Serikali kuzuia website za XXX ni kuingilia uhuru wa wananchi wake

Serikali imechelewa sana, ilitakiwa kufanya hivyo toka zamani. Wenzetu wachina walifungia kirambo saaaana.
 
Tangazo!!! Tangazo!!! Tangazo!!!

Chama Cha Wapiga Nyeto (CHAPUTA) kutakua na kikao cha dharura siku ya kesho Jumamosi (Tarehe 21/08/2021). Kikao kitafanyika katika ukumbi wa JamioForums majira ya saa 10 Alasiri.

Mukhtasari na madhumuni ya kikao ni;

1) Kujua chanzo na sababu ya Serikali ya SSH kutufanyia vikwazo na hujuma juu ya hatama ya chama chetu.

2) Athari zitakazo kikumba chama cha CHAPUTA kutokana na vikwazo na hujuma hizo.

3) Njia za kuchukua dhidi ya hujuma hizi kwa chama chetu.

4) Hatua stahiki za kumchukulia Waziri husika wa mawasiliano.

Nyote mnakaribishwa, ukipata taarifa hii tafadhali mjulishe na mwenzako.

Katibu Mwenezi CHAPUTA.
 
Tumia VPN
 
😂😂😂polepole
 
Ahaaaaaa eti "kutoka kwenye pila pila" bila shaka ushajilipua na nyeto
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kumbe kuna dini zinaruhusu kuangalia ngono?!
 
Mnakopi staili? Kwani hao wenzenu wanakopi wapi? Nyie sio wabunifu au ni waoga wa kupigiwa nje.

Sote tumetenda dhambi, Tutubu na Kurejea Kwa Mungu.
Tulia wee haujui kitu ,mule ndio wanandoa tunapata yake mapigo ya mwana unikome ili kulinda ndoa zetu😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…