Kuna mabilioni ulipwa mashulen kila mwezi sasa mashule yamefungwa hayo mabilion ya mwezi 1yanaweza kupambana na coronaRais John Magufuli ameagiza Sh500 milioni ambazo zilitengwa kwa ajili ya maadhimisho ya miaka 56 ya sherehe za muungano zipelekwe kwenye mfuko wa kupambana na corona wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Source: Mwananchi
Sent using Jamii Forums mobile app
sio sawa kabisa ndugu, hata kama nina uwezo siwez toa , sio sawa, naona ni kama ufisadi tu ...Wenye nazo watatoa ndugu yangu...wapo tu watakaotoa Ila majority ya watz wenzangu hali zetu tunazijua
Mawazo yako mazuri sana ila kwa muktadha wa Tanzania- sidhani kama hiyo Elimu itakuwa sawa kwa wanafunzi wote. (Hakuna miundombinu wezezeshi Ku 'facilitate' hiyo Elimu)Kwa akili za ki-utu uzima ni rahisi mkuu ila kwa akili za kiuanafunzi, itawachukua muda na nguvu kidogo kurejea katika hali ya kitaaluma psychologically maana kukaa mwezi mzima na sehemu bila serious classes lazima akili ilale kidogo, hivyo wakitafutiwa namna itakuwa bora zaidi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nchi ina wanafiki na vigeu geu wengi sana, ukiwa kiongozi piga tu na familia yako basi.yaani we acha tu.......ndo maana baadhi ya wenye mamlaka wanaamua kujipigia tu wakipata nafasi; maana vyovyote iwavyo watasemwa tu! mwisho wa siku, kutoeleweka kwetu tunaishia kuumia wenyewe tu!
Ile spannish flu, ambayo iliua watu kati ya 24m na 39m, ilianza mwaka 1918 ikaisha 1920.Sioni kama unaisha leo huu labda January.
Wewe watu tuko kijijini network inazingua kinomaUwezekano wa kufunga shule J3 haupo, napendekeza mfuko wa kupambana na Covid19 uvisaidie vyuo na mashule viwezeshi vya kuandaa magunzo kwa njia ya mtandao. Imekuwa kawaida walimu na wahazili huamka kwenda ofisini na kurudi nyumbani nothing to do, mbona wasijiongeze kuwawezesha wanafunzi wao kipondi hili cha lockdown ya corona.
Kweli kabisa, hili tatizo ni kubwa pengine tofauti na tunavyolichukulia,Hivi hamkujua ni tatizo kubwa, ni kubwa kweli. Tusikie tuache ushabiki wa vyama usio na Tija katika janga hili.
Hili ni gumu.Mimi nashauri shule zamsingi na secondarily za vijijini zifunguliwe ila sizipokee mwanafunzi mpya nawala asitokee mwanafunzi wakijijini akaja mjini naikitokea akija mjini basi asirudi tena kijijini hii iende sambamba nakwawalimu wao pia
Sent using Jamii Forums mobile app
Hili tatizo kulikuwa na uwezekano kubwa kabisa ya kulizuia mapema hata kabla halijaingia. Hata pengine lilipoingia kulikuwa na uwezekano mkubwa kabisa kulizuia kwenye stage ya mwanzo.Tungelikuwa fuata ushauri was mchungaji msigwa alio utoa bungeni wakati ule wa kabla hata maambukizi hayajaingia nchini tungalifaulu kwq mipango yetu lakininkwa bahati mbaya , uchama na busara za speaker zikaikatisha hoja mbadala kabisa Sasa leo tunaanza kuyaona madhara.
Uongozi SI kubeba cheo na ukuu ni kuwa na maono katika mambo mengi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mambo mengi Kama yapi?! Wanawaza Kodi, Ada, stress za kazin na biashara??Watoto wanamambo mengi kichwani uwezi amini tunaona vurugu zao huku mtaani
CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
πππ Mapinduzi 26/4 !Hapo maana yake vyuo na mashule vimefungwa kwa muda usiojulikana.
Alafu hiyo sherehe ya Mapinduzi ya April 26 ni ipi hiyo?
Tatizo mimi naongea vitu vilivyofanyiwa tafiti, wewe unaleta uguluguja.Tizama huyu
CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
Mitihani ya taifa itakuaje?!Mimi nashauri shule zamsingi na secondarily za vijijini zifunguliwe ila sizipokee mwanafunzi mpya nawala asitokee mwanafunzi wakijijini akaja mjini naikitokea akija mjini basi asirudi tena kijijini hii iende sambamba nakwawalimu wao pia
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa ndo tunapofeliMpaka leo Uganda wamepima watu takribani 5600 na walio na maambukizi ni 54
Sisi tumepima wangapi mpaka leo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawafanyi proof reading hawa wamechanganyikiwaHapo maana yake vyuo na mashule vimefungwa kwa muda usiojulikana.
Alafu hiyo sherehe ya Mapinduzi ya April 26 ni ipi hiyo?
na bado unaweza kuwaachia vimaneno flani vya kuudhi wakahangaike navyo huko mbele......km vile 'vijisent', 'ya mboga', 'mimi ni nyoka wa makengeza' n.kπππNchi ina wanafiki na vigeu geu wengi sana, ukiwa kiongozi piga tu na familia yako basi.