Serikali: Siku za Kigogo wa Twitter zinahesabika na hana siku nyingi

Chama cha Domo na Malalamiko CHADOMO, waneni wanasema ujinga si kupotea njia ya kuelekea ulikokusudia bali ni kupita njia hiyo hiyo kila siku kwa matarajio ya kufika unakokusudia.
 
LUOGA/LUGOLA.
KIGOGO mtego aliotegewa ni ule wa Kuumwa kwa Rais na Kifo.
Pale ndipo alitegwa na amejulikana pale.
Ule haukuwa mtego,yeyote yule mwenye chuki dhidi ya rais angeweza zusha ile hasa kama ulishuhudia tukio lililomfanya rais atoweshwe.

Kama serikali inamambo mengi ya msingi na siyo maigizo hayo. Namshangaa Lugola anavyojiingiza kwenye michezo.
 
Kwahiyo wewe unaogopa kufa? Au umeambiwa yeye hatakufa?
Kwa hiyo wewe unaona alifanya vizuri huyo Kigogo wako kuvumisha kuwa Rais amekufa? Nafikiri na wewe wakuhoji tu!
 
Ili uweze kupewa cooperation sharti ni kwamba kosa unalomtuhumu huyo mtu ni lazima liwe kosa kwenye nchi unayoomba msaada
Sio mkuu,kuna kitu kinaitwa DEAL,nipe hiki nikupe hiki.Ndio ulimwengu wa leo.
 
Ila serikali ya Tanzania bado imelala sana, ingebidi itangaze dau waziwazi kama milioni 250 kwa mtu atakaye fanikisha kufanikisha kutoa habari zitakazoweza kumpata kigogo na hakika hata wiki haitaisha anakamatwa mapema...
Duh! Amefanya kosa gani kubwa mpaka atengewe mamilioni?
 
Walisema hivyo hivyo kuhusu Osama! Lugola akimshindwa Kigogo 2014 ndani ya siku 31 itabidi ajiondoe kwenye nafasi ya uwaziri. Naanza leo kuhesabu
Mkuu huyo ni mkata viuno hapo yupo kazini.
 
We jamaa mjinga sana sasa 250 mil.kwa ajili ya Kigogo?kwa hiyo umemuweka kigogo kwenye kundi la akina Gaidi? Kweli utakuwa haufanyi fair na hata marekani kuna mambo wanafanya sio fair kwa wengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…