Serikali kuweka siku ya jumamosi kuwa siku ya Usaili ni kuwakosea Haki Wahitimu waumini wa kisabato

Ibada sio tuu muhimu kwa mtu binafsi Bali hata kwa Serikali yako hiyo ambayo wewe unasema ni Secular lakini hujui maana hata ya hiyo istihali. .
Kuna ibada za aina nyingi sana.

Sasa sijui ni ibada gani yenye umuhimu kwa serikali.
Wewe unaposikia viongozi wa nchi wanaposimama jukwaani wanasema waombewe, watu wasali, shuleni pawepo na vipindi vya Dini unaelewa nini au akili yako huwezi kung'amua na kuchambua vitu?
Huo ni uhuru wa kidini na kiimani.

Lakini uhuru huo sio kwamba ndio uingilie ratiba na mambo ya kiserikali.
Muislam yeye dini yake inasemaje kuhusu kuabudu ijumaa?
Mimi sio muislam.

Kawaulize waislamu hilo swali.

Mimi nachosema hapa ni kwamba serikali haiwezi kuacha kufanya mambo yake kwa kigezo cha dini au imani za watu.
Vitu vinaenda pakiwa na utaratibu mzuri.
Wewe ndio huelewi.
Sijui kama uliwahi kuwa kiongozi hata wa Darasa.
Unataka utaratibu wa aina gani?

Serikali haiwezi kuvuruga ratiba zake kisa dini au imani ya mtu.

Wewe kama utaona hiyo siku ni ya ibada nenda ibadani.

Watakao ona usaili ni muhimu, wataenda kwenye usaili.
Au siku ukipata Mke na watoto utaelewa uongozi ni kitu gani.
Nchi inaongozwa kwa kufuata taratibu, Kanuni na Sheria
Na ndizo sheria hizo hizo zimeamua kuweka usaili jumamosi kulingana na ratiba za shughuli za kiserikali.

Wewe kama una ratiba zako binafsi za kidini na kiimani, Serikali haitambui hilo.
Hizo Sheria ndio zinaweka utaratibu mzuri kutimiza mahitaji ya watu wote yawe kwa HAKI.
Sio watu wote wenye imani sawa.

Ndio maana serikali imepanga siku yake ya kiserikali bila kujali imani ya mtu yeyote.

Wewe unataka imani yako ipewe upendeleo kwamba serikali ibadilishe ratiba zake kwa sababu ya imani yako tu?

Are you serious?

Serikali haifanyi kazi kwa kuangalia imani za watu.
Wewe huelewi hilo

Hatutaki upendeleo.
Tunataka HAKI

Hujui maana ya Secular na huenda umekariri ndio maana nikakuambia ueleze jinsi unavyoelewa na sio ui-copy huko kisha uiweke hapa.

Eleza unaeewaje ukisikia istihali Secular State
Serikali haifanyi kazi kwa kuangalia imani za watu.
 
Kama hii ni ya waisrael
Mambo ya Walawi 23:42 Mtakaa katika vibanda muda wa siku saba; wazalia wote wa Israeli watakaa katika vibanda
Kama wewe ni Mkristo na unasoma Biblia utazikuta hizo sheria kwenye biblia. Hazikuanzishwa na Ellen.
 
Nilijua utakimbilia kwenye torati ili useme ni pana sana haina mstari maalumu. Biblia ipo hapa karibu eeeh kitabu gani mstari wa ngapi?

Unaongelea amri kumi za Mungu. Na wakati huo huo kuna 2 Wathesalonike 3:10-13 ndani ya hio hio biblia.
Kutoka 20:8-11

"....Siku sita fanya kazi, utende mambo yako yote...."

Ambaye hafanyi kazi siku sita anakosea. Lakini unachotaka kusema hapa ni kwamba Wasabato hawafanyi kazi yoyote, na si kweli.
 
Mambo ya Walawi 23:42 Mtakaa katika vibanda muda wa siku saba; wazalia wote wa Israeli watakaa katika vibanda

Hii ni kwa wazalia wa Israel wayahudi orijino. Agano jipya linasema asiyefanya kazi na asili

Kwenye Biblia kuna Maagano Mengi Sana.
Agano jipya ni lipi?

Sheria ni zilezile za Musa alizopewa na Mungu.
 
