Serikali kuwaruhusu CHADEMA kuwa na vikundi vya ulinzi ni kuhatarisha usalama wa nchi yetu na kinyume cha sheria.

Mleta mada namhurumia mama yako,kaumia bure wadi ya wazazi.
Hao walinzi wamevunja sheria ipi?
Kwani mtu kujilinda ni kosa?
 
Huyu atakuwa ni mmojawapo wa waliomvunja mwamba mguu na......
 
Katika makosa makubwa aliyofanya samia ni kuingilia kesi ya mbowe. Ccm watakuja juta. Viongozi wa dini sio watakatifu wengi wanabeba maslahi ya kibeberu. Chadema wameshakua na mentality ya kutaka dola kwa nguvu. Wameaminishwa wanaibiwa kura kwa propaganda zinazoratibiwa na mabeberu kupitia vikundi kama vya kina armsterdam.
Vikundi vya chadema vya kimgambo sio muda vitaanzisha na vitaendeleza hujuma za kigaidi
 
Bila shaka utakuwa umetoloka milembe.
 
Green guard ni kikundi cha chama gani?

Sorry mm si mnazi wa chama chochote ila kama hii sheria iwe ina apply hadi kwa ccm
Tena ni watu hatariiii kabisaaa hao.Huwa wanaenda mafunzo China na hupewa Siraha za moto.

Na leo wameonekana wakimlinda Shaka huko Arusha
 
Maisha yanaenda kasi sana [emoji1787][emoji1787]
 
Watu watatu ndiyo unaita kikundi..
Juzi juzi Lissu aliomba uhakika wa usalama wake akirudi nchini bila shaka ulisikia majibu yaliyotoka. Akiamua kujiundia ulinzi wake binafsi utamkenulia?
 
Ach
Acheni hofu nchi inaponywa taratibu, magu hayupo tena duniani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…