Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
YeahTecknolojia inakua. Tofauti na zamani Kuna link kati ya Brella na TRA na kila siku inaboreshwa. Ni risk sana kuwa na makampuni mengi yasiyofanya kazi. Na kufunga kampuni kuna gharama. Kwa mfumo wa sasa biashara ya kufungua na kufunga kampuni ni biashara kichaa. Itakugharimu tu, bora kama unaona hukui uachane na biashara.
Elimu hii inatakiwa iwafikie wengi wenye nia hiyo