Serikali mnataka tufanye kazi gani?

Vitu kama hivyo serikali inabidi iwape vijana miongozo. Hao maafisa kazi zao inabidi kuwa kutoa elimu, kuisadia biashara changa, kuangalia jinsi ya kuondoa au kupunguza changamoto.

Mbeleni ndio watakuwa wafanyabiashara wakubwa wakipata support.
Wanachukua chao mapema watachukuamo ujifie hata kabla hujatambaa,achilia mbali kukuwa na kuwa mkubwa hayo ni yako na hayawahusu.
 
Uchawa ndio ajira pekee inayopatikana kwa urahisi taifa la giza.
Kama unaweza kuuza utu wako ukasimamia uofu, maovu yote, unacheka na kusema walioonewa ndio waliokosea..

Unatakiwa uwe na roho mbaya sana, usiwe na ubinadamu kuwa chawa kama hawa tunawaona hapa JF, kutwa kutetea uhuni wowote bila hata kusema hapa tunakosea tujisahihishe.
 
Sasa umewapa ya nini? Komaa kama kufunga biashara funga ofisi anza upya sehemu nyingine! Unadhani biashara inafanywa kinyonge hivyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…