Serikali kuweka siku ya jumamosi kuwa siku ya Usaili ni kuwakosea Haki Wahitimu waumini wa kisabato

Serikali kuweka siku ya jumamosi kuwa siku ya Usaili ni kuwakosea Haki Wahitimu waumini wa kisabato

Nilijua utakimbilia kwenye torati ili useme ni pana sana haina mstari maalumu. Biblia ipo hapa karibu eeeh kitabu gani mstari wa ngapi?

Unaongelea amri kumi za Mungu. Na wakati huo huo kuna 2 Wathesalonike 3:10-13 ndani ya hio hio biblia.
Kwenye Torati kuna hiyo Amri ya KAZI
Na bahati nzuri kwenye hiyohiyo Amri ya KAZI ndio kuna Sheria ya MAPUMZIKO (SABATO)

Torati inasema ufanye Kazi kwa siku sita, siku ya Saba apumzike. Ni sabato ya Bwana, Mungu wako(Muumbaji) siku hiyo usifanye Kazi yoyote.

Ndio maana nikakuambia, hayo mambo ya Imani hasa ambayo huna uelewa nayo ni Bora uyaache. Serikali yenyewe ndio ihusike.

Wewe Wasabato wakisikilizwa na serikali kuna sehemu yoyote unapata hasara?
 
Vijana bhana,,,MTU analeta hoja yenye uhalisia wew unaleta blah blah,, na assumption mara mwingine Etc,, ambaye hayupo na hawez kuwepo
Point ni moja tuu.
Kama usabato wako ambao haujakupa ajira unaona n bora zaidi bc baki na usabato wako kaa nyumban Usiende kwenye usaili.
 
Na ijumaa je mbona hamsemi mnatukosea Adabu waislamu?
Au ndio mmmekaa kibaguzi mnaangalia upande mmojaju?
 
Tayari ushasema ni holidays. Leta mstari wa biblia kuhusu makambi

Kwa Wasabato Makambi ni Holiday
Na kwa bahati Njema Kabisa yapo Written kwenye Biblia.

Sasa kama wewe Biblia ndio muongozo wako alafu hujui kuna sikukuu za Makambi(vibanda) unanisaidia kuelewa najadili na mtu wa aina gani.

Ni sawasawa na muislam aseme hajui kama mwezi wa Ramadhan umeandikwa kwenye Quran. Ni ajabu sana
 
Na ijumaa je mbona hamsemi mnatukosea Adabu waislamu?
Au ndio mmmekaa kibaguzi mnaangalia upande mmojaju?

Wewe kama muislam
Kwa Majibu wa uislam, unazuiwa kujihusisha na Kazi au mambo ya Kazi siku ya ibada?
 
Kiserikali unafikiri imekaa Sawa kama wewe ni mtawala?

Achana na hawa Raia wa kawaida ambao hata kuwa Monitor wa Darasa hawakuwahi wana Haki ya kutoelewa nini kinazungumzwa
Kwenye huo usaili wa Jmos, Wasabato wapo wangapi na madhehebu mengine wapo wangapi?
 
Serikali haina dini wala imani.

Kama hao wahitimu wanaona dini na imani zao ni muhimu kuliko usaili, wabaki nyumbani wakisifu na kuabudu.

Serikali haiwezi kuacha kufanya mambo yake kwa kigezo cha imani za watu.

Kama mtu anaona imani yake ni bora sana kuliko usaili, Asiende.
 
Ndo maana nimekuomba ushahidi wa mstari huo wa biblia mie tomaso nikausome nione Holiday ya makambi

Sasa makambi na Ramadan wapi na wapi kwani swaumu nzima ni holidays?
Kwa Wasabato Makambi ni Holiday
Na kwa bahati Njema Kabisa yapo Written kwenye Biblia.

Sasa kama wewe Biblia ndio muongozo wako alafu hujui kuna sikukuu za Makambi(vibanda) unanisaidia kuelewa najadili na mtu wa aina gani.

