Fasta fasta
JF-Expert Member
- Feb 15, 2011
- 1,125
- 725
U gejitokeza Cha Jamaa ukaonya utekaji, uuwaji, na uchaguzi ulivyoendesha tungekuona wa maana.Kila binadamu anaubinafsi! Ila ukweli utabaki kuwa ukweli hawa ni wezi hata kama walitumikia taifa ila njia yao ya kuingia kwenye kazi zilikuwa haramu!
Mfano ushawahi kujiuliza watu wangapi wali pata madhara kutokana na huduma za hawa watu wasio na vyeti halali? Daktari asiye na vyeti anamhudumia mgonjwa kwa kutumia uzoefu huu ni uharifu wa hali ya juu!
Wapigwe chini tena hili lisijitudie!
aendelea kusimama pale pale ingependeza zaidi kama ungeweza kuuvaa uhusika wao ao watu.Kila binadamu anaubinafsi! Ila ukweli utabaki kuwa ukweli hawa ni wezi hata kama walitumikia taifa ila njia yao ya kuingia kwenye kazi zilikuwa haramu!
Mfano ushawahi kujiuliza watu wangapi wali pata madhara kutokana na huduma za hawa watu wasio na vyeti halali? Daktari asiye na vyeti anamhudumia mgonjwa kwa kutumia uzoefu huu ni uharifu wa hali ya juu!
Wapigwe chini tena hili lisijitudie!
Binadamu yeyote yule aliyezaliwa mwanamke ana sura mbili ndani yake. Hali kadhalika, JPM alikuwa "best qualities" pia "worst qualities"Tuambie Ben alipo.
Ni vyeti vya form four waligushi ila wengine walisoma kiukweli huko vyuoni. Ni wezi kweli ila waliondolewa sababu ya ukubwa wa gharama za mishahara kigezo cha utendaji hakikutumika. Kuna maeneo hayajaguswa kabisa sababu ya hofu ya yatakayojiri kwa hizo nafasi kubaki wazi.Kila binadamu anaubinafsi! Ila ukweli utabaki kuwa ukweli hawa ni wezi hata kama walitumikia taifa ila njia yao ya kuingia kwenye kazi zilikuwa haramu!
Mfano ushawahi kujiuliza watu wangapi wali pata madhara kutokana na huduma za hawa watu wasio na vyeti halali? Daktari asiye na vyeti anamhudumia mgonjwa kwa kutumia uzoefu huu ni uharifu wa hali ya juu!
Wapigwe chini tena hili lisijitudie!
Wao ndo walihujumu taifa mchana kweupe kwa kufoji vyetiWapewe haki zao walidhurumiwa kweupe na lile dikiteta la chato
Wewe ulishawahi kunifatilia mpaka useme nijitokeze! Kati yangu na wewe na ID yako feki nani hajitokezi!U gejitokeza Cha Jamaa ukaonya utekaji, uuwaji, na uchaguzi ulivyoendesha tungekuona wa maana.
Muulize mboweTuambie Ben alipo.
aendelea kusimama pale pale ingependeza zaidi kama ungeweza kuuvaa uhusika wao ao watu.
aya hongera acha me nikanywe supu kwanza na chapati mbili we endelea kukasirika tuDuniani hapa hakuna wa kuvaa uhusika wa mtu kila mmoja apambane na hali yake!
Ulishawahi kusikia neno linalosema unavuna ulicho panda!?
Mwanadamu huwezi kukutetea popote na kwa imani yangu Yesu tu ndo alikuja kulifanya hilo basi!
Unajua maisha ni safari unaweza kuishi popote lakini? Ungekuwa na utu usingewahukumu wenzako kwa kejeli zako. Kama unauchungu Sana mbona hujaenda kuwakamata waliojenga chumba Cha mlinzi kwa m 11? Na hao ndiyo wenye vyeti OG. Mwizi Hapo ni nani? Tulia droup ingie upone.Katika hao kuna ambao walitumia vyeti vya form four kusoma taaluma ya afya hadi ngazi ya juu. Na ufanisi kazini ulikuwa juu sana. Kilichofanyika ni ROHO mbaya ya KIMASIKINI iliyopelekea hata mradi wa Dege Kigamboni kukwamishwa. Walipwe tu ili hiyo nafasi wajanja nao wapige mpunga
Wacheni Mungu aitwe Mungu,bila yeye kuingilia kati nchi ilikuwa inaingia kuzimu kabisaWapewe haki zao walidhurumiwa kweupe na lile dikiteta la chato
Wale watu walidhulumiwa sana. Kwanza nchi moja kuwa na double standard katika maamuzi si sawa. Hao hao wenye vyeti feki kwenye vyombo vya dola hawakuguswa !!.Unajua maisha ni safari unaweza kuishi popote lakini? Ungekuwa na utu usingewahukumu wenzako kwa kejeli zako. Kama unauchungu Sana mbona hujaenda kuwakamata waliojenga chumba Cha mlinzi kwa m 11? Na hao ndiyo wenye vyeti OG. Mwizi Hapo ni nani? Tulia droup ingie upone.
Sasa kwa taarifa yako nchi hii ndo iko kuzimu kabisa! Wewe kwa akili yako kisoda unajojua ni kishabikia upuuzi!Wacheni Mungu aitwe Mungu,bila yeye kuingilia kati nchi ilikuwa inaingia kuzimu kabisa
Hapo Kuna kujiongeza zaidi. Hiyo m6 kwa kweli haitoshi ni Kama wananunua jeneza jinsi maisha yalivyopanda. Serikali imsaidie apate hata nyumba ya kuishi na watoto wake. Tena serikali iwe wakali kwa waajiri. Ukitafakari kwa kina huyu my hatakama alifanya makosa lakini alikuwa na vyeti vya taaluma.Watapewa michango yao tu, sio ya mwajiri wala sio pension.
Wengi wameliwa vichwa wakiwa na mshahara chini ya m1 na wakiwa kazini pungufu ya miaka 15 na ikumbukwe walianza kazi na mishara midogo sana pungufu ya laki.
Watapata hela pungufu ya milion 6
Kwa kweli Kama watalipwa pesa hi ni Kama wamewanunulia jeneza. Hii watafanyia Nini? Hawa watu wanafamilia wanawategea. Wengine wana watoto wanasoma bado.Watapewa michango yao tu, sio ya mwajiri wala sio pension.
Wengi wameliwa vichwa wakiwa na mshahara chini ya m1 na wakiwa kazini pungufu ya miaka 15 na ikumbukwe walianza kazi na mishara midogo sana pungufu ya laki.
Watapata hela pungufu ya milion 6
Wewe waache tu! Maana nchi ikiongozwa na vilaza matokeo yake ndo haya!Na wale wezi waliopo mahabusu nao watolewe mahabusu halafu walipwe kwa kazi nzuri ya kuiba walioifanya.