Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu achana nae huyoKama nimeshakua Mke wake basi haupo serious na huu mjadala. Una utoto na ujinga.
We unajua lipi?Kwani wewe unajua lipi?
Hana akili anafikili watanzania wote mazuzuNa mimi niliposoma kale ka mstari nikajua huyu mwamba katuchemsha -et alipelekwa state house - akakutana na mzee mwenyewe, alikua anatembea na ile pistol yake - kammaliza..
Hata kama lkn sio.kihivyo ilivyoelezwa
Usipaniki sana mkuuWe mjinga mwambieni huyo boya alete picha za tukio sio maandishi hata chizi anaweza kuandika sisi sio wajinga wa kututungia uongo Ili auze kitabu kitadoda halafu we ni mbumbumbu cheti feki lazima umchukie jeshi kama madhambi yenyewe ni kuwafuchua nyie mbumbumbu wenye vyeti feki basi acha afe nazo sababu ni shujaa
Hamna cha laana kwenye siasa. Lissu ame expose wanaojiita watu wa maridhiano, mkweli na amenyooka, last time i check wabongo haswa viongoz hawapendi mtu alienyookaMuda ndo utamshughulikia hata Lisu alijiona mjanja sana kutumika na vibaraka kumchafua JPM lakini laana inamtafuna na Sasa anashughulikiwa yeye tena baadhi ya wale waliomtuma sijajua na mabeberu wakimtumpa itakuaje
Nyinyi wat wa system si mnafanya mambo yenu Kwa siri ili tusijue na tusiwe na huo ushahidi wa kuwapeleka mahakamani,Tena mnasisitizwa kabisa kua msije mkaacha alama,Watu hawatakiwi kuendeshwa na hisia ndio maana kuna mahakama na wanasheria..
Nchi inafaa iongozwe na sheria sio hisia
Hapana, ni mumeo weweKabendera ni mmeo?
Na huyo muuaji na yeye amekufa.Muda ndo utamshughulikia hata Lisu alijiona mjanja sana kutumika na vibaraka kumchafua JPM lakini laana inamtafuna na Sasa anashughulikiwa yeye tena baadhi ya wale waliomtuma sijajua na mabeberu wakimtumpa itakuaje
Leta ushahidiNa huyo muuaji na yeye amekufa.
shukrani sana sana, nimekuelewa wala sitamjibu tenaMkuu achana nae huyo
lissu anaingiaje hapa? Kwanza ni muhanga wa hiyo regime. UnahemkaMuda ndo utamshughulikia hata Lisu alijiona mjanja sana kutumika na vibaraka kumchafua JPM lakini laana inamtafuna na Sasa anashughulikiwa yeye tena baadhi ya wale waliomtuma sijajua na mabeberu wakimtumpa itakuaje
anatafuta kiki kwa faida gani? We mpaka kitabu kinatoka mamlaka haikuona?Sijapaniki naongea uhalisia huyo kabendera anatafuta kiki
Magufuli ndo alikuwa mhanga wa matusi na kashfa za Lisulissu anaingiaje hapa? Kwanza ni muhanga wa hiyo regime. Unahemka
sio kila tukio mpaka picha iletwe, simulizi tu inatosha kuelezea jambo namna lilivyofanyika na kutendeka. Unataka scene kwani alikuwa anarekodi sinema?We mjinga mwambieni huyo boya alete picha za tukio sio maandishi hata chizi anaweza kuandika sisi sio wajinga wa kututungia uongo Ili auze kitabu kitadoda halafu we ni mbumbumbu cheti feki lazima umchukie jeshi kama madhambi yenyewe ni kuwafuchua nyie mbumbumbu wenye vyeti feki basi acha afe nazo sababu ni shujaa
Muuaji na yeye amekufa.Leta ushahidi
Kweli kupitia wewe hakika umethibitisha wa Tz wengi ni low iqHuyu jamaa naona baada ya dili lake la voda kufeli Sasa amekanyaga moto yaana watoto wa mjini tunasema kaingia kwenye kumi na nane anataka kujipatia hela Kwa kutunga stori za uongo sababu anajua watanzania wengi Wana low IQ naomba serikali yetu imtie nguvuni na abanwe kisawasawa Kwa kuzusha uongo wake na hicho kitabu kifungiwe
Na kwa akili yako unafikiri hiyo picha utaipata.Nadhani angeleta uthibitisho wa picha ya tukio tungemuamini lakini maandishi tunamuona tapeli inabidi ashugulikiwe