Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,786
- 18,562
Hao wanawake wwnyewe asilimia kubwa hasa wajawazito wanapenda kuhudumiwa na ma Dr wa kiume, chunguzeni mtaligundua hilo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwani mzee katiba ya tz kisheria inasemaje raia akifanya kosa ? si inasema ashtakiwe au?Hilo ni tatizo,haiwezekani kwenye kazi zingine jinsia ziangaliwe alafu katika udaktari jinsia isiangaliwe it's totally wrong.
sasa upolisi unafikiri unahitaji taaluma yeyote ya kibailojia?Iamagine katika upolisi jinsia hutazamwa ndio maana polisi wa kike atamfanyia upekuzi mtuhumiwa wa kike pekee,mbona hapa haisemwi kuwa kinachoangaliwa ni ujuzi wa kupekua tu hivyo hata mwanaume apekue tu pale na jinsia inaangaliwa ?
hapa ndio unatumia hisia kuliko uhalisia.Ujuzi lazima uendane na jinsia huu ndo ustaarabu,linapofika suala la kutibu jinsia lazima iangaliwe nayo.
wengi wanakua ni nurse assistant, yani kama fundi msaidizi wa ujenzi ambaye hufanya kile anachoagizwa na fundi mkuu wake kutokana na kutokua na taaluma ya ujenzi.Solution ya kudumu ni kuzalisha madaktari wengi wa kike ambao nao watakuwa na ujuzi.
ishu sio kuwepo, ishu ni ujuzi wa taaluma husika. kwa mfano imetokea kaja mgonjwa anatakiwa afanyiwe operation ya na titi ukicheki around kuna ma-nurse ambao kimsingi hawana taaluma halafu kukawa na daktari wa kiume mwenye ujuzi wa hilo tatizo je utalazimika kurudi na mgonjwa nyumbani ?Akini hasa hasa uzi wangu ulilenga hospitali ambazo madaktari wa kike wapo lakini wanaume ndo huwa wanatibu hata wale wagonjwa wa kike.\
na hiyo ita conclude kua gender doesn't matter on health services, kwahiyo utajikuta point nzima ya kulalamikia madaktari kuhudumia wagonjwa wenye jinsia tofauti na yao ni invalidIkiwa ugonjwa huo anaeweza kutibu ni dokta wa jinsia tofauti na mgonjwa basi uzi wangu wala haukukataa kutibiwa.
nimeuelewa from the top to the bottomLabda niseme kuwa hukuelewa uzi,na hili ni tatizo la sisi wana jf.
kwani serikali haisomeshi watoto wa kike? mbona ndio wanaotuongoza kwenye matokeo kitaifa kila mwaka?Kumbuka niliposema 👇👇
Yani utakuta hospitali kuna madaktari wa jinsia nyingi lskini mwanamke anatibiwa na mwanaume au kinyume chake.
Serikali isomeshe watoto wengi wa kike ili kuja kuepusha hii aibu,ipunguze vigezo vya kusomea udaktari kwa mwanamke hasa kwa mambo ya kawaida haya ambayo hayahitaji kujitoa sana wanawake wasomeshwe waje kuzalisha wanawake wenzao.
najua hukumaanisha hivyo ila kutumia protocols za police kuhusu gender kwenye swala nyeti la afya hapo ndio wasiwasi wangu ulipokuaHapo ukisoma utagundua nimemaanisha kuwa hospitali ama sehemu ambazo hazina daktari jinsia sawa na mgonjwa basi sijasema kuwa asitibiwe.
na ndio maana nimekuambia haya mambo yana base sana kwenye interest binafsi, kwa mfano hata katika shule uliyosoma kulikua na wanafunzi wangapi darasani mwenu ambao walikua science taker?Na kusomesha watoto wa kike wengi ni solution ambayo nimeitoa ili hata mama yangu au ndugu yangu akitaka kufanyiwa operation basi amkutedaktari wa kike ambaye yuko na utaalamu huo.
wengi wa hivyo wapo ila ku-balance kwamba kila hospitali hususani hizi za hospitali kwamba iwe na madokta bingwa wa jinsia tofauti zaidi mmoja ndio kashesheKuna hospitali moja iko ilala pale kuna mama mmoja ni mtaalamu mzuuri tu anazalisha na kufanya operation kubwa tu,huyu kaweza kuwa mtaalamu na wengine pia wanaweza ni jambo la kuwekeza juhudi tu
Nayo pia haiko sawa.Kuna dhana moja kwamba mafundi nguo wa kiume ni wajuvi sana wa mishono ya kina mama.
Lakini ni aghalabu fundi nguo wa kike kushona mavazi ya kiume.
Sasa mkuu, vipi kwa fundi nguo wa kiume kumpima mwanamke mwilini?