Nakubaliana na wewe serikali ina maamuzi ,, Ipange hiyo Jumapili basi hata kwa bahati mbaya tuone. Kama sivyo inakuwa ni mkakati na makusudi.
Kila mtu akianza kutafuta haki ya imani yake.

Watazuka watu waseme Ijumaa ni siku yao ya ibada, watu wabaki nyumbani, wanafunzi wasiende shule waende misikitini kuswali, Hivyo serikali iwaangalie na waheshimu siku yao ya sala.

Sasa kwa namna hii serikali itasikiliza imani ya nani na kuacha imani ya nani?
 
Watagoma Mpaka Lini?
Unajua hiyo ni Haki ya Watanzania wote, kwa nini serikali isiangalie namna Bora ya kufanya ili kutoa Haki kwa wote?

Unataka kusema serikali inakosa Mbinu,maarifa ya kujua cha kufanya?
Au ni Tabia ileile ya kutokujali, kudharau, kudhulumu na kuona wengine hawana Haki ya Kupata Fursa Sawa na wengine kutokana na Itikadi Zao?

Huo ni UONEVU
Huo ni USHENZI
Huo ni ukandamizaji

Wasabato wamejitenga na serikali, serikali nayo imewatenga. Dini zingine wamekua chawa wa Hangaya kila kona wapo nae.
 
Hawa Wasabato waliwahi kuwa deregisterd pale SAUT kipindi cha VC Father Dk. Kitima na DVCA (Sasa Baba Askofu) Dk. Bernidine Mfumbusa walipokataa kufanya mitihani yao ya UE siku ya Jumamosi!
Once mtu akishakuwa msabato akili zote kichwani zinaondoka anageuka kituko.
 
Kuna ibada za aina nyingi sana.
Sasa sijui ni ibada gani yenye umuhimu kwa serikali.

Huo ni uhuru wa kidini na kiimani.

Uhuru wa kuabudu ndicho kinachoelezwa.

Fikiria kwa makusudi serikali iweke programu kila ijumaa Muda WA Swala wa waislam kwenda Kuswali alafu serikali iweke programu Fulani yenye maslahi alafu iseme haijamzuia muislam kwenda Kuswali wakati kwa makusudi imeweka programu Fulani kwenye Muda WA Swala tena hiyo program inamaslahi

Kwa uelewa wako, kama serikali haina dini unafikiri kwa nini kwenye vituo vya ndege, Stendi za Mabasi, Majengo Marefu ya ghorofa, wanaweka msikiti au sehemu ya Kuswali Waislam na hawajaweka Kanisa?

Uje useme unajua kutumia Logic na hapa
Lakini uhuru huo sio kwamba ndio uingilie ratiba na mambo ya kiserikali.

Mimi sio muislam.

Kawaulize waislamu hilo swali.

Mimi nachosema hapa ni kwamba serikali haiwezi kuacha kufanya mambo yake kwa kigezo cha dini au imani za watu.

Unataka utaratibu wa aina gani?

Serikali haiwezi kuvuruga ratiba zake kisa dini au imani ya mtu.

Wewe kama utaona hiyo siku ni ya ibada nenda ibadani.

Watakao ona usaili ni muhimu, wataenda kwenye usaili.

Na ndizo sheria hizo hizo zimeamua kuweka usaili jumamosi kulingana na ratiba za shughuli za kiserikali.

Wewe kama una ratiba zako binafsi za kidini na kiimani, Serikali haitambui hilo.

Sio watu wote wenye imani sawa.

Ndio maana serikali imepanga siku yake ya kiserikali bila kujali imani ya mtu yeyote.

Wewe unataka imani yako ipewe upendeleo kwamba serikali ibadilishe ratiba zake kwa sababu ya imani yako tu?

Are you serious?

Serikali haifanyi kazi kwa kuangalia imani za watu.

Serikali haifanyi kazi kwa kuangalia imani za watu.

Wewe unaongea mambo usiyoyajua au usiyoyaelewa

Serikali haifanyi Kazi kwa kuangalia Imani za watu, unaelewa unachokieleza?
Sijui kama unaelewa serikali ya Tanzania jinsi ilivyoundwa na inavyoendeshwa.

Nimekuambia waliounda hii serikali na taifa hili wote wanadini.
Wote walitunga Sheria kulingana na Dini za watu wa jamii za Watanzania.
 
