I will come back to you!Mkuu, tasfiri halisi ya neno virtual kwenye IT ni hii "not physically existing as such but made by software to appear to do so".
Kwa tafsiri hiyo hapo juu, mtu anapotumia VPN ana gain internet access kwa kutumia device ya mtu mwingine bila hata muhusika mwenyewe kujua kinachoendelea.
Na aki log off then aka log in tena ata access internet kwa kupitia device nyingine tena tofauti na ile ya awali. Yaani anatumia different servers (ISPs) zilizo sehemu tofauti tofauti.
Kwa kifupi ISP angeweza kumtambua yule mteja wake halisi tu na siyo huyu 'virtual user' anayetumia internet kwa 'uwizi'.
Sasa mtu wa namna hiyo unampataje kirahisi hivyo?
Mbona kama ile akaunti washaimudu....sasa hv ni kama wanapost utopolo tu ili kuwananga followers.
mkuu naomba kujua, hii kitu inatumika kwenye kazi gani ebu nitoe tongo tongo kidogo[SUB]Ndiyo yule yule mzee, sema huyu jamaa ni mtalaam sana kwa IT ni vingumu sana kumnasa.. Kama MTU anatumia tool kama hizi mnafikiri ni rahisi kumkamata?View attachment 1555788[/SUB]
The correct definition is:not physically existing as such but made by software to appear to do so".
Sasa mtu wa namna hiyo unampataje kirahisi hivyo?
Exactly, yaani mtu mmoja aliyekaa sehemu moja anaweza kuonekana kama kuna wakati yuko kwa mfano South Africa, baada ya muda kidogo akaonekana yuko Brazil na baadae kidogo akaonekana yupo Canada nk nk.Mkuu hapa unamaanisha kwa mfano mtu yupo Dubai anaweza kutumia internet ya Vodacom Tanzania kwa msaada wa VPN?
Poa mkuu.I will come back to you!
Exactly, yaani mtu mmoja aliyekaa sehemu moja anaweza kuonekana kama kuna wakati yuko kwa mfano South Africa, baada ya muda kidogo akaonekana yuko Brazil na baadae kidogo akaonekana yupo Canada nk nk.
Yes unai configure lakini inakuwa ni unreal network within a real network.The correct definition is:
You must have a parent network to configure a VPN. VPN haiwezi kutoka hewani tu. Unamaanisha nini unaposema physically?
Unaweza kufanya hata peke yako just kwa kutumia simu yako tu.How to do that?ni lazima kuwe na mtu wa pili anayesaidia kusupport hizo connection au hata ukiwa peke yako unaweza kufanya hizo connection from different locations?
Unaweza kufanya hata peke yako just kwa kutumia simu yako tu.
Kitendo cha wewe kuonekana uko different locations ni inbuilt feature ya VPN ambayo lengo lake ni kumaintain anonimity, hapo huitaji kumjua mtu mwingine yeyote. Yaani we unamtumia mtu usiyemjua na wala ye hakujui.
Kinacho fanyika ni kuwa, wewe utanunua kifurushi cha hapa bongo kama kawaida ila unapotaka kutumia internet VPN inakusaidia kuconnect kupitia computer nyingine ambayo iko nchi/mahali tofauti na pale we ulipo ili usijulikane uko wapi kwa wakati huo.sawa ila kuna swali najiuliza unawezaje kununua internet ya Tanzania networks ukiwa nchi nyingine?
Kinacho fanyika ni kuwa, wewe utanunua kifurushi cha hapa bongo kama kawaida ila unapotaka kutumia internet VPN inakusaidia kuconnect kupitia computer nyingine ambayo iko nchi/mahali tofauti na pale we ulipo ili usijulikane uko wapi kwa wakati huo.
MOJA: ISP hawezi kushindwa kuona details za user kisa user amefanya encryption, hilo tukubaliane kwamba halipoSasa mtu akitumia VPN halafu akaenda Twitter, ISP katoa internet connection tu, traffic iko scrambled na encryption kwenye VPN server, mteja kapewa IP address mpya na VPN server, ISP atajuaje detail za connection hiyo wakati ziko encrypted?
