Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 21,572
- 15,610
Kuna namna mbalimbali ya kudeal na issues mbalimbali.Sasa wakiitumia kimya kimya, watu watajua je, kwani dau ndio huwavutia watoa taarifa, mbona USA, yeye huwa ameshaweka dau kwa kila kichwa cha mtu wanae mtafuta? Sasa kidnapping ni tofauti, ndio maana huwa dau linawekwa hadharani, ili kuwavutia wenye habari juu ya huyo anayetafutwa!!!
Tanzania Government might ask or corporate with foreign competent governments or agencies like Mossad which is most likely and that will be bad news for Kigogo 2014.Serikali ina mkono mrefu!
Tanzania Government might ask or corporate with foreign competent governments or agencies like Mossad which is most likely and that will be bad news for Kigogo 2014.
Hujui sheria wewe hakuna duniani ambako wanaruhusu kumzushia Rais kifo ukapona!! Nenda kamuulize Snowden his days are numbered!! Hakuna uhuru usio na kikomo!!Bad timing. Amesty na wenzake wametoa ripoti yao siku kadhaa mbele mtu anatoa tamko linaloashiria linabana haki ya watu kutoa maoni yao.
Maoni hua haijalishi kama ni matusi, kukosoa au kusifia. Maoni ni maoni tu.
Wewe unamchukulia poa Kigogo2014?!!Yaani u mobilize resources kwa ajili ya kumtafuta Kigogo? Hivi hizo hela hazina kazi nyingine za kufanya mpaka zitumike kwenye upumbavu wa mtu anayetoa maoni yake?
sio ya nchi inayotegemea misaada kujiendesha kwa zaidi ya nusu ya bajeti yakeSerikali ina mkono mrefu!
Subiri muda utaongea!sio ya nchi inayotegemea misaada kujiendesha kwa zaidi ya nusu ya bajeti yake
Unaweza kushangaa siku Kigogo2014 atakapowekwa hadharani.......kumbe ni mwanalumumba....khaa!!
Foreign governments and the likes of MOSSAD dont get involved in "petty issues"Tanzania Government might ask or corporate with foreign competent governments or agencies like Mossad which is most likely and that will be bad news for Kigogo 2014.
Hajafanya chochote boss wala wasikupotezee muda haoHuyo kigogo kafanya nini wakuu mpaka amekuwa topic kubwa hivyo???
Hakuna lolote aliwashinda mange mtamuweza mkali wa franceSubiri muda utaongea!
Nimepita kwenye social media moja nimekuta huyu jamaa anayeitwa Kigogo anatafutwa na waziri Kangi Lugola.
Jamaa amefanya tukio gani hilo la balaa mpaka amemkuna mheshimiwa waziri?
Hawawezi kumdaka kigogo kwa kutegemea wataalamu wa TCRA na Cyber Crime Unit "SENTRO" hawatoweza.kigogo kwa mawazo yangu sio mtu 1 ni kundi la watu (tena wataalamu sana) kuna siku niliona akisema 'walimdukua wakachemka" unaweza pata picha jamaa ni wa moto kiasi gani?
hii kudanganyana sijui mtego wa kuumwa maggu sijui nini ni porojo
Tanzania Government might ask or corporate with foreign competent governments or agencies like Mossad which is most likely and that will be bad news for Kigogo 2014.
Mange unamsikia now days?!Hakuna lolote aliwashinda mange mtamuweza mkali wa france
Do you remember the issue of JK on "The Utamu"? The guy was in UK but mkono wa.serikali reached him!!Foreign governments and the likes of MOSSAD dont get involved in "petty issues"
Nilidhani yuko sayari nyingine!Kigogo yupo nje ya nchi, ila haya mambo haya si Unaona Asange alitiwa nyavuni