Until_The_End
JF-Expert Member
- Nov 21, 2020
- 1,456
- 2,202
Wasabato akili finyu sana wanang'ang'ania kitu ambacho hawakiwezi.Sahihi mtu akiona kazi haiendani na imani yako aachena nayo
Mfano mtu hajalamishwa kuwa lazima ahudhurie interview
Sidhani kama ni fahari kutamba kuwaumiza watu wa Imani nyingine kwa sababu tu wamesimamia misingi ya Imani yao,, na umewataja kabisa waliohusika kuwasitishia masomo. Huyo Padri alipata faida gani. Serikali inatakiwa kulizingatia hili.Hawa Wasabato waliwahi kuwa deregisterd pale SAUT kipindi cha VC Father Dk. Kitima na DVCA (Sasa Baba Askofu) Dk. Bernidine Mfumbusa walipokataa kufanya mitihani yao ya UE siku ya Jumamosi!
Acha porojo wewe kasome katiba
Serikali haina dini na ajira hazina dini
Ndio maana mfano jeshini vita imelipuka huwezi anza kuleta porojo za sabato.kuwa mimi leo sabato sipigani vita waakutwanga risasi Jeshi halina dini .Na Serikali haina dini .Ukiomba unatakiwa kwanza ujue hilo.
Huyo jamaa ni mshamba na limbukeni fulani, kuna watu walimuaminisha kuwa yeye ana akili sana kuliko wengine!Ukiomba unatakiwa kwanza ujue hilo.
Hujui kitu... Hata hiyo Torati huijui😎Acha kuzungumza mambo usiyoyaelewa.
Atoe kwenye biblia hata mstari mmoja unatamka neno jumamosi kuwa ndio siku.ya sabatoNimewaambia watumie common sense plus fikra tunduizi kuwa kuna ushahidi wowote wa kimaandiko kuwa Mungu anataja majina ya siku au kikundi na tabaka la watu fulani wachache lilikaa na kuamua??
Sasa kama wewe kilaza plus ulimbukeni na ushamba uliokujaa unaweza mimi nitashindwa??
Sio vibaya kuitenga Jumapili iwe siku ya interview kwa vile wa Jumapili hawana makatazo kibiblia.Kutenga siku moja tu kwa ajili ya manufaa yako inaathiri nini dini yake
Hujui kitu... Hata hiyo Torati huijui😎
Nadhani wewe ndie unsaua zaidi mambo ya mashoga kuliko mimi.maana wewe jina la kiume lakini kutwa humu.huwa unaanfika mambo ya wanawake .Nadhani uko kike zaidi kuliko kiume
Mashoga wengi hupenda mambo ya kik .na kutwa kuengelea mambo ya kike sio kiume
Jamaa ana matatizo ya saikolojia kuhusu wanawake coz kuna siku alipanda usafiri wa umma na demu wake, akaja humu kuongelea! Ndiyo nikasema hili bonge la boya plus ushamba na ulimbukeni!lakini kutwa humu.huwa unaanfika mambo ya wanawake
Huwezi kuwa na kampuni yako binafsi kwaajili wewe bado mtoto wa shule!Mungu anisamehe. Kama ningelikuwa na kampuni yangu binafsi na naweza kuajiri watu mmoja,wawili na kuendelea, siwezi kuajiri Msabato! Very stubborn!
Kwenye huo usaili wa Jmos, Wasabato wapo wangapi na madhehebu mengine wapo wangapi?
Mtu anayetoa ushamba, ulimbukeni na uboya anaitwaje??Mtu anayemfutilia mshamba na limbukeni ataitwa jina gani?
Serikali haina dini wala imani.
Kama hao wahitimu wanaona dini na imani zao ni muhimu kuliko usaili, wabaki nyumbani wakisifu na kuabudu.
Serikali haiwezi kuacha kufanya mambo yake kwa kigezo cha imani za watu.
Kama mtu anaona imani yake ni bora sana kuliko usaili, Asiende.
Mtu anayetoa ushamba, ulimbukeni na uboya anaitwaje??
Kwakweli!Waajiriane
Kwakweli!
Acha upumbavu mkuu hizi dini tulizaliwa tukazikuta embu tuwe na kiasi na tuache ubinafsi. Ninyi mkilalamika hivyo je vipi wenzenu wanao swali na kuabudu jumapili na ijumaa?.Pole Yao.
Serikali iliangalie Jambo hilo