Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
Kuna ibada za aina nyingi sana.Ibada sio tuu muhimu kwa mtu binafsi Bali hata kwa Serikali yako hiyo ambayo wewe unasema ni Secular lakini hujui maana hata ya hiyo istihali. .
Sasa sijui ni ibada gani yenye umuhimu kwa serikali.
Huo ni uhuru wa kidini na kiimani.Wewe unaposikia viongozi wa nchi wanaposimama jukwaani wanasema waombewe, watu wasali, shuleni pawepo na vipindi vya Dini unaelewa nini au akili yako huwezi kung'amua na kuchambua vitu?
Lakini uhuru huo sio kwamba ndio uingilie ratiba na mambo ya kiserikali.
Mimi sio muislam.Muislam yeye dini yake inasemaje kuhusu kuabudu ijumaa?
Kawaulize waislamu hilo swali.
Mimi nachosema hapa ni kwamba serikali haiwezi kuacha kufanya mambo yake kwa kigezo cha dini au imani za watu.
Unataka utaratibu wa aina gani?Vitu vinaenda pakiwa na utaratibu mzuri.
Wewe ndio huelewi.
Sijui kama uliwahi kuwa kiongozi hata wa Darasa.
Serikali haiwezi kuvuruga ratiba zake kisa dini au imani ya mtu.
Wewe kama utaona hiyo siku ni ya ibada nenda ibadani.
Watakao ona usaili ni muhimu, wataenda kwenye usaili.
Na ndizo sheria hizo hizo zimeamua kuweka usaili jumamosi kulingana na ratiba za shughuli za kiserikali.Au siku ukipata Mke na watoto utaelewa uongozi ni kitu gani.
Nchi inaongozwa kwa kufuata taratibu, Kanuni na Sheria
Wewe kama una ratiba zako binafsi za kidini na kiimani, Serikali haitambui hilo.
Sio watu wote wenye imani sawa.Hizo Sheria ndio zinaweka utaratibu mzuri kutimiza mahitaji ya watu wote yawe kwa HAKI.
Ndio maana serikali imepanga siku yake ya kiserikali bila kujali imani ya mtu yeyote.
Wewe unataka imani yako ipewe upendeleo kwamba serikali ibadilishe ratiba zake kwa sababu ya imani yako tu?
Are you serious?
Serikali haifanyi kazi kwa kuangalia imani za watu.
Serikali haifanyi kazi kwa kuangalia imani za watu.Wewe huelewi hilo
Hatutaki upendeleo.
Tunataka HAKI
Hujui maana ya Secular na huenda umekariri ndio maana nikakuambia ueleze jinsi unavyoelewa na sio ui-copy huko kisha uiweke hapa.
Eleza unaeewaje ukisikia istihali Secular State