Serikali mmetunyima haki ya kumuombea Magufuli, kwa kutunyima taarifa za kuumwa kwake

Kifo kimeniuma lakini suala la kuficha maendeleo ya kiongozi wetu limeniuma zaidi, mlificha maradhi kifo kikawaumbua.
 
Hastahili hicho cheo tena. Kwa sababu lolote atakalosema, Watanzania hatutomwamini tena.
 
Sina huruma nae, kaua ndugu yangu kwa mapanga, ubongo ukachuluzika mithili ya supu nzito ya nguruwe.. Mapolisi wakafanya uchunguzi wakasema ni ugomvi wa mapenzi, Pamoja na kuwaonesha meseji nyingi za vitisho kutoka kwa wana CCM hakuna hata mmoja aliyekamatwa.

Kisa cha yote ni ndugu yetu kuwa Diwani wa Chadema, hilo lilkuwa kosa kwao wakamuua kikatili kwa Mapanga .
Leo kwetu ni sherehe, wanafamilia tunasherekea mbuzi,anachinjwa.

R.I.P my bro, watesi wako wanakufata taratibu.
 

Kiongozi na viongozi Wakuu huombewa kila wakati na wanamaombi wanaojitambua. Kumuombe kiongozi mkuu ni kujiombea wewe kwasababu akikosea unaweza kujikuta umeweka mbuzi mgongoni ukidhania ni mtoto wakati unakimbia kutafuta hifadhi ya ukimbizi Burundi. Mama Samia tunafanya muondelezo tu na kubadili title yake katika maombi yetu.
 
Serekali imemuua rais wetu mpendwa laana hii iwe juu ya samia na majaliwa kwa ushetani waliomfanyia rais magufuli.
 
Kuna uzi ulipandishwa hapa kua huwenda kawa fixed ukiunganisha dot na kufichwa kwa taarifa unaweza kufikia some conclusion.

Nakumbuka kilichotokea kwa Mugabe miaka kadhaa nyuma.
Hizi habari za kuwa fixed hata kule twita naziona.. ila wanasema kwamba ni mabeberu
 
Pole sana mkuu
 
Kwa hali hii imani yangu kwa kauli zinazotolewa na serikali imeshuka sana.
 
Upendo mwingi huja pale unapokufa, watakupa maua wakati wanajua huwezi kuyanusa.
 
Wamepata aibu kubwa sn
Kama hu Amin uwepo wa Mungu basi anza leo kuamini yupo!
Ukirusha jiwe juu hurudi chini!
Walikataza maombi kwa Lissu apa ni mipango ya Mungu! Mungu ndiye kafanya maombi yasiwepo
 
Ni ngumu kuhumukumu moja kwa moja wasaidizi wake, huenda yeye mwenyewe aligoma watanzania wasiambiwe chochote kuhusu ugonjwa wake mpaka mauti inamfika !! who knows !!

Huwa ni karama ya mwenyezi Mungu ambayo huwapa wachache sana kutabiri vifo vyao - mwingine anapata hapa nafasi ya kuzungumza na wasaidizi wake mambo yatakavyokuwa wakati akishafariki nk.. wengine huita hata watu wa dini kuwaombea wasamehewe dhambi zao kabla ya safari yao ya milele n.k

Hii ni karama haiko kwa kila mwanadamu !!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…