Serikali: Siku za Kigogo wa Twitter zinahesabika na hana siku nyingi

Vipi alipatikana?
 
Anatumia proton kwa ajili ya ulinzi nilifatilia hiyo proton ni hatari na ili adakwe serikali inatakiwa inunue taarifa zake kwa pesa nyingi mno kwa hiyo tutabaki kudanganyana tuu na kuhisi watu ambao sio kabisa na walitaka kuzusha eti kakamatwa wangepata aibu maana jamaa angeendelea kutoa taarifa kama kawaida...Kigogo ni kiboko anaijua IT vizuri
 
Mimi kwanza sioni hata haja ya kuhangaika na huyo jamaa,

Tena kwenye huu uchaguzi ndio kaonesha hajui chochote zaidi ya porojo tu.

Aliwadanganya Bavicha kwamba ana kituo chake na yeye cha kujumlishia matokeo hivyo nec wakae mkao wa kula, na bavicha wakashangilia kumbe bure kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…