Serikali wekeni ruzuku kwenye Mafuta, hizi bei kwa sasa hazivumiliki tena

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imetangaza kupanda kwa bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini zitakazotumika kuanzia leo Jumatano October 04, 2023 saa 6:01 usiku ambapo kwa mwezi October 2023, bei za rejareja za mafuta katika Mkoa wa Dar es Salaam petrol ni Tsh. 3281 kwa lita, dizeli Tsh. 3448 na mafuta ya taa 2943
 
Bei ya bia dar ni sawa na bei ya bia Arusha tatizo nini kwenye mafuta
 
Au kuna viongozi wanatupiga watanzania au ewura wameshindwa kufanya kazi yao vyema kuna upigaji unafanyika
 

Kwa hIyo tutakoma siyo? Hatuna hata cha kufanya? Kwamba ni kama kuku tu, siyo?



Hoja za miamba hii zisingeweza kuwa na chachu inayohitajika kuondokana na huku kulia lia?

Walaaniwe wote wasioweza kuona Wala kuelewa kwa ubinafsi wao.
 
Mwisho watapandisha mashetani sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…