Serikali: Siku za Kigogo wa Twitter zinahesabika na hana siku nyingi

Kigogo ni kundi la watu, wana mtandao wao
 
Ujanielewa vizuri mkuu
Jana mwisho amepost, msichoamini nini?
Mnatakiwa muwe na account twitter, na muweke notificatiins on, akipost tu muone!!
Mimi ni mfuatiliaji mzuri wa kila atakachopost twitter
 
tulisikia huko siku za nyuma Twitter accounts za watu kama Zitto Kabwe, Sugu, nk zilikuwa hacked..... hii imekaaje kwa context ya comments zako hapo juu?
 
Kuongea rahisi
 
Mjinga tuu ataendelea kubisha, jamaa sio level ya chini agent wa kawaida Hana access ya kwasiliana na Diwani hata siku moja
 
Were.
Hapa JF wanaweza kumtia max kabali wakaiba data kwa nguvu ukakamatika.
Kigogo hats wasikie yupo somalia wataenda. Jamaa anawapiga spana sana.
Unaweza kukuta kigogo ni yule bodyguard wa meko
Yule jamaaa huwa anatamani kucheka upuuzi wa Meko ila anajikaza sana
 
kuna mtu twitter siku mbili kabla ya kigogo kuonyesha kurudi huko twitter... yeye alitweet kwamba... siku kadhaa zijazo kuna akaunti ya mtu maarufu itaanza kutweet baada ya kupotea muda mrefu... na target ni upinzani...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…