ualimu.

Tungejua thamani ya hii taaluma; tusingekuwa na sera nyingi za hovyo hii nchi
 
Ajira kwa kigezo cha kujitolea ni upungufu wa akili kichwani.Kujitolea siyo haki wala sheria.Ajira ni haki iliyokosa sheria.
Mh.Lissu amelibeba suala la ajira kwa wahitimu kuwa ni hoja ya kitaifa inayopaswa kutatuliwa wakati wa utawala wake.
#Tusio na #Ajira #Tumuunge #Mkono kwa kumpigia #Kura za √ na ndiyo ponapona yetu.
Kuna kiongozi ni #Shetani aliyejiapiza #kuwaadhibu #Vijana kwa Kuwanyima ajira tangu 2015.
 
Dogo umesema kweli waliojitolea Ni wachache hivyo wasitumie hicho kigezo kupenyeza watu wao kuweni waangalifu Sana na hao maccm no noma sana
 
Wananchi waliopo huko wanaishi vipi? Yaani wewe na kashahada kako ka ualimu ushajiona ni mtu maalumu Sana? Ili uende ualimu kwa vyovyote vile ulifeli. Sasa failure unaanzaje kuleta tambo na nyodo?
Kumbe kuna watu hadi wakati huu wana mentality kwamba waliosomea ualimu wote walifeli, kweli kama taifa tupo kwenye mkwamo.

Magufuli anatakiwa kuendelea kutawala kwa hali hii.
 
Hata ktk waliopata div one kwenye ushindani kuna waliofeli: aliyepata one ya points 5,6 na 7 amefeli ukimlinganisha na mwenye one ya points 3 na 4. Sasa wewe unaongelea wenye two za points10 !!!
Una tatizo kubwa la ufahamu i.e kusoma kitu kilichoandikwa na kuweza kufahamu ujumbe uliomo kwenye kitu hicho.
 
Kwa nini nijitolee wakati nilifaulu mtihani?

Kwa nini unipime uzalendo kwa kunilazimisha nijitolee wakati hujui wapi napata chakula, mavazi, usafiri na malazi?

Ni kwa nini nijitolee katika mazingira yanayokifanya nionekane mtumwa?

Mwisho, kama ajira zipo watu wapewe na kama hazipo tamko litoke ili tuzoee na tuache kusumbuana.
 
Uwongo km 2000 wapi acha izo ww akuna distance ya km 2000 kwa tz hapa hata kutoka mtwara mpaka bukoba co km 2000ni km 1700..
 
Umenena! Barikiwa
 
Ebu jaribu kuvaa viatu vya mtu anayejitolea, au vaa vya mamlaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…