Ni vigumu kukumatata, ila inawezekana. Difficult but possible and not impossible. Tatizo hapa watu wanadai kama haiwezekani vile. Mtu akiamua kukutrace wewe kama specific user, kama ulivyotoa mfano hapo atakupata hatimaye, hata kama utatumia devices zenye mac addresses tofauti tofauti. ISP wote wawili inabidi washirikiane.Tuanze na moja. Unafahamu encryption ni ni i na inafanyaje kazi?
Unavyoongelea ISP hawezi kushindwa kuona details za user, unaongelea detail gani? Unaongelea encryption gani?
Mimi hapa Kiranga nimeingia JF kwa IP address ya Canada, maana yake nimepata internet connectionnkwa ISP, nilivyopata internet connection tu nikaingia kwenye VPN server liko Malaysia. VPN server limenipa IP address ya Canada na kika kitu ninachofanya kuqnzia hapo kiko encrypted, ISP haoni natembelea site gani, haoni natumia protocols gani, anaona scrambked traffic tu.
Sasa hapo ISP ataona detail gani?
Nikitembelea JF au Twitter, ISP atajuaje wakati traffic iko encrypted?
Haiwezekani kukamatwa au ni vigumu kukamatwa? Kitu kigumu na kitu kisichowezekana, ni vitu viwili tofautiHujui kitu
huo huwezo hana, hakuna kumbukumbu yeyote wanayoweza i traceOooh wonderful! Kwa hiyo hawezi pia kujua kama umeangalia, just in case akitaka kufanya hivyo?
kama itaonyesha, itaonyesha sehemu ambayo ww haupo, kama saiv itakuonyesha niko zangu Japani, ila niko hapa hapa DSMBado kuna MAC address, layer 2 of the OSI model. ISP anao uwezo wa kuzisoma hizo. Sema tu ni kwamba ili mtu akamatwe kwa issue ya VPN lazima ISP ashirikishwe!
Haya mavitu hadi natamani nikasome ma IT/COMP.Nimecheza na ma ISP huu mwaka wa 20 sasa.
Tangu Facebook haijazaliwa, enzi hizo tulikuwa na Geocities, Astalavista, Mailcity/Lycos, Excite, na Yahoo.
Nimecheza sana na ma F5 VPNs na load balancers.Mimi mwenyewe ni mteja na muuzaji wa VPN.
Ni vizuri kuelewa kiini cha teknolojia, sio kuisikia na kuisema kwa juu juu tu.Nimekaa na mijitu inataka ueleze mpaka zile high primes zinavyofanya kazi na kufanya encryption thabiti kuwa ngumu kuvunjika. Kuna ma encryption ukitaka kuyavunja inabidi ufanye cracking kwa muda mrefu sana! Na hapo ni ikiwa umeachiwa tu bila limit.
Kuna mtu kapiga hesabu, kwa 256 bit AES ku crack kwa brute force utahitaji miaka 2 power 255 that is, 2,117.8 trillion years.
The current age of the universe is believed to be less than 14 billion years, per the Big Bang Theory.
So you will need much more than the universe has existed!
See here How long would it take to brute force AES-256? | ScramBox
Nishaweka packets za traffic ya VPN kwenye Wireshark nikaona ilivyokuwa scrambled.
Kigogo anaweza kushikwa kwa human error tu. Lakini kuvunja 256 bit SSL encryption (standard) kwa mfano, kwa teknolojia za serikali ya Tanzania, ni ngoma nzito sana.
Labda wamfanyie social engineering ajikanyage mwenyewe.
Hapana kuna vitu tu unavi-overlook. Unamchukulia ISP katika level ya normal user kama wewe hapo ulivyo. Hizo ni loopholes ambazo wameziacha makusudi kwa sababu hazina hasara kwao, wanajua ni watu wachache sana walio na uwezo wa kuzi-access.huo huwezo hana, hakuna kumbukumbu yeyote wanayoweza i trace
Wakiamua kukutrace wanakupata kwa tumia DEVICE ADDRESS ya kifaa chako unachotumia, ila lazima washirikiane ma-ISP kadhaa. Ni kweli ni vigumu kukupata, ila si kwamba haiwezekani kukupatakama itaonyesha, itaonyesha sehemu ambayo ww haupo, kama saiv itakuonyesha niko zangu Japani, ila niko hapa hapa DSM
Kilaza mwenzangu hi![emoji2772][emoji2772][emoji2772][emoji41][emoji41]
Mkuu mimi ni kilaza kabisa ila naomba nijibu swali langu la kitoto,je nikiwa natumia VPN kisha nikaweka location ya simu yangu on je location yangu inaweza kuwa tracked?Okey sawa sawa
Basi endeleeni kuwaelimisha kuhusu VPN maana naona naandika mpaka kichwa kinauma.
