Uelewa huo unautoa kwenye sheria gani? Maana mimi tafsiri hio nimeitoa kwenye Sheria ya Extradition & Mutual Assistance ambazo nchi nyingi za commonwealth zinaitumia ikiwemo TanzaniaSio mkuu,kuna kitu kinaitwa DEAL,nipe hiki nikupe hiki.Ndio ulimwengu wa leo.
Ni mambo hayapo kisheria,lakini ndio hali harisi.Uelewa huo unautoa kwenye sheria gani? Maana mimi tafsiri hio nimeitoa kwenye Sheria ya Extradition & Mutual Assistance ambazo nchi nyingi za commonwealth zinaitumia ikiwemo Tanzania
Jielimishe mkuu sio kila nchi haifuati utawala wa sheris kama nchi yako mkuuUn
Ni mambo hayapo kisheria,lakini ndio hali harisi.
Nakusamehe,Nigeria ilimteka Tajiri mmoja aliekuwa mfanya biashara mkubwa kwenye serikali ya Kiraia ya Nigeria kwa aliekuwa mkimbizi huko Uingereza mjini London kwa kutumia majasusi wa Mosad,wakamuweka kama mzigo kwenye Cargo Plane.Jielimishe mkuu sio kila nchi haifuati utawala wa sheris kama nchi yako mkuu
Hapa watahisiwa Watu wengi sana ila ukweli utabaki pale pale kwamba kuna tatizo huko huko Ikulu hadi katika Taasisi Nyeti nchini kwani haiwezekani Jamaa akawa na taarifa mbichi na zenye uhakika kabisa. Kama Kangi anataka Kumpata huyu Mtu aanze huko Ikulu na katika Taasisi ' Nyeti ' kwani atakuwepo huko huko au ni Mstaafu wao lakini anayewajua vyema na ambaye pengine kuna Vifaa ' Maalum ' vya Mawasiliano vilivyopo Ikulu na Kwingineko ambavyo vimewekwa na Yeye anavijua au atakuwa alienda nae Kozi na ameiva vilivyo. Ukimsoma utagundaua ya kwamba ni Mtu mwenye Jeuri, Kiburi halafu anajiamini mno hali ambayo inanifanya niamini kuwa huyu Jamaa ni ' Jasusi Mbobezi ' na ' Hatari ' sana kuwahi kutokea nchini Tanzania.
Kakatikeni mauno huko Lumumba kigogo2014 tunaye na serikali hili la hovyo halina uwezo wa kumkaribia kwa namna yo yote.Hatimaye mtu anayejiita Kigogo wa mitandaoni ambaye alitumia mda mwingi kutukana Rais na serikali yake. Tayari za mwizi ni arobaini yupo kwenye nyavu ya vyombo vya dola
Kama ndivyo si wangemkamata sasa siku hiyo? Mbona wanatishia tu, kwani wanashindwa nini kumkamata leo?LUOGA/LUGOLA.
KIGOGO mtego aliotegewa ni ule wa Kuumwa kwa Rais na Kifo.
Pale ndipo alitegwa na amejulikana pale.
Jamaa anaishi abroadCANARY TRAP strategy ilifanya kazi na hana muda mrefu...
Ila serikali ya Tanzania bado imelala sana, ingebidi itangaze dau waziwazi kama milioni 250 kwa mtu atakaye fanikisha kufanikisha kutoa habari zitakazoweza kumpata kigogo na hakika hata wiki haitaisha anakamatwa mapema...
Hawa washauri wa serikali sijui huwa wanawaza nini?? vichwa vyao viko tupu 100%, na hakika kuna watu wanamjua kigogo fika, sema hawawezi mchoma katika mamlaka husika burebure, hapa serikali iingie BOT ichote fedha iweke mezani tuone kama huyo kigogo atachukua round...
Mbinu za kutumia wadada zilikuwa za zama hizo miaka ya 80 (kwa hii mbinu ni ngumu kumkamata kigogo maana ni mjanja kwelikweli), miaka ya hivi karibuni ni fedha tu inaongea.
