Serikali Toeni Elimu Visiwani waache Tabia ya kuzuia watoto wachanga Wasipate VISOGO!

Serikali Toeni Elimu Visiwani waache Tabia ya kuzuia watoto wachanga Wasipate VISOGO!

Una wewe unacho andika,
Mila potofu bado ni tatizo Sana visiwani Zanzibar.
Kichogo ni maumbile Mazuri Kwa Mtoto wala .
Hiyo Sababu ya kibarakashi kushindwa kukaa vizuri haina mantiki kabisa
Mkuu ndivyo wanavyosema wakaazi wa Zenjbar,

Mila za ovyo ni mgumu sana kuziondosha, mfano kukeketa watoto wa kike, pamoja na kelele zote bado,

Hivi sasa wanakeketa Hadi vitoto vichanga, Yani ni upumbavu wa Hali ya juu, kama hao wa vichogo tu,
 
Ukiona hivyo Mila potofu kushamiri ujue serikali imefeli kuwa wananchi wake elimu Bora,
 
Hawa wazanzibari shida sana.Ndiyo maana wakipata madaraka huku bara wanauza hovyo maliasili zetu sababu ya akili zao ziliharibiwa na tamaduni zao za kubonyezwa visogo vyao.
Aiseee 🙌🙌
 
Hawa wazanzibari shida sana.Ndiyo maana wakipata madaraka huku bara wanauza hovyo maliasili zetu sababu ya akili zao ziliharibiwa na tamaduni zao za kubonyezwa visogo vyao.
Hii 👆 ina ukweli Fulani hivi
 
Thubutu. Nani alikudanganya bichwa kama mkate wa kisu lina akili nyingi?
ACHA Mila potofu dada, kichogo Kwa Mtoto hakina shida , kitamsaidia kukuwa vizuri Ki afya + akili.
 
Watu wa Zanzibar waambiwe ukweli, waachane na hii Tabia, utamaduni wa hovyo.
Mtoto kuwa na kichogo ni haki yake , ni maumbile ya kibinaadam, haipaswi kubaguliwa
 
Back
Top Bottom