Kwa sababu hawatoshi hasa wanawake madaktari,wangetosha basi ingewezekana.hii sio rahisi ,hakuna ubaya kuvua boxer yako kwa Dr wa kike.Cha muhimu ni matibabu.Hata kule labour ward madaktari wa kiume ndio wanaongoza kwa kufanya operation za kuzalisha na wala hakuna malalamishi.Huwezi kufika hospital na kuanza kuchagua mtu wa kukutibu .
Kama uchi hauna thamani kwa nini katika suala la kupekua polisi wa kiume haruhusiwi kumpekua raia wa kike ?unachotakiwa kujua ni kwamba, sehemu za siri za mwanaume au mwanamke hazina thamani yeyote. MIMI ni mwanaume, ningekuwa naumwa ugonjwa wa aibu singependelea nitibiwe na mwanaume mwenzangu. imagine mwanaume mwenzio anakushikashika makalio, penis, korodani, etc, bora mwanamke nitakuwa confortable. uchi hauna uzee au ukijana, ni uleule tu. ukitaka kujua kuwa ucho wako huo na wa mkeo hauna thamani, waulize wanawake ambao walishaenda leba kujifungua.
acha wivu, hakuna mwenye shida na mkeo, hata yeye anakushangaa pamoja na kwamba hawezi kukuambia hilo.
Issue ya msingi sana hii.Wakuu naomba niipongeze serikali kwa jitihada zake inazofanya katika kuhakikisha ile heshima ya jinsia zote inalindwa.
Tukiangalia katika majeshi hasa jeshi la polisi utakuta kuna askari wa kike ambao kama itatokea muhalifu ni mwanamke basi askari yule hakuajiriwa kwa bahati mbaya bali hiyo itakuwa ni kazi yake kumpekua sehemu za mwili wake.
Hali kadhaalika mwanaume atapekuliwa na askari wa kiume katika kulinda heshima.
Hata mashuleni kuna waalimu wa kike kibao ambao wao watashughulikia masuala mbali mbali ya wanafunzi wa kike.
Mbona sioni suala hili la kuheshimu jinsia na kulinda heshima ya mtu likifanyika na kusisitizwa katika kada ya afya ?
Kwa nini isiwe kosa daktari wa kumtibia mgonjwa wa jinsia tofauti na yeye ikiwa katika hospitali hiyo ama maeneo hayo kuna daktari mwenye jinsia sawa na mgonjwa ?
Kama ambavyo polisi haruhusiwi kumfanyia upekuzi wa mwili mtu wa jinsia isiyekuwa yake wakati wa jinsia yake wakiwa pale hii ni kosa,vipi isiwe kosa katika hii kada ya afya ?
Yani utakuta hospitali kuna madaktari wa jinsia nyingi lskini mwanamke anatibiwa na mwanaume au kinyume chake.
Serikali isomeshe watoto wengi wa kike ili kuja kuepusha hii aibu,ipunguze vigezo vya kusomea udaktari kwa mwanamke hasa kwa mambo ya kawaida haya ambayo hayahitaji kujitoa sana wanawake wasomeshwe waje kuzalisha wanawake wenzao.
Chumba cha kuzalisha kuna madaktari wa kike watano na wa kiume mmoja,huyu wa kiume anatafuta nini,kwa nini isiwe kosa kisheria?
Halafu wenyewe wanachukulia powa tu eti kwa vile ni hospitali.Naunga mkono hoja yaaan niende korodani znauma nmwoneshe mwanamke ww uliskia waaaaaap ..hiii si sawaa kabsaa na ndo mana kuna kesi madokta wa kiume kubaka wagonjwaaa
Hii ndio shida ya wana jf inakuwa ngumu sana kuelewa mada.Angalizo Kama atahitajika kupimwa vipimo Kama ECHO, MRI, CT SCAN, na vingine vya kuvua nguo imekula kwako maana wataalamu wa kike bado Ni wachache.
Jingine Ni pale shemeji atakapohitaji huduma za daktari mbobezi wa magonjwa ya kina mama,
Tuletee hiyo sheria tupate kufaidika mkuu.Sheria inaruhusu kupata huduma kwa mtoa huduma unayemtaka, kwa hiyo ukiona anayekupa huduma ni jinsia usiyeitaka kataa ili uende kwa hiyo jinsia unayotaka ikupe huduma,..na kama utakuwa kwenye hali ya dharura,kuokoa maisha na umekataa itabidi uandike ili ukifa mtoa huduma awe safe.
HahahahaahHalafu wenyewe wanachukulia powa tu eti kwa vile ni hospitali.
Kuna siku nilienda kufanyiwa utrasound sasa nimeingia maabara kuna kaka mmoja akawa ananipima huku nikiwa uchi kitandani basi nikashangaa kuna mdada mmoja nesi anaingia tu mle ndani halaf anaona mimi niko uchi wala hashtuki akawa anatafuta sijui vikorokoro gani,aisee nilikasirika nikasema nitadeal naye nje ya hospitali tumalize mchezo kabisa
Umesoma na kuelewa?Kwa nini asimzalishe mwenyewe mama yake ?