Hawaoni wenzao Marekani wanachofanya kwa magaidi wanatangaza dau kubwa, waarabu uvumilivu unawashida wanaishia kuwachoa magaidi waliotikisa dunia...
UK sio AmericaDo you remember the issue of JK on "The Utamu"? The guy was in UK but mkono wa.serikali reached him!!
Kuishi abroad hakukufanyi ukawa ndio umejificha na usijulikane au kukamatwaJamaa anaishi abroad
Hatar sana!Samahani mkuu wanaitafuta hiyo avatar?,au wanamtafuta mwenye avatar?
Kwahiyo police hawawalindi watumishi na hujui au kuona kwamba wapinzani wanapigwa na kupotezwa? mbona hayatokei hayo kwa ccm.Weka ushahidi wa hicho unachokisema mheshimiwa, au ndo unatumia Uhuru wako wa kuongea bila kujali unachoongea nini. Hapa ndo tulipofikia km Taifa, mtu anaropoka tu bila hata kuwa na ukweli was kile anachokizingza.
Wapi watendaji wanalindwa na polis kwa maslahi ya CCM, wapi walinzan wanapigwa. Ndg yangu tuliombee Taifa hili Aman tuache itikadi na ushabiki wa kivyama usio na tija.tusipandikizane chuki miongoni mwetu
Magu kafaa.Hopeless comment!
Mbona hawampati?LUOGA/LUGOLA.
KIGOGO mtego aliotegewa ni ule wa Kuumwa kwa Rais na Kifo.
Pale ndipo alitegwa na amejulikana pale.
Watu wengine mko kama misukule. Hivi ni siri gani aliyowahi kuiandika huyo Kigogo wenu? Sana sana ni matusi na uzushi wa kijinga kabisa. Angekuwa mtu smart angedanganywa rais ni mgonjwa na mpaka alipojitokeza akawa anasema ule mkanda ulikuwa ume-rekodiwa? Wanaomwamini mjinga kama yule wote ni sawa na misukule.Kigogo 2014 hatari huyu jamaa,nikiwa kama mbobezi katika maswala ya investigation,detects 1,anapataje siri za ndani?,detects 2,yupo ndani ya nchi au nje ya nchi?, detects 3,katika waheshimiwa ni yupi ambaye hutoa nasaha zinazoweza kuunganisha dots,aidha zaidi kabla ya tukio au kabla ndg kigogo ajaspreadouts infos?,detects 4, son of kigogo ndiye anaendesha jukwaa kwa sasa je ndiye yeye mwenyewe au ni katika kubadilisha maskani mapya yenye usalama zaidi kwake maana kwa detects ndogo anaonekana kama adress zake zaidi zinasoma kenya./ hii inaonyesha yupo infos feeder anayesambaza msg kwake.shida ni endapo kama feeders atakuwa anatumia line ya marehemu...!
Kigogo wala anaweza asiwe Ikulu ukakuta ni mtu wa Kawaida tuHapa watahisiwa Watu wengi sana ila ukweli utabaki pale pale kwamba kuna tatizo huko huko Ikulu hadi katika Taasisi Nyeti nchini kwani haiwezekani Jamaa akawa na taarifa mbichi na zenye uhakika kabisa. Kama Kangi anataka Kumpata huyu Mtu aanze huko Ikulu na katika Taasisi ' Nyeti ' kwani atakuwepo huko huko au ni Mstaafu wao lakini anayewajua vyema na ambaye pengine kuna Vifaa ' Maalum ' vya Mawasiliano vilivyopo Ikulu na Kwingineko ambavyo vimewekwa na Yeye anavijua au atakuwa alienda nae Kozi na ameiva vilivyo. Ukimsoma utagundaua ya kwamba ni Mtu mwenye Jeuri, Kiburi halafu anajiamini mno hali ambayo inanifanya niamini kuwa huyu Jamaa ni ' Jasusi Mbobezi ' na ' Hatari ' sana kuwahi kutokea nchini Tanzania.
[emoji23] [emoji23]Kuna watu walishamzushia bodyguard wa rais yule bonge mweusi kuwa ndiye Kigogo2014.