Umeshawaelezea lakini bado tu hawaelewi
Bado kuna MAC address, layer 2 of the OSI model. ISP anao uwezo wa kuzisoma hizo. Sema tu ni kwamba ili mtu akamatwe kwa issue ya VPN lazima ISP ashirikishwe!
Hii Jamii forum iko hapa, watu wanawajua wale watuhumiwa, serikal na hao ISP wote wameshindwa wajua watumiaji, wameshindwa kuifumua jamii forumHapana kuna vitu tu unavi-overlook. Unamchukulia ISP katika level ya normal user kama wewe hapo ulivyo. Hizo ni loopholes ambazo wameziacha makusudi kwa sababu hazina hasara kwao, wanajua ni watu wachache sana walio na uwezo wa kuzi-access. You ara just a normal, huwezi ukawa na uwezo waku-compromise mtandao wa ISP to that level, assuming angekuwa kweli hajui. Anajua na ameacha makusudi, na akitaka kukutrace in case of anything, anakupata. Hizi device zimekuja hivi karibuni tumezizoea na kudhani kuwa we know everything about them, kumbe hapana. Take it from me!
Mkuu kuuliza siyo ujinga.Mimi siyo mbobezi wa VPN wala sijui kuhusu VPN ila naomba nikuulize swali langu dogo ambalo linanitatiza hapa.Nikiwa natumia VPN kisha nikaweka on location ya simu yangu,je ninaweza kuwa tracked nilipo?Hii Jamii forum iko hapa, watu wanawajua wale watuhumiwa, serikal na hao ISP wote wameshinda wajua watumiaji, wameshinda kuifumua jamii forum
Hakunaga kitu kinaitwa Alpha na Omega, kama hujui tu , kila mtu anajitahi kukimbia kwenye mikono ya serikali , anataka aishi bila kufuatiliwa, it's obvious security companies ziko ahead zaid ya hao ISP , Hao ISP ndio wanajifunza kwa hawa security companies,
mbaya zaidi ni kwamba, hizo kampuni za VPN zinatoa security kwa level za mataifa ya dunia ya kwanza sio kina sie fulela ulela
Yes, chances zipo kubwa sana na kua tracked, ukitumia VPN lazima GPS,/location kwenye simu yako au device yako viwe offMkuu kuuliza siyo ujinga.Mimi siyo mbobezi wa VPN wala sijui kuhusu VPN ila naomba nikuulize swali langu dogo ambalo linanitatiza hapa.Nikiwa natumia VPN kisha nikaweka on location ya simu yangu,je ninaweza kuwa tracked nilipo?View attachment 1565989View attachment 1565990
Asante mkuuYes, chances zipo kubwa sana na kua tracked, ukitumia VPN lazima GPS,/location kwenye simu yako au device yako viwe off
Ni hivi how potential and threatening to URT is the criminal/ crime? Hawajamkamata kwa sababu siyo priority yaohi Kosa analofanya siyo potential threat kwenye usalama wa nchi. Ndiyo maana hata investment yetu kwenye mambo ya Cyber Crime siyo kubwa kihivyo. Ebu aseme kwamba alikuja kuiba kilo 20 za Tanzaniteau dhahabu anazo halafu uone kama hawajamdaka!Hii Jamii forum iko hapa, watu wanawajua wale watuhumiwa, serikal na hao ISP wote wameshindwa wajua watumiaji, wameshindwa kuifumua jamii forum
Hakunaga kitu kinaitwa Alpha na Omega, kama hujui tu , kila mtu anajitahi kukimbia kwenye mikono ya serikali , anataka aishi bila kufuatiliwa, it's obvious security companies ziko ahead zaid ya hao ISP , Hao ISP ndio wanajifunza kwa hawa security companies,
mbaya zaidi ni kwamba, hizo kampuni za VPN zinatoa security kwa level za mataifa ya dunia ya kwanza sio kina sie fulela ulela
Sasa hapa ukiongea theory, hata wewe inawezekana ukawa Papa wa Kanisa la Katoliki.Ni vigumu kukumatata, ila inawezekana. Difficult but possible and not impossible. Tatizo hapa watu wanadai kama haiwezekani vile. Mtu akiamua kukutrace wewe kama specific user, kama ulivyotoa mfano hapo atakupata hatimaye, hata kama utatumia devices zenye mac addresses tofauti tofauti. ISP wote wawili inabidi washirikiane.
Hivi hawa watu wa mambo ya Cbyer Crime wao huwa wanatumia viichwa tu hawana hata software zenye commands kwa mfano "tracert www.yahoo.com"? Wao hawana softwares za namna hiyo kweli?
Sidhani.... 🤔🤔Mbona kama ile akaunti washaimudu....sasa hv ni kama wanapost utopolo tu ili kuwananga followers.
Inachanganya si pa kuingia kichwa kichwa.Sidhani.... 🤔🤔