Serikali: Wahanga vyeti feki kulipwa mafao yao

Walikua wanalipwa mshahara kama watu 2 tofauti
Hivyo kila mtu na michango/mafao yake
 
Nchi ya wajinga hii! Watu kibao hawana ajira na vyeti vyao halali halafu mnaanza kulipa hela mtu aliyeiibia nchi miaka kibao! Kwani wakati anatumikia alikuwa hapati mshahara!
Magu fool.. mwenyewe jizi lile...lilijenga air port kwao kwa hela hizo za dhuruma. Mungu muweza akaona isiwe tabu..akalionyesha kazi mpaka leo lina beba mtondoo ahela.

Waliwekwa na sirikali walipwe tu hkn namna. ....kwanza walikuwa na vipaji mnooo nchi ilisonga...
 
Kati ya Serikali na wao nani mwizi hapo??

Hawajaiibia tu Serikali pia wamesababisha watu wenye sifa kukosa hizo nafasi.

Hawa hawakustahili kulipwa, walipaswa washtakiwe kwa ulaghai au kughushi nyalaka ( wataalamu wa sheria wanaweza kufafanua zaidi)
Inauumaa saanaaa kuuonaa Tanzania yetu eti kosa la kugushi linachukuliwa kiwepesi sana hata na DPP mwenyewe wakati kugushi ni kosa la Jinai!!?? Na kifungo chake si chini ya miaka 7!!! DPP somewhere somehow anatuangusha!!!!
 
Lakini kwa Nini wali forgi vyeti!!??

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Kufoji ni udanganyifu na faida walioipata ni uhujumu uchumi, sasa mwenye serikali au wale wanufaika wa wenye vyeti fake wameishika serikali. All in all hii ni huruma na msamaha tunamshukuru Mungu kwa hii huruma kubwa ya Kimungu Kwa mamlaka na hasa aliependekeza, aliewaza na aliidhinisha na atakaefanikisha. Mungu awabariki.

Kufurahia hili ni afya kuliko kulikataa.
 
Yaani unamlipa mwizi kwa sababu ya huruma tu!!
 
Haya maamuzi ni ya mamlaka ya juu, it's a decree decision, DPP anapewa Maelekezo, mwenye pesa ni Rais wa nchi husika na ndiye huidhinisha malipo.
 
Kumbuka alishindwa kuwaondoa polisi wenye vyeti feki, isiishie kusimama nae tu, kalale nae pia[emoji3061]
 
Elewa hawalipwi staafu! Ni michango yao waliyochangia na mwajiriwa wao pia.
Income yoyote waliyoipata wakati wanatumikia kwa njia ya udanganyifu sihalali.
Kwanza walitakiwa kurudisha mishahara yote waliyo pokea kwa njia ya udanganyifu.

Watu wameghushi vyeti na kupata ajira humohumo serikalini alafu wamegundulika kwamba walifanya uhalifu then walipwe stahiki zao????,
michango yao!!.

Hiyo michango wameipata wapi na wameipa kihalali ama kupitia nyaraka feki,kama michango yao waliipata kwa njia za udanganyifu then why should we pay the criminals???.

Watu wanataka kupigaa tu kodizetu hapo hakuna logic yoyote hapo kuwalipa wahalifu.

Inashangaza sana.

Tungekuwa makini tunge watafuta walio waajiri hao vyeti feki watuambie jinsi walivyo shindwa kutambua hivyo vyeti feki,then tungepiga hatua moja mbele katika kudhibiti wanaoghushi nyaraka.
Kupanga kuwalipa ni kupiga hatua tano nyuma katika kupambana na matapeli.
 
Mungu awabariki wale waliofikiria juu ya hili jamani wapate jasho lao ni haki yao.
 
Kati ya Serikali na wao nani mwizi hapo??

Hawajaiibia tu Serikali pia wamesababisha watu wenye sifa kukosa hizo nafasi.

Hawa hawakustahili kulipwa, walipaswa washtakiwe kwa ulaghai au kughushi nyalaka ( wataalamu wa sheria wanaweza kufafanua zaidi)
Ni wapumbavu tu ndio wataona hili liko sawa, Hamna mtu ambae ana uchungu na Taifa hili na rasilimali zake ata afiki huu ujinga.

sijui hata washauri wa huyu mama wako wapi, wangeruwarudshia kimya kimya bas maana hiki kinachofanyika ni ujinga na Aibu.

2025 huyu mama akipita Urais ntaamini Uchawi upo.
 
Ni sawa na mwizi kakamatwa kaiba,wakati akiwa anaiba akajichoma na msumari.

maara pap tumemdaka mwizi wetu, eti badala apigwe kisawa sawa au apelekwe sheria ikafanye yake.

eti anaanza tibiwa kidonda,anapewa maji ya kunywa,anapokonywa ile TV aloiba anaambiwa haya nenda nyumbani.

Kweli tumefikia huku? Hii nchi hiii
 
Na kwanini walifanya sabotage? Kutumia vyeti ambavyo sio halali
Kosa lao lipo wazi ila kwa kuwa kampeni za kisiasa zimekwisha anza chini kwa chini hilo linaonekana kama sio tatizo.
Hii nchi hii!
 
Mtalipa na majambazi
Hii nchi ngumu sana..
Hii ni sawa na ile ya kufuta darasa la saba… Wanaomaliza Form IV bado hawajiwezi wala kujielewa sasa tukifuta la saba si tunatengeneza Taifa la wapumbavu
Yule Mzungu sijui Mbongo mweupe anashabikia kila ovu juu ya Elimu yetu..
Eti watoto wetu wafundishwe kwa Kiswahili tuuuu Huu ni upuuzi.. Nia yake ni nini? Leo tunashindwa kusign mikataba rahisi tu kwa sababu ya lugha.

Kuna watu wanatafuta sifa za kipumbavu..
WaTz I mean halisi msiyumbishwe na kudanganywa ‘eti Kiswahili kinakua kinakua wapi Africa tu sio kila mahali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…