Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ndiyo inaitwa startup package.Hello Wadau,
Naioongeza Serikali kwa kuchukua uamuzi huu utakaosaidia sana kutatua shida ya ajira na pia kuchochea vijana kujiajiri.
Tulikuwa wapi kumpata Rais kama Samia? Mungu ambariki.
====
View attachment 2542872
Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk Ashatu Kijaji amesema kuwa Rais Samia Suluhu Hassan ametoa kibali cha kuruhusu wafanyabiashara wanaoanza biashara kutokulipa kodi kwa kipindi cha miezi sita hadi mwaka moja.
“Rais ametoa kibali, wale wanaoanza biashara kufanya biashara miezi sita hadi mwaka moja ndipo waanze kulipa kodi,” alisema. Alisema hayo wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yaliyofanyika kimkoa katika Wilaya ya Kondoa.
Alisema hilo linaonesha ni jinsi gani Rais Samia anawajali wananchi wake. “Ni vyema kila mmoja akauunga mkono juhudi za Rais katika kuwaletea wananchi maendeleo,” alisisitiza. Pia aliwataka wananchi kuachana na mikopo umiza na ile ya kausha damu kwani imekuwa ikiumiza wananchi kutokana na kuwa na riba kubwa.
“Halmashauri zimekuwa zikitoa mikopo ya asilimia nne, wananchi mwende mkope huko. Pia Rais Samia ametoa fedha kwenye Shirika la Kuhudumia Viwanda Vidogo (Sido) ambapo mikopo hutolewa kwa riba ya asilimia tisa,” alisema. Alisema kuwa mikopo yenye riba kubwa imekuwa ikiumiza wananchi huku wakiwa hawapati faida yoyote.
Chanzo: Habari Leo
Kwa mfumo wa sasa wa efilling utateseka sana.Waswahili walivyo watakuwa wanaanza biashara kwa majina mapya kila mwaka
Wanagawa kwenye vikundi,kuanzia mtu nne mnapewa 10mWanagawa na mitaji?
Ili ikiwezekana nitoke huku burundi nilikoambiwa nihamie na bwana mmoja hivi
Huyu Mama ametumia akili kubwa sana katika hili!Hello Wadau,
Naioongeza Serikali kwa kuchukua uamuzi huu utakaosaidia sana kutatua shida ya ajira na pia kuchochea vijana kujiajiri.
Tulikuwa wapi kumpata Rais kama Samia? Mungu ambariki.
====
View attachment 2542872
Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk Ashatu Kijaji amesema kuwa Rais Samia Suluhu Hassan ametoa kibali cha kuruhusu wafanyabiashara wanaoanza biashara kutokulipa kodi kwa kipindi cha miezi sita hadi mwaka moja.
“Rais ametoa kibali, wale wanaoanza biashara kufanya biashara miezi sita hadi mwaka moja ndipo waanze kulipa kodi,” alisema. Alisema hayo wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yaliyofanyika kimkoa katika Wilaya ya Kondoa.
Alisema hilo linaonesha ni jinsi gani Rais Samia anawajali wananchi wake. “Ni vyema kila mmoja akauunga mkono juhudi za Rais katika kuwaletea wananchi maendeleo,” alisisitiza. Pia aliwataka wananchi kuachana na mikopo umiza na ile ya kausha damu kwani imekuwa ikiumiza wananchi kutokana na kuwa na riba kubwa.
“Halmashauri zimekuwa zikitoa mikopo ya asilimia nne, wananchi mwende mkope huko. Pia Rais Samia ametoa fedha kwenye Shirika la Kuhudumia Viwanda Vidogo (Sido) ambapo mikopo hutolewa kwa riba ya asilimia tisa,” alisema. Alisema kuwa mikopo yenye riba kubwa imekuwa ikiumiza wananchi huku wakiwa hawapati faida yoyote.
Chanzo: Habari Leo
Tusibiri yule kichaa toka canada atapinga tuHello Wadau,

Tunamsubiri Lema aje na ngonjera zake hapa ;Rais Samia Suluhu Hassan ameruhusu wafanyabiashara wanaoanza biashara kutolipa kodi kwa kipindi cha miezi sita hadi mwaka mmoja.
Hayo yamesemwa na Waziri wa Viwanda na Biashara, Dkt. Ashatu Kijaji wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani Machi 08,2023 yaliyofanyika kimkoa katika Wilaya ya Kondoa.
“Rais ametoa kibali, wale wanaoanza biashara kufanya biashara miezi sita hadi mwaka mmoja ndipo waanze kulipa kodi,” amesema.
Amesema hatua hiyo inaonesha jinsi gani Rais Samia Suluhu anavyowajali wananchi na kutoa wito kwa wananchi kuunga mkono juhudi zinazofanywa katika kuleta maendeleo.
Aidha, amewataka wananchi kuachana na mikopo umiza kwa kuwa imekuwa ikiwaumiza kutokana na kuwa na riba kubwa.
Ni vyemaHello Wadau,
Naioongeza Serikali kwa kuchukua uamuzi huu utakaosaidia sana kutatua shida ya ajira na pia kuchochea vijana kujiajiri.
Tulikuwa wapi kumpata Rais kama Samia? Mungu ambariki.
====
View attachment 2542872
Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk Ashatu Kijaji amesema kuwa Rais Samia Suluhu Hassan ametoa kibali cha kuruhusu wafanyabiashara wanaoanza biashara kutokulipa kodi kwa kipindi cha miezi sita hadi mwaka moja.
“Rais ametoa kibali, wale wanaoanza biashara kufanya biashara miezi sita hadi mwaka moja ndipo waanze kulipa kodi,” alisema. Alisema hayo wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yaliyofanyika kimkoa katika Wilaya ya Kondoa.
Alisema hilo linaonesha ni jinsi gani Rais Samia anawajali wananchi wake. “Ni vyema kila mmoja akauunga mkono juhudi za Rais katika kuwaletea wananchi maendeleo,” alisisitiza. Pia aliwataka wananchi kuachana na mikopo umiza na ile ya kausha damu kwani imekuwa ikiumiza wananchi kutokana na kuwa na riba kubwa.
“Halmashauri zimekuwa zikitoa mikopo ya asilimia nne, wananchi mwende mkope huko. Pia Rais Samia ametoa fedha kwenye Shirika la Kuhudumia Viwanda Vidogo (Sido) ambapo mikopo hutolewa kwa riba ya asilimia tisa,” alisema. Alisema kuwa mikopo yenye riba kubwa imekuwa ikiumiza wananchi huku wakiwa hawapati faida yoyote.
Chanzo: Habari Leo
Utabadili jina la NIDA kila mwaka?Waswahili walivyo watakuwa wanaanza biashara kwa majina mapya kila mwaka
Kwanza hii biashara ya kuuza mashine za EFD Ina ukakasi. Kwa Nini zisiwe ni Mali za TRA na wafanya biashara wanazichukua kutoka kwako na wanaingiziwa gharama yake katika makadirio Yako ya mwaka na utalipa kidogo kidogo mara nne kama ulipavyo Quarterly Provisions?Mashine za EFD nazo zipatikane kwa bei ya chini ya shilingi laki 2. Hiyo itasaidia kila mfanyabiashara kufanya biashara na kutoa receipt.