YeahTecknolojia inakua. Tofauti na zamani Kuna link kati ya Brella na TRA na kila siku inaboreshwa. Ni risk sana kuwa na makampuni mengi yasiyofanya kazi. Na kufunga kampuni kuna gharama. Kwa mfumo wa sasa biashara ya kufungua na kufunga kampuni ni biashara kichaa. Itakugharimu tu, bora kama unaona hukui uachane na biashara.
Anza biashara na wewe unufaike na ofa hii acha kulalamika na kueneza uzushi.Na mkumbuke mchele wa unaoitwa Mchele wa plastic kutoka Pakstan nao ushaanza kuingizwa nchini,na wanaoingiza ni wale wafanya bihashara Wakubwa wa muda wote,nao wamepewa ofa ya kutolipa kodi kwa mwaka mzima tujipange.
Soma comment za juu hacha ufala kijana,unadhani kuanzisha bihashara hawamu ni kazi ndogo?Anza biashara na wewe unufaike na ofa hii acha kulalamika na kueneza uzushi.
Kama huna sifa hupewi.Ukisikia wananchi unafikiri ni wewe .
Kumbe hao wananchi wanazungumziwa viongozi na watoto wao.
Nenda wewe kaombe huo mkopo tuone kama utapewa au kaombe kazi na hawakujui uje utoe majibu hapa.
Jamaa una kisirani sana. Punguza stressYule kima kutoka Canada msishangae akipinga
Sukuma gang ndiyo watakaopinga, wao hawajui hata maana ya biashara kwani kwao sifa ni kuitwa wanyonge.Yule kima kutoka Canada msishangae akipinga
wewe bwabwa wa kwenye makorido ya lumumba tuliza mshono kama buku saba zimekulevya 2025 tafta kaz ya kufanya maana tutawanyoosha mpaka maji muite mmaa.Yule kima kutoka Canada msishangae akipinga
Sasa ukifunga si ndio umeacha biashara? Utakuwa umekwepa vipi kulipa Kodi? Kufunga manake umeshindwa.Anafunga biashara
Tin namba tofauti Kila biashara?Tecknolojia inakua. Tofauti na zamani Kuna link kati ya Brella na TRA na kila siku inaboreshwa. Ni risk sana kuwa na makampuni mengi yasiyofanya kazi. Na kufunga kampuni kuna gharama. Kwa mfumo wa sasa biashara ya kufungua na kufunga kampuni ni biashara kichaa. Itakugharimu tu, bora kama unaona hukui uachane na biashara.
Huo ujinga Hadi lini? Mimi nitafungua biashara na Wala sitofunga wanipe mwaka mmja tuu.Anaanza baba, mwisho wa mwaka anasema amefilisika, anafungua mama, anafilisika wanapokea watoto etc
Kwa mfumo wa sasa ukifanya hivi utaingia gharama sana. Late filling tu ni 225,000 kila mwezi, sasa una tin 5 ndani ya miaka 5 compliance si itakuua? Haya lets say upo under presumptive hufile chochote. Inamaana kila mwaka utatakiwa ukubaliane na mtu mpya aende TRA kwa niaba yako kupeleka taarifa za biashara mpya, Efd mashine mpya n.k. Kama sio kuchanganyikiwa ni nn?Tin namba tofauti Kila biashara?
Sasa si bora familia nzima mjiunge na michezo ya kuigiza, maana utakuwa uigizaji wa mateso kweli.Anaanza baba, mwisho wa mwaka anasema amefilisika, anafungua mama, anafilisika wanapokea watoto etc
Wadanganye! Kumbuka kuna NIDA, TIN na Leseni zingine! Wataumbuka!Waswahili walivyo watakuwa wanaanza biashara kwa majina mapya kila mwaka
Kumbe ulikuwa humpi? Kwa taarifa Yako mara nyingi watu wenye makelele Huwa ni zero brain ila watu watulivu wasio waongeaji sana Huwa na IQ kubwa..Ila huyu mama ifike mahali tumpe heshima anayostahili! Watu wanambeza lakini kuna vitu anavifanya ni vya maana sana kwa mwananchi! Awe mkali tu asiwaruhusu wajinga wachache wamharibie!