Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,189
- 128,283
Safi sana mkuu umejiongeza.Dah nahisi nitarudi Chuo nikiwa na miaka 50!..
Oy wakuu niko mwanza kama una mtoto wako naweza mfundisha masomo haya physics and mathematics. Hila pia biology and chemistry, pia natunga mtihani wa somo lolote na kukutumia whatsap pamoja na marking scheme (hiki uweze kum guide mtoto wako)lengo nipate hela ya vocha tu huku mwanao akiendelea kuelimika..ukihitaji namba nifate PM.
Wapo ambao nafika kwao majirani wanaonizunguka hapa, walioko mbali na walio serious natunga mtihani nawatumia whatsap then wakishamaliza wananirudishia kwa whatsap nawasahisha then nawatumia whatsap pamoja na marking scheme hili waone walipokosea ni wapi.
Waonee huruma mkuu, hasa wa private salary kuipata ni issue na ata wanaopata wanapata nusu, coz wazaz hawajalipa ada,.Walimu miguu juu tu muda huu [emoji3].
Nimependelea hivyo kwasababu shule nyingi za vijijini zinawalimu wachache kwahiyo siku shule zikifunguliwa sidhani kama shule za vijijini zitaweza kukimbizana namuda kuelekea kipindi chamitihani tofauti na shule zamjini zenye walimu wakutosha.Mitihani ya taifa itakuaje?!
Au wataendelea kusubiria wenzao
Hawa watu sidhani wanajua madhara ya hii virus haina mbunge waziri ni ya woteHapo maana yake vyuo na mashule vimefungwa kwa muda usiojulikana.
Alafu hiyo sherehe ya Mapinduzi ya April 26 ni ipi hiyo?
Yes hako katoto nina namba yake huwa yupo bording karudi home mambo ya #stayHome wakila wakashiba badala ya kusoma wao wanashindana kutwerk wazazi wako busy Instagram🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
kiongozi acha utani basi, dah!!!!!
Uwezekano wa kufunga shule J3 haupo, napendekeza mfuko wa kupambana na Covid19 uvisaidie vyuo na mashule viwezeshi vya kuandaa magunzo kwa njia ya mtandao. Imekuwa kawaida walimu na wahazili huamka kwenda ofisini na kurudi nyumbani nothing to do, mbona wasijiongeze kuwawezesha wanafunzi wao kipondi hili cha lockdown ya corona.
Nikikupa jina la wilaya uta verify na kuja humu kuthibitisha kuwa ni kweli?Nipe wangalau mfano wa hiyo wilaya uliyopo, maana nadhani itakuwa ni carbon copy ya wilaya nyingine.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tatizo mimi naongea vitu vilivyofanyiwa tafiti, wewe unaleta uguluguja.
mpaka zikifunguliwa shule material yote yametoka kichwani! inabidi walimu waanze upyaYes hako katoto nina namba yake huwa yupo bording karudi home mambo ya #stayHome wakila wakashiba badala ya kusoma wao wanashindana kutwerk wazazi wako busy Instagram
Siyo kiwango hicho Sasa!Ukiona serikali inasema 53, ujue namba halisi ni takriban 530.
Nikikupa jina la wilaya uta verify na kuja humu kuthibitisha kuwa ni kweli?
Kuna habari mtaani: Kigamboni kiwanda cha TIPER wafanyakazi wengi wamewekwa karantini baada ya bosi wao kupata virus. Pia leo maeneo ya Boko na Bunju wamechukuliwa watu watatu na ambulance. Ingawa hakuna uhakika lakini dalili zote watu wamesema ni za hawa virus.Hawa watu sidhani wanajua madhara ya hii virus haina mbunge waziri ni ya wote
Hawapo serious au uelewa mdogo sana au both
Lockdown ni muhimu kuliko matamko yao kila kukicha
Wanakera
Hawa watu sidhani wanajua madhara ya hii virus haina mbunge waziri ni ya wote
Hawapo serious au uelewa mdogo sana au both
Lockdown ni muhimu kuliko matamko yao kila kukicha
Wanakera