Serikali kuweka siku ya jumamosi kuwa siku ya Usaili ni kuwakosea Haki Wahitimu waumini wa kisabato

Serikali kuweka siku ya jumamosi kuwa siku ya Usaili ni kuwakosea Haki Wahitimu waumini wa kisabato

Sahihi mtu akiona kazi haiendani na imani yako aachena nayo

Mfano mtu hajalamishwa kuwa lazima ahudhurie interview
Wasabato akili finyu sana wanang'ang'ania kitu ambacho hawakiwezi.

Serikali tukisema waipe ruhusa isimamie torati kama ilivyo kwa wanaoitaka wote wanaishia jera kwa kuivunja.

Ni sawa na Serikali isimamie Sharia Law ya dini ya kiislam wote wataishia jera kwa kuivunja.
 
Hawa Wasabato waliwahi kuwa deregisterd pale SAUT kipindi cha VC Father Dk. Kitima na DVCA (Sasa Baba Askofu) Dk. Bernidine Mfumbusa walipokataa kufanya mitihani yao ya UE siku ya Jumamosi!
Sidhani kama ni fahari kutamba kuwaumiza watu wa Imani nyingine kwa sababu tu wamesimamia misingi ya Imani yao,, na umewataja kabisa waliohusika kuwasitishia masomo. Huyo Padri alipata faida gani. Serikali inatakiwa kulizingatia hili.
 
Acha porojo wewe kasome katiba

Serikali haina dini na ajira hazina dini

Ndio maana mfano jeshini vita imelipuka huwezi anza kuleta porojo za sabato.kuwa mimi leo sabato sipigani vita waakutwanga risasi Jeshi halina dini .Na Serikali haina dini .Ukiomba unatakiwa kwanza ujue hilo.

Kwani kasema serikali Ina dini?

Serikali inatokana na watu wenye dini na wasio na dini.
Serikali lazima itende Haki kwa Watu wake hao licha ya tofauti Zao.

Porojo unazileta wewe hapa
 
Nimewaambia watumie common sense plus fikra tunduizi kuwa kuna ushahidi wowote wa kimaandiko kuwa Mungu anataja majina ya siku au kikundi na tabaka la watu fulani wachache lilikaa na kuamua??
Atoe kwenye biblia hata mstari mmoja unatamka neno jumamosi kuwa ndio siku.ya sabato

Popote panaposema Jumamosi
 
Nadhani wewe ndie unsaua zaidi mambo ya mashoga kuliko mimi.maana wewe jina la kiume lakini kutwa humu.huwa unaanfika mambo ya wanawake .Nadhani uko kike zaidi kuliko kiume

Mashoga wengi hupenda mambo ya kik .na kutwa kuengelea mambo ya kike sio kiume

Umetumia Akiba ya Akili uliyobakiwa nayo kutumia neno " nadhani"

Nakupongeza
 
lakini kutwa humu.huwa unaanfika mambo ya wanawake
Jamaa ana matatizo ya saikolojia kuhusu wanawake coz kuna siku alipanda usafiri wa umma na demu wake, akaja humu kuongelea! Ndiyo nikasema hili bonge la boya plus ushamba na ulimbukeni!
 
Serikali haina dini wala imani.

Kama hao wahitimu wanaona dini na imani zao ni muhimu kuliko usaili, wabaki nyumbani wakisifu na kuabudu.

Serikali haiwezi kuacha kufanya mambo yake kwa kigezo cha imani za watu.

Kama mtu anaona imani yake ni bora sana kuliko usaili, Asiende.

Huelewi unachokizungumza.

Unajua Moja ya chanzo cha baadhi ya Makundi dini kutaka kuanzisha nchi Zao ni pamoja na Hoja uliyoieleza?
Unafikiri serikali inapotoa Uhuru wa kuabudu ni wajinga?

Waliotunga hayo mambo walikuwa mbele yako maili elfu
 
Pole Yao.
Serikali iliangalie Jambo hilo
Acha upumbavu mkuu hizi dini tulizaliwa tukazikuta embu tuwe na kiasi na tuache ubinafsi. Ninyi mkilalamika hivyo je vipi wenzenu wanao swali na kuabudu jumapili na ijumaa?.


Wasabato always mnakuwaga na matatizo sana. Huwa mnahisi kuwa nyinyi ni wajuzi sana wa mambo lakini kumbe wengi wenu mnaendeshwa na mihemko tu. Hopeless.
 
Back
Top Bottom