Serikali: Wanaoanza Biashara kutolipa Kodi ya Mapato kwa muda hadi wa mwaka mmoja

Na mkumbuke mchele wa unaoitwa Mchele wa plastic kutoka Pakstan nao ushaanza kuingizwa nchini,na wanaoingiza ni wale wafanya bihashara Wakubwa wa muda wote,nao wamepewa ofa ya kutolipa kodi kwa mwaka mzima tujipange.
Hivi huu utumbo huwa mnaandika kwa faida ya nani. Mnashusha Hadhi ya JF, sio tu ukiwa na smartphone basi unapost chochote unachojiskia.
 
Siasa zimeanza tayari
 
Huwa mnalalamika kila siku serikali haiweki mazingira mazuri ya vijana kujiajiri. Haya kafuta Kodi Bado unalialia Sasa ulitaka afanyaje? Badala utumie fursa uko busy kupinga pinga tu.

Sukuma gang mna shida sio Bure

Uliandika vizuri tatizo umemaliza vibaya kwa kutaja Sukuma Gang,unahis Makabira mengine ndo yapo tayari kupewa huu mradi feki?
 
Kauli za wanasiasa wanapokuwa kileleni plse tahadhari zichukuliwe kwani haziko clear na zinautata mwingi Sana. Kwanza ni BIASHARA gani?? Unaanza lini??? Mbona watoa Mada kama watu WA propaganda wakilopoka wanasiasa nyie ni kusherehesha tu. Ebu tuwaulize maswali magumu kwanza, mazingira ya kufanya BIASHARA bongo ni magumu mno hasa mifumo ya kodi na maofisa WA kodi wenyewe.
Vipi BIASHARA ya magari je msamaha unahusu???

Sent from my POT-LX1T using JamiiForums mobile app
 
I'm going to file for bankruptcy, then restart my business after 2 months ili nisilipe kodi kwa mwaka mmoja. Sheria itanibana hapo?
 
Sawa 👇
 
Ulivyoandika tu nshajua hauna ata chembe ya Usukuma....ww ni Migebuka tu kutoka Kigoma.
Nani kasema Kanda ya ziwa ni wasukuma pekee? Msijimilikishe Kanda. Ndio maana 2015 na 2020 mikoa ya Kagera na Mara tulimkataa kabisa JPM licha ya kuwa ipo Kanda ya ziwa Victoria.

Btw Mimi ni wa Mara, mama ndio wa kutoka Kalinzi. So I'm from Kanda ya ziwa na sijawahi kumsupport JPM kwa lolote.
 
Sema nilimkataa sio tulimkataaa...huko ndo nyumbani mzee kuna watu ukiweka picha ya Magu na huyu Mama walah utajua kitakachotokea.
 
Sema nilimkataa sio tulimkataaa...huko ndo nyumbani mzee kuna watu ukiweka picha ya Magu na huyu Mama walah utajua kitakachotokea.
Punguza utoto, 2020 hapo Geita mjini CCM ilipata 30,000 Chadema 17,000 yaani Chadema walipata more than nusu ya kura za CCM Geita mjini na hiyo ilikua NEC hii hii tunayosema sio huru sembuse tume huru.

Ipo wazi Kagera na Mara walimkataa JPM composition ya kura zinaonyesha hivyo, mara wabunge walikua 4.... Bukoba halmashauri ilikua ya Chadema na mbunge juu. Sasa utasemaje ni ngome ya JPM.

Alafu Samia vs JPM inatoka wapi? Kwani JPM ni mgombea Urais? 2025 ni Samia vs Chadema hutaki anzisha chama ila hizo ndio options pekee na hao wote ni Anti JPM.

Poleni sana Sukuma Gang
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…