Serikali: Siku za Kigogo wa Twitter zinahesabika na hana siku nyingi

Wakati tukipata shule bila ada hapa,naomba mniambie ni VPN gani nzuri kwa Android ambayo sio ya kulipia(free)
 
"Labda wamfanyie social engineering ajikanyage mwenyewe."

Una maanisha nini kusema wamfanyie "social engineering"
 
"Labda wamfanyie social engineering ajikanyage mwenyewe."

Una maanisha nini kusema wamfanyie "social engineering"
Nafikiria ana maana ya kumtumia au kufanya attacks kwa mhusika kupitia kujua psychology ya lifestyle yake ya kila siku! Social engineering attacks zaweza kua hizi:-

Baiting,(Ahadi za uongo na zenye ushawishi ndani yake ila zenye lengo la udadisi)

Scareware,(Hapa inahusika na kutumia vitisho vya uongo)

Pretexting,(Attack kwa kutumia ujumbe wa maandishi)

Phishing,(Hapa inahusika na kutumia payload links zenye ushawishi ambazo anaweza ku click na kua victim) na Spear phishing...

NOTE: (Nmejibu kulingana na uelewa wangu tu wa mtaani sina eksipiriensi sana na hii tasnia ya IT wataalamu wataja kukuelewesha zaidi)

Lakini shida ni kwamba Kigogo2014 sio fala kama tunavyomfikiria, Yule jamaa ni mjanja sana na ana timu kubwa ya watu wenye wanajua IT nao sio VILAZA kwenye hii field, maana jamaa amefanyiwa attacks nyingi sana zikawa zina fail tu na nyingine alikua anazipangua juu kwa juu... Before hajafungiwa na Twitter hiyo jana ni majuzi tu kafanyanyiwa attacks zikafail...
 
Asante mkuu,hapo nimepata kuelewa,ngoja tusubiri na mhusika kama atakuwa na majibu tofauti na haya
 
Haitawahi kutokea mkuu, muda mwingi tulikuwa naye viwanja tunakula kitimoto, muda huo huo mimi nayeye tulikuwa tukipitia kuzisoma posts za kigogo, kumbe hata yeye anamfollow,

Mwenyezi Mungu ambariki Kigogo.
Habari zaidi kumbe jamaa anakamatia mbuzi katooeeee?
 
Wakati tukipata shule bila ada hapa,naomba mniambie ni VPN gani nzuri kwa Android ambayo sio ya kulipia(free)
VPN nzuri inabidi ulipie vya bure vina-limitation nyingi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…