samakinchanga
JF-Expert Member
- Aug 24, 2014
- 2,024
- 1,233
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanakufa kwa maradhi yao waliyoyasumbukia muda mrefu hili ni kisingizio tu.walisema hii Covid-19 hamna kitu yaani Malaria ni kali kuliko hii
Wakaja kwenye media na ujinga wao kuhamasisha watu haya endeleeni tu kufanya utani na huu ugonjwa
Huyu Mwana FA yuko wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda kabla ya uhuru lakini baada ya uhuru kibamba haijawahi kuwa kisarawe ni dar pale, nimeishi kule since 1972Wilaya ni Ubungo kbamba ni kata na Jimbo tu la uchaguzi.Mloganzila hos kuwa Dar wameiset tu kwasababu za kiutawala kumbuka ni tawi la Muhimbili.kijiografia pale palikuwa wilaya ya kisarawe pwani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wagonjwa niwengi sana ,wakwanza kufa nihuyo kati ya waliovamiwa nahao virusiMgonjwa wa kwanza wa Corona alikuwa Isabela and we were told that she recovered and would have been discharged soon, sasa huyo wa kwanza ni nani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna chochote
kabla ya Corona alikuwa na ugonjwa upi? lazima tulijue hilo maana corona yeye ni sombasomba hasa kwa wale wadhaifu anamalizia tu.
Wewe ni mjinga tu!Crimea,
Leo siko kwenye mood ya kukutukana! Najitahidi nisibishane na kenge kama nyie, kwani mimi ndio nilianzisha Uzi wa kunsifia Jiwe au ni nyie wenyewe? Sasa kati yangu na nyie nani anatumia matako? Pumbavu kabisa
John Mnyika ni mbunge wa wapi? Na jimbo lake lipo mkoa gani? ShubaaamitKibamba siyo Dar.
Sawa mjinga ni mimi, unawashwa nini na ujinga wangu?Wewe ni mjinga tu!
Ni upumbavu wa hali ya juu kila siku manalia selikali haichukui hatua. Hatua gani mnataka nyie? Kujifungia ndani?
Si mjifungie wenyewe na familia zenu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Jaribu kusoma tena. Waziri kazungumzia kifo cha kwanza na si kifo cha mgonjwa wa kwanzaMgonjwa wa kwanza wa Corona alikuwa Isabela and we were told that she recovered and would have been discharged soon, sasa huyo wa kwanza ni nani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie si ndio manalilia Magufuli atamke kujifungia ndani?Sawa mjinga ni mimi, unawashwa nini na ujinga wangu?
Kwani kwenye misiba wanapotangaza marehemu amekufa kwa ugonjwa "X" huwa ni kwa nini? yaani tukijua inakuwa vipi?Ukisha jua inakuwa vipi?
Wa kwanza kufaMgonjwa wa kwanza wa Corona alikuwa Isabela and we were told that she recovered and would have been discharged soon, sasa huyo wa kwanza ni nani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Corona haijaletwa na serikali wala ccm.Ccm chama cha mauJ
Kuna mchina mmoja leo kafa asubuhi rungwe hotel iliopo mtaa wa mahiwa kariakoo inasemekana ni corona