Dah sawa mkuu nimekuelewa vzr.
Unajua miaka iliyopita nilikuwa naitumia hyo VPN kwenye mambo ya kazi ila nilikuwa sijui dhumuni lake.
Ha haaa, na lengo la hizi VPN ilikuwa ni kusaidia businesses kufanya online transaction with almost full security.
Ila with a growing world, uhitaji umeongezeka hadi kufikia kwenye kutumika kwenye illegal business kama drugs, pembe za ndovu, ugaidi nk ili wasikamatwe kirahisi.
[emoji23][emoji23][emoji23] hapana wale ni wahuni tu ambao ukitaka kuwakusanya utawajaza hata kwenye treni nzima, hawana pa kujificha wale.Kwa hyo mkuu hata wale jamaa wa ile hela tuma kwenye namba hii na wenyewe wanatumia VPN ama?
Hapana. Unatumia mtandao mwingine kwa kutumia device yako mwenyewe, ila bundle ndiyo linakuwa siyo lako. Unatumia bundle lililo kwenye simu yangu, lakini wewe nawe lazima uwe na device ambayo lazima i-establish connection na device yangu ambayo ndiyo inalo bundle. Ili utumie bundle langu lazima uwe na device ya kwako wewe unayomiliki mwenyewe. Kwa hiyo kama ni kwenye VPN, device yako lazima itaonekana kwenye ROUTING TABLE ya ISP wa hiyo huduma. Watakupta kwa kutumia MAC address wakikuhitaji, na IP address zote ulizowahi kutumia watazijuaKinacho fanyika ni kuwa, wewe utanunua kifurushi cha hapa bongo kama kawaida ila unapotaka kutumia internet VPN inakusaidia kuconnect kupitia computer nyingine ambayo iko nchi/mahali tofauti na pale we ulipo ili usijulikane uko wapi kwa wakati huo.
Mfano mzuri hapa ni kama vile unapotumia Wi-fi ya mtu aliyeacha on bila ye mwenyewe hata kujua, hapo utanunua bando la nini tena?
Guys Guys Guys Guys u r still making this a bit more complicated topic wakati ni rahisi sana.MOJA: ISP hawezi kushindwa kuona details za user kisa user amefanya encryption, hilo tukubaliane kwamba halipo
MBILI: Device Address (MAC) ya device inayofanya mawasiliano, haiwezi kushindwa kujulikana na ISP, akiihitaji. Ukiachilia mbali IP address ambazo zenyewe ni dynamic, device address huwa hazibadililiki. Watamjua mhusika wa mawasiliano kwa kuangalia information kwenye ROUTING TABLES zao kwenye mojawapo ya servers zao! Wakishajua MAC address ya device, watajua IP adderss zote ambazo device hiyo imeshawahi kuzitumia, hata huko kabla, provided ni regular user wa mtandao huo. Hii sasa hata kama atakuwa anabadilisha devices, provided kuna text ambayo wana interest nayo watajua tu location ya mhusika wake kuanzia pale.
Haipo encryption ambayo user anaweza akafanya na kumfanya ISP asijue details zake
gspain
MOJA: ISP hawezi kushindwa kuona details za user kisa user amefanya encryption, hilo tukubaliane kwamba halipo
MBILI: Device Address (MAC) ya device inayofanya mawasiliano, haiwezi kushindwa kujulikana na ISP, akiihitaji. Ukiachilia mbali IP address ambazo zenyewe ni dynamic, device address huwa hazibadililiki. Watamjua mhusika wa mawasiliano kwa kuangalia information kwenye ROUTING TABLES zao kwenye mojawapo ya servers zao! Wakishajua MAC address ya device, watajua IP adderss zote ambazo device hiyo imeshawahi kuzitumia, hata huko kabla, provided ni regular user wa mtandao huo. Hii sasa hata kama atakuwa anabadilisha devices, provided kuna text ambayo wana interest nayo watajua tu location ya mhusika wake kuanzia pale.
Haipo encryption ambayo user anaweza akafanya na kumfanya ISP asijue details zake
gspain