Ni sawasawa na muislam aseme hajui kama mwezi wa Ramadhan umeandikwa kwenye Quran. Ni ajabu sana
 
Wasabato sio Watu wakujihusisha na mambo ya siasa na kiserikali na hii huenda ni Moja ya sababu ya wao kusahaulika hata kwa mambo muhimu kama ya Ajira.
Kwa uongo hujambo Makamu Mwenyekiti wa CCM taifa Mzee Wasira ni Msabato na uteuzi wake ulifanyika kwenye mkutano mkutano mkuu wa CCM siku.ya jumamosi ambayo ilikuwa sabato
 
Hiyo kalenda kaleta Mungu au mwanadamu akiendeshwa na utashi wake?? Wewe ndiyo unajichoresha kwa kujifanya smart wakati limbukeni na mshamba! Unampangia mwajiri siku ya usaili!!!!!!
Au ana uhakika gn kuwa leo n Ijumaa au kesho ni Jmos 😂 yn kuna uthibitisho gn halisi unaoonyesha leo n siku fulani
 
Hiyo kalenda kaleta Mungu au mwanadamu akiendeshwa na utashi wake?? Wewe ndiyo unajichoresha kwa kujifanya smart wakati limbukeni na mshamba! Unampangia mwajiri siku ya usaili!!!!!!

Usaili upo kwa Majibu wa Sheria
Usaili unahusu Watanzania
Ni Haki ya kila Mtanzania kufanya usaili
Lakini ni Haki ya kila Mtanzania kufanya IBADA kulingana na dini yake.

Wasabato ni miongoni wa Watanzania ambao wanahaki hiyo ya kufanya usaili kwa Mujibu wa Sheria

Wewe kwa akili yako kama Mungu hakuweka Kalenda, unaweza kueleza kwa nini Kuna Jua na mwezi?
Embu eleza faida za Jua na mwezi?
Eleza Kwa nini Kuna usiku na mchana?

Lakini Najua hutoweza
 
Hiyo siyo shida ya Serikali, waumini inabidi wachague kwenda kusali au kwenda kwenye usaili, hakuna mtu anaelazimishwa kuhudhuria usaili.
Sahihi mtu akiona kazi haiendani na imani yako aachena nayo

Mfano mtu hajalamishwa kuwa lazima ahudhurie interview
 
Kwa uongo hujambo Makamu Mwenyekiti wa CCM taifa Mzee Wasira ni Msabato na uteuzi wake ulifanyika kwenye mkutano mkutano mkuu wa CCM siku.ya jumamosi ambayo ilikuwa sabato

Kwa hiyo wewe Kiongozi kutoka dini yako Akiwa shoga nawe utakuwa shoga kwaajili yake?
 
Usaili upo kwa Majibu wa Sheria
Usaili unahusu Watanzania
Ni Haki ya kila Mtanzania kufanya usaili
Lakini ni Haki ya kila Mtanzania kufanya IBADA kulingana na dini yake.

Wasabato ni miongoni wa Watanzania ambao wanahaki hiyo ya kufanya usaili kwa Mujibu wa Sheria

Wewe kwa akili yako kama Mungu hakuweka Kalenda, unaweza kueleza kwa nini Kuna Jua na mwezi?
Embu eleza faida za Jua na mwezi?
Eleza Kwa nini Kuna usiku na mchana?

Lakini Najua hutoweza
Acha porojo wewe kasome katiba

Serikali haina dini na ajira hazina dini

Ndio maana mfano jeshini vita imelipuka huwezi anza kuleta porojo za sabato.kuwa mimi leo sabato sipigani vita waakutwanga risasi Jeshi halina dini .Na Serikali haina dini .Ukiomba kazi unatakiwa kwanza ujue hilo.
 
Ndo maana nimekuomba ushahidi wa mstari huo wa biblia mie tomaso nikausome nione Holiday ya makambi

Sasa makambi na Ramadan wapi na wapi kwani swaumu nzima ni holidays?

Ndo maana nimekuomba ushahidi wa mstari huo wa biblia mie tomaso nikausome nione Holiday ya makambi

Sasa makambi na Ramadan wapi na wapi kwani swaumu nzima ni holidays?

Lev 23:33-36
 
kuna uthibitisho gn halisi unaoonyesha
Nimewaambia watumie common sense plus fikra tunduizi kuwa kuna ushahidi wowote wa kimaandiko kuwa Mungu anataja majina ya siku au kikundi na tabaka la watu fulani wachache lilikaa na kuamua??
 
Kwa hiyo wewe Kiongozi kutoka dini yako Akiwa shoga nawe utakuwa shoga kwaajili yake?
Nadhani wewe ndie unsaua zaidi mambo ya mashoga kuliko mimi.maana wewe jina la kiume lakini kutwa humu.huwa unaanfika mambo ya wanawake .Nadhani uko kike zaidi kuliko kiume

Mashoga wengi hupenda mambo ya kik .na kutwa kuengelea mambo ya kike sio kiume
 
Back
Top Bottom