Serikali mshugulikieni kabendera akione Cha moto Ili iwe fundisho Kwa watu wanaotafuta kiki

Na mimi niliposoma kale ka mstari nikajua huyu mwamba katuchemsha -et alipelekwa state house - akakutana na mzee mwenyewe, alikua anatembea na ile pistol yake - kammaliza..
Hata kama lkn sio.kihivyo ilivyoelezwa
 
Hana akili anafikili watanzania wote mazuzu
 
We mjinga mwambieni huyo boya alete picha za tukio sio maandishi hata chizi anaweza kuandika sisi sio wajinga wa kututungia uongo Ili auze kitabu kitadoda halafu we ni mbumbumbu cheti feki lazima umchukie jeshi kama madhambi yenyewe ni kuwafuchua nyie mbumbumbu wenye vyeti feki basi acha afe nazo sababu ni shujaa
Usipaniki sana mkuu
 
Muda ndo utamshughulikia hata Lisu alijiona mjanja sana kutumika na vibaraka kumchafua JPM lakini laana inamtafuna na Sasa anashughulikiwa yeye tena baadhi ya wale waliomtuma sijajua na mabeberu wakimtumpa itakuaje
Hamna cha laana kwenye siasa. Lissu ame expose wanaojiita watu wa maridhiano, mkweli na amenyooka, last time i check wabongo haswa viongoz hawapendi mtu alienyooka
 
Watu hawatakiwi kuendeshwa na hisia ndio maana kuna mahakama na wanasheria..
Nchi inafaa iongozwe na sheria sio hisia
Nyinyi wat wa system si mnafanya mambo yenu Kwa siri ili tusijue na tusiwe na huo ushahidi wa kuwapeleka mahakamani,Tena mnasisitizwa kabisa kua msije mkaacha alama,
Na siku zote mnajitetea kwenye hakuna ushahidi.
Sasa wambie wenzio kua mkifanya tunajua ila tunakua hatuna ushahidi.
 
Muda ndo utamshughulikia hata Lisu alijiona mjanja sana kutumika na vibaraka kumchafua JPM lakini laana inamtafuna na Sasa anashughulikiwa yeye tena baadhi ya wale waliomtuma sijajua na mabeberu wakimtumpa itakuaje
Na huyo muuaji na yeye amekufa.
 
Labda ana watu wengi wenye nguvu nyuma yake
 
Muda ndo utamshughulikia hata Lisu alijiona mjanja sana kutumika na vibaraka kumchafua JPM lakini laana inamtafuna na Sasa anashughulikiwa yeye tena baadhi ya wale waliomtuma sijajua na mabeberu wakimtumpa itakuaje
lissu anaingiaje hapa? Kwanza ni muhanga wa hiyo regime. Unahemka
 
We mjinga mwambieni huyo boya alete picha za tukio sio maandishi hata chizi anaweza kuandika sisi sio wajinga wa kututungia uongo Ili auze kitabu kitadoda halafu we ni mbumbumbu cheti feki lazima umchukie jeshi kama madhambi yenyewe ni kuwafuchua nyie mbumbumbu wenye vyeti feki basi acha afe nazo sababu ni shujaa
sio kila tukio mpaka picha iletwe, simulizi tu inatosha kuelezea jambo namna lilivyofanyika na kutendeka. Unataka scene kwani alikuwa anarekodi sinema?
 
Huyu jamaa naona baada ya dili lake la voda kufeli Sasa amekanyaga moto yaana watoto wa mjini tunasema kaingia kwenye kumi na nane anataka kujipatia hela Kwa kutunga stori za uongo sababu anajua watanzania wengi Wana low IQ naomba serikali yetu imtie nguvuni na abanwe kisawasawa Kwa kuzusha uongo wake na hicho kitabu kifungiwe
Kweli kupitia wewe hakika umethibitisha wa Tz wengi ni low iq
 
Back
Top Bottom