Kwani aliyeongea ni kanjanja au Waziri wa Biashara? Kwenye Bajeti ijayo litatungiwa Sheria na Wizara itaweka utaratibu
Kwa ivyo unakubali sio sahihi kusema raisi ametoa kibali kwa jambo ambalo aliwezekani kutekelezeka bila ya bunge. Sasa ukisoma hiyo habari uoni huo ukanjanja kwa kusema raisi ametoa kibali?
Na hata Dr Kijaji hana mamlaka ya maamuzi ya kodi ni waziri wa fedha tu ndio anaeweza tolea huo ufafanuzi kwa hatua ambazo sera bado aijawa sheria rasmi.
If anything uwezi toza kodi kwa biashara mpya inapoanza sasa kama wanabadili ni kwenda sambambamba na dunia tu. Pili kusamehewa kodi kwa miezi sita au mwaka kuna maana gani, kutakuwa na threshold ya income ambayo itasamehewa, hakuna limit ya kiwango au watacheleweshewa tu muda wa kulipa kodi.
Halafu kodi utasemehewa ni ipi income tax, vat or both, sio swala la kushabikia bila ya maelezo ya waziri ni habari iliyoandikwa na kanjanja ambayo hakuna mtu mwenye uelewa wa maswala ya kodi inaweza make sense kwake.
Otherwise kodi ata huku kijijini kwetu mwaka ukiisha kwa biashara ndogo wanaolipa mara moja kwa mpigo deni lao awalipi hapo hapo unapewa miezi tisa na siku moja baada ya kufunga hesabu za mwaka. Biashara kubwa wanaolipa kwa makadirio na quarterly wanaanza baada ya miezi sita na siku kumi na every quarter after that, sasa huo sio msamaha ni kucheleweshewa muda tu wa kulipa deni.
Serikali inakusudia lipi hapo nikukuuliza huna majibu, halafu unabisha allieandika sio kanjanja kwa sababu nina uhakika alichosema waziri akiwezi kuwa jumla jumla ivyo.