Serikali: Wanafunzi waliopata mimba kuendelea na Masomo katika mfumo rasmi

Watakuwa kwenye mfumo wa elimu ya watu wazima na shule zao zimeshaandaliwa na walimu wanaajiliwa Sasa ila naona wametumia kauli hiyo Ili wasijione wametengwa ila shule watakazosoma ni elimu ya watu wazima watakuwa wanaelekezwa wakifika shule.
Waziri kashasema, wewe nani mpaka uanze kuediti?
 
Kumbe jiwe alikuwa anawaudhi watu wa karibu yake., leo alichokisimamia kinapingwa wazi waz dadadeki
 
Itungiwe sheria
 
Tunatumia muda mwingi kupromote na kutetea mambo ya hovyo kwenye jamii.

Yani asiyefuata maadili anaenda kuchanganywa na wanaofuata maadili baada ya miaka 10 wote unakuta wameoza.

Wamemwandaa nani wa kuacha shughuli zake alee hao watoto watakao zaliwa na kuachwa na wazazi wao? Maana baba ataenda jela miaka 30 na mama atarudi shule.

Muda si mrefu na haki ya vilainishi itaruhusiwa
 
Hayati Magufuli akifufuka leo atahisi alikufa miaka 100 ilopita..mana hii U turn inayopigwa na wapambe zake hawezi amini.

Siasa za bongo bila unafiki huwezi ziishi.

#MaendeleoHayanaChama
Mabinti sasa Ngono kama ubuyu, hawatakuwa na wasiwasi tena.
Ruhusa hii inahitaji Tahadhari sana
 
Unawaonea bure, nchi hii ilikuwa ni mali binafsi ya shetani kutoka Chato.

Huyu Mama Samia alitaka kujiuzuru wazee wakamsihi avumilie, ndio sababu leo ana mamlaka kamili ndio anarekebisha damage iliyofanywa na yule chizi mjaalaana.

Mwacheni mama arekebishe nchi, tena swala hili lilisababisha tunyimwe fund za elimu kwa ajili ya ukaidi wa mpuuzi mmoja tu.
 
Hayati Magufuli akifufuka leo atahisi alikufa miaka 100 ilopita mana hii U turn inayopigwa na wapambe zake hawezi amini.

Siasa za bongo bila unafiki huwezi ziishi.

#MaendeleoHayanaChama
Peleka ujinga wenu huko na Mwendazake,iweje mimba imnyime mtu elimu?

Alafu alikuta watoto wenye mimba wanasoma akaja kufuta Kwa upuuzi wake kwa hoja za kijinga..

Safi Sana Samia kwa kuwaheshimisha na kuwajali wanawake wenzio.
 
Mbona sisi tunakubali kuchanganywa na watu msiokuwa na akili na hamtuambikizi ujinga wenu?
 
Hii ndo nimeisikia leo tangu nizaliwe.
Hao walimu walitakiwa wachukuliwe hatua kali sana.
Hii ilikuwepo mkuu , walimu si huwa wanapewa zawadi wakifaulisha vizuri wanafunzi, vilaza wengi waliwafukuza shule kwa case za mimba za uongo, Saiz hata takwimu za mimba zitapungua
 
Sikuwahi kukubaliana na lile zuio tangu awali..ila nacho shangaa ni jinsi hawa mawazir walivyokua wanafiki kipindi hicho..na wanachokifanya sasa.

#MaendeleoHayanaChama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…