Serikali: Wanafunzi waliopata mimba kuendelea na Masomo katika mfumo rasmi

Sheria inasema kumchakaza "Minor" ni sawa na ubakaji, na ubakaji hukumu yake ni miaka 30. But hakuna sheria inayosema mtoto wa kike akipata mimba asirudi shule baada ya kumaliza mambo ya uzazi
Sheria ya shule zote tz inasema kujihusisha na ngono ni kosa la kufukuzwa shule, kwa hio kupata Mimba ni ushahidi kuwa mwanafunzi alikuwa anafanya ngono, Sasa hii Sheria inabidi ifutwe
 
Miss Tanzania..

Ukipewa hii nchi ukashindwa kuiongoza utakuwa kilaza wa mwisho duniani!
 

..waliposema wajawazito watasoma kwa utaratibu maalum maana yake huko chini kulishalowa.

..kwamba sasa wameamua wajawazito warudi mashuleni maana yake wamepanua ni wakati wa kuingiza.

NB.

..utaratibu maalum ungeleta changamoto za KIBAJETI ndio maana wamelazimika kuwarudisha ktk shule za kawaida.
 
Kumrudisha mtoto shule kunazuia kufundisha maadili?
Au wewe unafurahia nini huyu mtoto anaponyimwa fursa ya elimu?
 
Ilikuwa ujinga mtu kupata mimba alafu asitishwe masomo,,yaani utngeneze wajinga katika jamii eti kisa walibeba mimba,,,,kwani mtu akizaa anakalia madawati mawili badala ya moja!!!? Yaani watu walitumia desturi za makabila yao wakazigeuza kuwa sera za Taifa. Japo si vema watoto kubeba mimba mapema lkn kunyang'anywa haki ya elimu sio uamuzi sahihi
 
Safi sana namuunga mkono waziri.

Hakuna uhusiano wowote wa kupata mimba na kushindwa kusoma. Vijana warudi shule, wasome waelimike, elimu iwasaidie wao na watoto wao na nchi kiujumla.

Hatuwezi sisi kama Taifa kupambana na umasikini na ujinga kwa kufukuza watu shule.

Mimba siyo ugonjwa, ni njia tu ya kuongeza binadamu duniani
 
Waziri aende mbali zaidi, wanafunzi wakipeana mimba wote wabaki shule, kumrudisha binti peke yake si sawa, wanaharakati naona wanaangalia mabinti tu...............ikiwa wote wametenda kosa na ni wanafunzi basi wote wabaki shule................
 
Piganieni na kijana anayempa mimba mwanafunzi mwenzake nayeye abaki shuleni, maana wote walitenda kosa sawa
 
Reactions: Ame
Waziri aende mbali zaidi, wanafunzi wakipeana mimba wote wabaki shule, kumrudisha binti peke yake si sawa, wanaharakati naona wanaangalia mabinti tu...............ikiwa wote wametenda kosa na ni wanafunzi basi wote wabaki shule................
Kosa la kumpa mimba mwanafunzi huwa linawagusa hata vijana wa kiume under 18? Kama unafahamu hili tufafanulie
 
Kosa la kumpa mimba mwanafunzi huwa linawagusa hata vijana wa kiume under 18? Kama unafahamu hili tufafanulie
Yes zipo kesi nyingi tu, kuna dogo alikuwa anasoma form 2 yupo jela kwa kumpa mimba mwenzake wa the same school........so waathirika siyo mabinti tu.....naona wanaharakati wanahangaika na wakike tu
 
Reactions: Ame
 
Hiyo haki ikiruhusiwa nunua tu na wewe vilainishi huzuiliwi,,,,watoto wa kike wasome bila kujali wamezaa ama la! Watoto wengi umaskini wa familia ndo unawaponza si kosa lao sana
 
Yaani mwanafunzi afanye udanganyifu mwaka huu halafu mwakani awe darasani.

Jela haendi??!!!!
 
Sheria ya shule zote tz inasema kujihusisha na ngono ni kosa la kufukuzwa shule, kwa hio kupata Mimba ni ushahidi kuwa mwanafunzi alikuwa anafanya ngono, Sasa hii Sheria inabidi ifutwe
Inasikitisha mkuu.
 
Mkuu nikweli upo sahihi, ulizia sheria ya mwanafunzi kujihusisha na ngono shuleni adhabu yake ni nini? Hizo sheria zifutwe basi maana kuna mkanganyiko kidogo
 
SAFI SANA WAZIRI

SAFI SANA SAMIA SULUHU HASSAN
Magufuli: Ni marufuku wanafunzi waliopata mimba kuendelea na masomo chini ya utawala wangu!

UVCCM: Yaaaah! Heko Rais!

Samia: Wanafunzi wote watakaopata mimba wataendelea na masomo baada ya kujifungua!

UVCCM: Yaaaah! Heko Rais
 
Punguani wewe! Kuendekeza umalaya kwenye mashule ndo sera yenu endeleeni kuramba makalio ya mabeberu! Huyo bibi ako anafanya hivyo sio yeye niujinga wake wa kutaka fedha bila kufanya kazi! Stupid!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…