Fasta fasta
JF-Expert Member
- Feb 15, 2011
- 1,125
- 725
U gejitokeza Cha Jamaa ukaonya utekaji, uuwaji, na uchaguzi ulivyoendesha tungekuona wa maana.Kila binadamu anaubinafsi! Ila ukweli utabaki kuwa ukweli hawa ni wezi hata kama walitumikia taifa ila njia yao ya kuingia kwenye kazi zilikuwa haramu!
Mfano ushawahi kujiuliza watu wangapi wali pata madhara kutokana na huduma za hawa watu wasio na vyeti halali? Daktari asiye na vyeti anamhudumia mgonjwa kwa kutumia uzoefu huu ni uharifu wa hali ya juu!
Wapigwe chini tena hili lisijitudie!