Watagoma Mpaka Lini?
Unajua hiyo ni Haki ya Watanzania wote, kwa nini serikali isiangalie namna Bora ya kufanya ili kutoa Haki kwa wote?

Unataka kusema serikali inakosa Mbinu,maarifa ya kujua cha kufanya?
Au ni Tabia ileile ya kutokujali, kudharau, kudhulumu na kuona wengine hawana Haki ya Kupata Fursa Sawa na wengine kutokana na Itikadi Zao?

Huo ni UONEVU
Huo ni USHENZI
Huo ni ukandamizaji
Kama ni kwa namna hii basi hata waganga wa kienyeji, wapiga ramli, na wao itabidi wapewe haki zao.

Hata mimi naweza nikaibuka na kikundi changu cha watu wa imani, kama alivyofanya yule Yesu wa Tongareni nchini Kenya, tukaunda imani yetu kisha tukaanza kuishinikiza serikali isikilize matakwa yetu.

Tunaweza tukaamua siku yetu ya ibada iwe jumanne, Halafu tuanze kudai haki ya kupata uhuru wa kuabudu sawa na wakristo jumapili au waislamu Ijumaa.
 
Wasabato wamejitenga na serikali, serikali nayo imewatenga. Dini zingine wamekua chawa wa Hangaya kila kona wapo nae.

Na haya ndio madhara ya kujitenga na kukaa nyuma nyuma kama mkia.

Suala lenyewe rahisi na dogo Sana lakini kuna watu wanaumizwa
 
Kama ni kwa namna hii basi hata waganga wa kienyeji, wapiga ramli, na wao itabidi wapewe haki zao.

Hata mimi naweza nikaibuka na kikundi changu cha watu wa imani, kama alivyofanya yule Yesu wa Tongareni nchini Kenya, tukaunda imani yetu kisha tukaanza kuishinikiza serikali isikilize matakwa yetu.

Tunaweza tukaamua siku yetu ya ibada iwe jumanne, Halafu tuanze kudai haki ya kupata uhuru wa kuabudu sawa na wakristo jumapili au waislamu Ijumaa.

Ndio kama mtakuwa mmesajiliwa mtakuwa na hiyo HAKI.

WASABATO ni dhehebu ambalo pia linatambulika na limesajiliwa kisheria hapa nchini.

Hata wewe unaweza kuanzisha Dini au dhehebu ukaenda kusajili.
 
Uhuru wa kuabudu ndicho kinachoelezwa.

Fikiria kwa makusudi serikali iweke programu kila ijumaa Muda WA Swala wa waislam kwenda Kuswali alafu serikali iweke programu Fulani yenye maslahi alafu iseme haijamzuia muislam kwenda Kuswali wakati kwa makusudi imeweka programu Fulani kwenye Muda WA Swala tena hiyo program inamaslahi

Kwa uelewa wako, kama serikali haina dini unafikiri kwa nini kwenye vituo vya ndege, Stendi za Mabasi, Majengo Marefu ya ghorofa, wanaweka msikiti au sehemu ya Kuswali Waislam na hawajaweka Kanisa?

Uje useme unajua kutumia Logic na hapa

Wewe unaongea mambo usiyoyajua au usiyoyaelewa

Serikali haifanyi Kazi kwa kuangalia Imani za watu, unaelewa unachokieleza?
Sijui kama unaelewa serikali ya Tanzania jinsi ilivyoundwa na inavyoendeshwa.

Nimekuambia waliounda hii serikali na taifa hili wote wanadini.
Wote walitunga Sheria kulingana na Dini za watu wa jamii za Watanzania.
Uhuru wa kuabudu unao.

Lakini haimaanishi kwamba uhuru huo uliopewa uingilie ratiba na shughuli za kiserikali.

Serikali haiwezi kuacha kufanya kazi zake eti kisa imani yako au dini yako.

Hukatazwi kuabudu, kuabudu ni uhuru wako kabisa.

Lakini huwezi kuipangia serikali namna gani ya kuabudu kwako. Kwamba eti isipange ratiba zake za kiserikali kisa eti kuna ibada za watu.

Serikali haiongozwi kwa imani.
 
2 Wathesalonike 3:10 Kwa kuwa hata wakati ule tulipokuwapo kwenu tuliwaagiza neno hili, kwamba ikiwa mtu hataki kufanya kazi, basi, asile chakula.

Back
Top Bottom