Pablo Blanco
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 7,324
- 6,657
serikalini kwenyewe walikuwa wanataka afe walikuwa wanaishi naye kinafki tuRais Magufuli alikuwa muumini mkubwa wa maombi na kuombewa. Nna imani kabisa kama tungejulishwa kuhusu kuumwa kwake huenda wengi sana watanzania tungemuombea.
Badala yake serikali kwa sababu wanazozijua wao, waliamua kuficha taarifa na ilikuwa ni dhambi hata kuthubutu kumuulizia Rais alipo.
Ukweli usemwe, kwa mara nyingine tunashuhudia watanzania tukipokwa haki yetu ya kikatiba.
Hii inatakiwa ifike, mwisho. Msiba na majonzi haya yawe ni turnaround kwa nchi. Its now or never.
Halafu wakatokea wakubwa wakisema ni mzima na anafanya kazi za kuendeleza nchi. Kisha wakaja wengine na kusema amefariki kwa maradhi ya moyo baada ya kuugua kwa week mbili. Waliokamatwa wameonekana wakweli kuliko wale walio na access na marehemu!! Wazushi wamekuwa hawa wakubwa waliosema ni mzima!!!Nasubiri tu ile kesi ya waliokamatwa kwa uzushi kwamba RAIS anaumwa.
Lengo laolabda waliamini gwajima atamfufua.Mbaya zaidi walisaidiwa na watu wengine kutupatia taharifa za mgonjwa wetu ila bado wakazikataaa
Nini lengo Lao?
Mjadala ufungwe,umemaliza.Kama hu Amin uwepo wa Mungu basi anza leo kuamini yupo!
Ukirusha jiwe juu hurudi chini!
Walikataza maombi kwa Lissu apa ni mipango ya Mungu! Mungu ndiye kafanya maombi yasiwepo
Shetani anasingiziwa tu.Urais wa Magufuli uliisha 2020 october 28. Shetani asingeweza kumsogeza hata miezi 6 mbele.
Wote wachawi.Watanzania wangefunga Kwa Maombi pengine Mwenyezi Mungu angechelewesha hili kutokea. Sina hakika kama Watanzania wote hatumpendi JPM. Wasaidizi wa Rais ni vema hili lisitokee wakati mwingine. Hamkututendea hali Watanzania
Katelephone alete majibu.Wamemuua raisi wetu mbona hatujambiwa anaumwa tumeambiwa amekufa nyie mmemfanya nini raisi kama alikua anaumwa mbona hamjatuambia
Gwajiporno??Lengo laolabda waliamini gwajima atamfufua.
What is your name?Rais Magufuli alikuwa muumini mkubwa wa maombi na kuombewa. Nna imani kabisa kama tungejulishwa kuhusu kuumwa kwake huenda wengi sana watanzania tungemuombea.
Badala yake serikali kwa sababu wanazozijua wao, waliamua kuficha taarifa na ilikuwa ni dhambi hata kuthubutu kumuulizia Rais alipo.
Ukweli usemwe, kwa mara nyingine tunashuhudia watanzania tukipokwa haki yetu ya kikatiba.
Hii inatakiwa ifike, mwisho. Msiba na majonzi haya yawe ni turnaround kwa nchi. Its now or never.
Atakuwa amekaa zile siti za mbeleni kwa hadhi ya nafasi yake kicheoNatakanione siku ya mazishi atakaaje
Ila Mungu acha aitwe Mungu aisee,jamaa aliingizwa bungeni kwa nguvu,kwa ajili ya debe la mitano tena baada ya mitano tenaa.Gwajiporno??
Ndo kufanyaje hivyo? Kiswahili au lugha gani hii?Hapa watu wajihudhuru tu!