Serikali: Mgonjwa wa Corona afariki dunia Mloganzila Hospital

Serikali: Mgonjwa wa Corona afariki dunia Mloganzila Hospital

walisema hii Covid-19 hamna kitu yaani Malaria ni kali kuliko hii
Wakaja kwenye media na ujinga wao kuhamasisha watu haya endeleeni tu kufanya utani na huu ugonjwa

Huyu Mwana FA yuko wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanakufa kwa maradhi yao waliyoyasumbukia muda mrefu hili ni kisingizio tu.

Kama kufa Isabela ndo angetupa mfano mzuri.
 
Wilaya ni Ubungo kbamba ni kata na Jimbo tu la uchaguzi.Mloganzila hos kuwa Dar wameiset tu kwasababu za kiutawala kumbuka ni tawi la Muhimbili.kijiografia pale palikuwa wilaya ya kisarawe pwani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Labda kabla ya uhuru lakini baada ya uhuru kibamba haijawahi kuwa kisarawe ni dar pale, nimeishi kule since 1972
 
Kuna mchina mmoja leo kafa asubuhi rungwe hotel iliopo mtaa wa mahiwa kariakoo inasemekana ni corona
 
kabla ya Corona alikuwa na ugonjwa upi? lazima tulijue hilo maana corona yeye ni sombasomba hasa kwa wale wadhaifu anamalizia tu.
Screenshot_20200331-130115_Mirror.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Crimea,
Leo siko kwenye mood ya kukutukana! Najitahidi nisibishane na kenge kama nyie, kwani mimi ndio nilianzisha Uzi wa kunsifia Jiwe au ni nyie wenyewe? Sasa kati yangu na nyie nani anatumia matako? Pumbavu kabisa
Wewe ni mjinga tu!
Ni upumbavu wa hali ya juu kila siku manalia selikali haichukui hatua. Hatua gani mnataka nyie? Kujifungia ndani?
Si mjifungie wenyewe na familia zenu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daaah!
Japo tunaomboleza...
Nimemkumbuka JUMA KIROBOTO na wimbo wake,
"Mtoto idd kazua balaaa
Mtoto idd kazua mikosi
Ataa tuletea matatizo tusijue wapi pa kukimbiliaa"

Pumzika kwa amani bro, nyuma yako mbele yetu!
 
Back
Top Bottom