Joan lewis
JF-Expert Member
- Jan 3, 2019
- 1,021
- 1,542
Na hapo lazma wazunguke nchi nzima kuomba kura.Unajua lazima tukae chini tufikiri zaidi.
Hebu waza, huyu mtu ni Rais wa cwt, mwingine ni katibu mkuu...ok forget baadhi ya hoja ambazo naziona kwa baadhi ya wajumbe, mmoja akidai wakaguliwe n.k. sasa mtu ana cheo kama hiki, unampa ukuu wa wilaya, ndio kusema nchi haina watu mbadala wa kuwapa hiyo nafasi mpaka umpe mtu mwenye cheo kingine? Maana yake, huyo aachie hiyo ngazi ufanyike uchaguzi mwingine wa kumpata rais na katibu...
Hili jambo lisiangaliwe kimhemuka bali twende na uhalisia. Kuna sabb gani ya kufanya hivyo kwa watu wa namna hiyo?
Listi wa wasomi imeisha?
..."pishaneni hapo si bure"... Maana yake wakitoka hawa, wale waingie katika kufuatilia jambo hilo hilo ili kubaini ukweli usioacha shaka!Takukuru, CAG pishaneni hapo si bure kuna jambo zito! Ufujaji wa kutisha!
Wameogopa kuondoka possibly bila kuweka mambo sawasawa!, itakuwa hatari kwao!
Ndio maana ukaitwa uteuzi, sio lazima.Mbona kama sio wasomi waajiriwa? Muajiri wao ni serikali ambayo inawalipa mishahara na inaweza kuwapangia majukumu mengine kwa kuwa ni waajiri wake. Kwanza ni utovu wa nidhamu kugomea uteuzi huo
Kwa mantiki hiyo, hao watu ndo alpha na omega hapo cwt? Wamefanya makosa sana, naamini hapo walipo wanasema kama tungelijua. Huo ni utovu wa nidhamu wa kiwango cha juu! Hata kama ningekuwa mimi nisengevumilaUnajua lazima tukae chini tufikiri zaidi.
Hebu waza, huyu mtu ni Rais wa cwt, mwingine ni katibu mkuu...ok forget baadhi ya hoja ambazo naziona kwa baadhi ya wajumbe, mmoja akidai wakaguliwe n.k. sasa mtu ana cheo kama hiki, unampa ukuu wa wilaya, ndio kusema nchi haina watu mbadala wa kuwapa hiyo nafasi mpaka umpe mtu mwenye cheo kingine? Maana yake, huyo aachie hiyo ngazi ufanyike uchaguzi mwingine wa kumpata rais na katibu...
Hili jambo lisiangaliwe kimhemuka bali twende na uhalisia. Kuna sabb gani ya kufanya hivyo kwa watu wa namna hiyo?
Listi wa wasomi imeisha?
Unawadanganya wenzako! Ukatae uteuzi wa mamlaka za Nchi? Kama ni mimi wangenikoma hawa wahunini bora nikaachishwa kazi kuliko kuingia kwenye mifumo ya hovyo ya nchi hii.kama rais analalamika kuhusu pesa za plea bargaining wakati yeye alikuwa makamu wa rais na makamu wake wa sasa alikuwa waziri wa fedha sasa hayo si maajabu ya dunia?kama watashughurikiwa itakuwa ni uonevu wa hali juu na tutakuwa tunarudi kwenye mambo ya hovyo ya awamu ya tano.