Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,273
- 13,567
Mleta mada namhurumia mama yako,kaumia bure wadi ya wazazi.
Hao walinzi wamevunja sheria ipi?
Kwani mtu kujilinda ni kosa?
Hao walinzi wamevunja sheria ipi?
Kwani mtu kujilinda ni kosa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa mnahofia nini?Makomamdoo wenyewe wanaonekana wamelegea viuno na nyonga sasa hao watatisha nani?
Huyu atakuwa ni mmojawapo wa waliomvunja mwamba mguu na......Sheria ya vyama vya siasa hapa nchini ipo wazi kabisa kuwa hakuna chama cha siasa kinachopaswa kuwa na makundi yanayojihusisha na masuala ya usalama.
Kifungu cha 8E cha sheria ya vyama vya siasa kimeweka wazi kabisa juu ya hili suala ili kulinda maslahi mapana ya usalama wa taifa letu.
Kuwaacha Chadema wakawa na makomandoo na vikundi vya ulinzi ni hatari kwa taifa letu na huko mbele watazua mtafaruku.
Wazuiliwe mara moja maana huku ni kuvunja sheria za taifa letu
👇👇👇
View attachment 2157029
View attachment 2157030
View attachment 2157031
Nikuulize ww. Mnazi mwanachama mfiachama wa ccmKwani wapo?
Katika makosa makubwa aliyofanya samia ni kuingilia kesi ya mbowe. Ccm watakuja juta. Viongozi wa dini sio watakatifu wengi wanabeba maslahi ya kibeberu. Chadema wameshakua na mentality ya kutaka dola kwa nguvu. Wameaminishwa wanaibiwa kura kwa propaganda zinazoratibiwa na mabeberu kupitia vikundi kama vya kina armsterdam.Sheria ya vyama vya siasa hapa nchini ipo wazi kabisa kuwa hakuna chama cha siasa kinachopaswa kuwa na makundi yanayojihusisha na masuala ya usalama.
Kifungu cha 8E cha sheria ya vyama vya siasa kimeweka wazi kabisa juu ya hili suala ili kulinda maslahi mapana ya usalama wa taifa letu.
Kuwaacha Chadema wakawa na makomandoo na vikundi vya ulinzi ni hatari kwa taifa letu na huko mbele watazua mtafaruku.
Wazuiliwe mara moja maana huku ni kuvunja sheria za taifa letu
👇👇👇
View attachment 2157029
View attachment 2157030
View attachment 2157031
Bila shaka utakuwa umetoloka milembe.Katika makosa makubwa aliyofanya samia ni kuingilia kesi ya mbowe. Ccm watakuja juta. Viongozi wa dini sio watakatifu wengi wanabeba maslahi ya kibeberu. Chadema wameshkukua na mentality ya kutska dola kwa guvu. Wamwaminishwa wanaibiwa kura kwa propaganda za zinazoratibiwa na mabeberu kupitia vikundi vya kina armsterdam.
Nenda ukamwamshe mwendazake aje avizuie. Au mwombe hata Bashite na Sabaya avizuieJikite kwenye mada dogo.
Tena ni watu hatariiii kabisaaa hao.Huwa wanaenda mafunzo China na hupewa Siraha za moto.Green guard ni kikundi cha chama gani?
Sorry mm si mnazi wa chama chochote ila kama hii sheria iwe ina apply hadi kwa ccm
Wewe umeishia vyoo vya Lumumba.Umeishia la ngapi?
Tena mdogo snUnachopost kinaonesha uwezo wako wa kufikiri
Maisha yanaenda kasi sana,daaaahTena mdogo sn
Maisha yanaenda kasi sana [emoji1787][emoji1787]Sheria ya vyama vya siasa hapa nchini ipo wazi kabisa kuwa hakuna chama cha siasa kinachopaswa kuwa na makundi yanayojihusisha na masuala ya usalama.
Kifungu cha 8E cha sheria ya vyama vya siasa kimeweka wazi kabisa juu ya hili suala ili kulinda maslahi mapana ya usalama wa taifa letu.
Kuwaacha Chadema wakawa na makomandoo na vikundi vya ulinzi ni hatari kwa taifa letu na huko mbele watazua mtafaruku.
Wazuiliwe mara moja maana huku ni kuvunja sheria za taifa letu
[emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 2157029
View attachment 2157030
View attachment 2157031
Watu watatu ndiyo unaita kikundi..Sheria ya vyama vya siasa hapa nchini ipo wazi kabisa kuwa hakuna chama cha siasa kinachopaswa kuwa na makundi yanayojihusisha na masuala ya usalama.
Kifungu cha 8E cha sheria ya vyama vya siasa kimeweka wazi kabisa juu ya hili suala ili kulinda maslahi mapana ya usalama wa taifa letu.
Kuwaacha Chadema wakawa na makomandoo na vikundi vya ulinzi ni hatari kwa taifa letu na huko mbele watazua mtafaruku.
Wazuiliwe mara moja maana huku ni kuvunja sheria za taifa letu
👇👇👇
View attachment 2157029
View attachment 2157030
View attachment 2157031
Acheni hofu nchi inaponywa taratibu, magu hayupo tena duniani.Sheria ya vyama vya siasa hapa nchini ipo wazi kabisa kuwa hakuna chama cha siasa kinachopaswa kuwa na makundi yanayojihusisha na masuala ya usalama.
Kifungu cha 8E cha sheria ya vyama vya siasa kimeweka wazi kabisa juu ya hili suala ili kulinda maslahi mapana ya usalama wa taifa letu.
Kuwaacha Chadema wakawa na makomandoo na vikundi vya ulinzi ni hatari kwa taifa letu na huko mbele watazua mtafaruku.
Wazuiliwe mara moja maana huku ni kuvunja sheria za taifa letu
👇👇👇
View attachment 2157029
View attachment 2157030
View attachment 2157031
Walienda wapi?Kwani wapo?